Mi ni muumini wa kuoa jamii ya kwenu,, napenda hivyo ila na waliooa mbali km wewe sina tatizo nao, hayana kanuni haya mamboMimi sikuoa kwetu kwa sababu:
-nimewazoea mno watu wa kwetu hadi naona kama ndugu tu.
-nimeoa mbali ili kuleta mchanganyiko wa jamii na kubadili mazoea,kuleta umoja zaidi.
Mimi naona kuoana watu wa eneo moja ni kuendeleza kizazi kilekile tu.Namaanisha kama kizazi chenu kina mapungufu,changamoto au hata matatizo ndiyo kusema mtaendelea kuwa hivyohivyo.Mengine nayaacha kipolo.Mi ni muumini wa kuoa jamii ya kwenu,, napenda hivyo ila na waliooa mbali km wewe sina tatizo nao, hayana kanuni haya mambo
Alfajiri anatoa povu jingi hiviiNaona bachela sugu for life unamuhurumia huyo ndugu!😂😂😂
We jamaa kwa kuutetea ubachela upo makini.Alfajiri anatoa povu jingi hivii
Hakutumwa aoe.
Kama angekuwa bachelor muda huu angekua so happy.
#YNWA
Sidhani km kweli labda km mnaoana humo humo kwenye ukoo ila km Ni kabila lako tu na sio ukoo mmoja Wala Haina shida hizoMimi naona kuoana watu wa eneo moja ni kuendeleza kizazi kilekile tu.Namaanisha kama kizazi chenu kina mapungufu,changamoto au hata matatizo ndiyo kusema mtaendelea kuwa hivyohivyo.Mengine nayaacha kipolo.
Kwani Mimi nimelia lia? Mimi nimekuambia kuwa makini.Kulialia bila kuweka bayana masahibu yaliyokukumba au uliyoyaona,huwezi kupata uungwaji mkono.Eleza vizuri,nini shida?
Masikiniiii hujui mengiLabda kwa ajili ya kuongea kilugha chenu pamoja lakin kama ni matatizo ni yaleyale mbona
Ila hakuna aliyewataja Wachagga hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema wachaga wanapigwa sana vita nchi hii....sijui wanajisikiaje.
Anyway labda wajaribu kubadilika kama jamii
wanaume sikuhizi hawaoi ndomana wameamia kwa wazaziTusubiri wachaga wanasemaje kuhusu hii mada maana sio kwa tamaa zile, sasa wameanza kuua na mama zao baada ya kuona waume zao inatosha.
Watu wa kabila langu nawafahamu.Ni watata sana kwa asili.Ile tabia siipendi.Ndiyo maana nikaamua familia yangu ipate damu mpya ili kuwa-netralise watoto.Sidhani km kweli labda km mnaoana humo humo kwenye ukoo ila km Ni kabila lako tu na sio ukoo mmoja Wala Haina shida hizo
Hapo sawa nimekuelewa, muhimu ni kuamua kile nafsi ina amani nacho, ila kwenye hili ni kwa upande wenu wanaume, maana ni waamuzi wa umuoe Nani ila sie wanawake atakaetangaza nia ndie anachukua Jimbo hata awe Ni mu-AfghanistanWatu wa kabila langu nawafahamu.Ni watata sana kwa asili.Ile tabia siipendi.Ndiyo maana nikaamua familia yangu ipate damu mpya ili kuwa-netralise watoto.
Huwa nawaangalia watoto wangu hadi nacheka tu.Walipokuwa wadogo walikuwa wana hasira ile mbaya.Ukimkorofisha mmoja wao anaweza akakurukia mwilini hadi hata akakung'ata.Au analia kwa kisirani.Mola ashukuriwe.Mazingira yamewabadili ingawa asili bado wanayo kwa mbali.Hapo sawa nimekuelewa, muhimu ni kuamua kile nafsi ina amani nacho, ila kwenye hili ni kwa upande wenu wanaume, maana ni waamuzi wa umuoe Nani ila sie wanawake atakaetangaza nia ndie anachukua Jimbo hata awe Ni mu-Afghanistan
Kabila gani mkuu?Watu wa kabila langu nawafahamu.Ni watata sana kwa asili.Ile tabia siipendi.Ndiyo maana nikaamua familia yangu ipate damu mpya ili kuwa-netralise watoto.
Wafipa.😝😝😝😝😝
Kwa sababu wajinga ni wengi werevu tupo wachache, tunajaribu kuwasanua walio wengi.Asee cha ajabu ndio wanaoongozwa kuolewa kila kukicha.
Tembelea kumbi za sherehe utakubaliana na mimi