Kijana ukitaka kuoa, kaoe kwenu

Kijana ukitaka kuoa, kaoe kwenu

Kuna mshkaji tangu anunue gari kabanwa hana hata hamu ya gari lenyewe....kila kazi anatumwa: kupeleka watoto shule na kuwafuata, kupeleka chaga girl kazin na kumfuata, kupeleka watoto sunday school na mafundisho kanisani, kupeleka chaga girl kwenye vikoba vyote na sokoni na kuratibu mapokez ya ndugu wa mke ambao nao wanaingia na kutoka pale karibu kila siku....kijana kabanwa!!

Sometimes tunakutana na jamaa tupate mbili tatu moja moto moja baridi ile anagusa bia tu unashangaa anachomoka kwa kasi ya ajabu kumbr kaitwa na wife amkimbize mahali flani...heheh
Hapo sioni shida, ni wao kukaa na kupanga utaratibu wao.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Kuoa ni vile tu mmependana kwa dhati, WAMACHAME (WAPALESTINA) wanaolewa ila kwa sharti kuu moja, iwe amefiwa na mama yake au amelelewa na BABA YAKE.
 
Kuna mshkaji tangu anunue gari kabanwa hana hata hamu ya gari lenyewe....kila kazi anatumwa: kupeleka watoto shule na kuwafuata, kupeleka chaga girl kazin na kumfuata, kupeleka watoto sunday school na mafundisho kanisani, kupeleka chaga girl kwenye vikoba vyote na sokoni na kuratibu mapokez ya ndugu wa mke ambao nao wanaingia na kutoka pale karibu kila siku....kijana kabanwa!!

Sometimes tunakutana na jamaa tupate mbili tatu moja moto moja baridi ile anagusa bia tu unashangaa anachomoka kwa kasi ya ajabu kumbr kaitwa na wife amkimbize mahali flani...heheh
Huu ni UTUMWA MAMBOLEO. Ni lini sasa jamaa ataanza kufaidi bata za mjini? Na umri ndio hivyo unaenda? Mungu amhurumie.
 
Kuoa ni vile tu mmependana kwa dhati, WAMACHAME (WAPALESTINA) wanaolewa ila kwa sharti kuu moja, iwe amefiwa na mama yake au amelelewa na BABA YAKE.
Heee!!! Mkuu hebu fafanua zaidi. Kwani wakilelewa na mama inakuwaje? Mbona hatari hii???
 
Mimi ninae shangazi yangu aliemtafuta baba yangu mke ambae kwa Sasa ni mama yangu huyo ndo nitamfata anitafutie mke
Vimalaya vya mjini vinaloga balaa
 
Asee cha ajabu ndio wanaoongozwa kuolewa kila kukicha.

Tembelea kumbi za sherehe utakubaliana na mimi
Unachosema chaweza kuwa kweli. Mana wako waerevu Sana Kama nyoka kumnasa mwanaume. Wakiwa hawajaolewa wanajua mwanaume anavutiwa na Nini so anategwa kinyama mpaka anaingia king mkuu Ila sasa subiria uone Kama watazeekeana pamoja.
Yaani atakusaidia kuzisaka noti Ila anakuwazia uchukue mafao ama ustaafu tu mafaao atafuatilia yeye.
Wanawake wa kichaga ni wajanja sijakataa.yaani utamkuta ama akili ya maisha , kasoma ama anafanya biashara anaingiza kipato. Maongezi yake ni mazuri Mana yanavutia ya kiutafutaji kumbe ni mbinu ili unase tu.kumbuka nyoka ni mwerevu Sana ama na lugha ya kuvutia mtu atende dhambi.
Kwa ilo sijawakatalia Ila fanya research kwa waliolewa Sasa uzeeni kukoje.
Je Kuna familia ngapi za wamama wa kichaga ambazo wanaishi na waume zao hata Wana wajukuu.
Hili mie nitaongea hata uchukue.
Nenda pale USA river nyumba nyingi Sana karibia mtaa mzima Kuna akina mama ndo wamiliki.
Ninarudia ivi mabinti hao ni wajanja Sana katika kunasa wanaume mkuu.mie kidogo niangukie kwao nikiwa chuoni.sema nilikupigia tu afu nikaenda home kuoa.
Mana kuoa sio kuwa ni mauzo nionekane Bali inabidi nichukue mtu ambaye najua Koo yake yaani dna za kizazi chake kinajulikana mpaka Cha tano huko ukim trace.
Sasa mie nakutana na mtu mjini hata sijui history ya babu wa babu yake yukoje.
Mana unaleta mtu katika ukoo wenu.
Pia maisha sio kuwa ni pesa yapo mengi Sana zaidi ya pesa.
 
Heee!!! Mkuu hebu fafanua zaidi. Kwani wakilelewa na mama inakuwaje? Mbona hatari hii???
Mara nyingi WACHAGA WAKO INFLUENCED na mama zao, wakienda kwao mama zao huwashika masikio na kuwalaumu kwann hawajajenga kwao, hawana mali, angalia majirani zako wana mali wewe umekaa kaa tu nk nk. Na mara nyingi hawa huwa single mothers yaan waume zao walishafariki hivyo kupelekea hata watoto wao kuona kuishi bila mume ni kitu cha kawaida hivyo kukuua ni kawaida tu.

Kwa hali hii, ikiwa amelelewa na BABA yake ni ngumu sana kutamani mumewe afe maana anaona umuhimu wa kuwa na baba kwa watoto wake, lkn pia anajifunza utafutaji bila dhuluma nk.

Mimi nimeoa mchaga ambaye hana BABA wala MAMA hivyo namcontrol kirahisi sana, maana shangazi au wajomba hawawezi mpangia maisha yake.
 
Na mimi nagongomelezea hapa, VIJANA OENI KWENU. Mimi nilioa mwanamke ambae alikua classmate wangu chuo nikadhani nimemjua vizuri kumbe watu wanaweza pretend hata miaka mia.... yaliyonikuta sina hamu kabisa.
 
K
Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.

Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!

Utachekewa mno kwa Mara ya kwanza, utasema mke si ndo huyu? Itakuwa ni uzushi tu, mbona huyu ameokoka? Anakusubiri mpate Mali baada ya kuona una uelekeo au dalili za kufanikiwa mbeleni, mkishazipata tu kwa heri. Narudia, hata akiwa shemasi usioe.
Kama wewe una miaka chini ya 70,basi Mawazo yako ni ya kizamani sana,na hufai kwenye jamii.
Hayo Mawazo ya kuoa kabila yako ni ya kijinga,siku hizi watoto wanazaliwa mini,mpaka wanakuwa watu wazima hata kijijini kwao hawajawahi kwenda Wala lugha ya nyumbani hawazijuhi!!harafu unataka huyu kijana akitaka kuoa au kuolewa aende mkoani kwao!!??
Kwanza ubaya,na tabia mbaya hazina kabila,mtu yeyote anaweza kuwa mbaya,
Vijana oeni,oleweni bila kuangalia kabila,
Vukeni na mipaka,sasa hv,wake ya,waganda,wazambia,wachina wapo kibao bongo,kamata mmoja weka ndani,acheni kuwa na mawazo ya mwaka 47!!!
 
Back
Top Bottom