Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 4,737
- 11,096
Fresh tu..unaongeza bahati zaidiKipato cha juu vip?
Faida ya kwanza unapunguza wategemezi watu, watakao kuwa wanakulilia shida zao mara kwa maraToa faida endapo akichaguliwa toka familia ya ukwasi
Wewe umenielewa lakini?Watakuelewa wachache sana
Kabisa,tena ni mateso sana kuchukuana kwa huruma....unakuwa tegemewa for 100%Wewe umenielewa lakini?
Mimi nilishtuka mapema ...yaani binti hujamtolea hata mahari ndugu zake washaanza kukuletea shida..eti ohooo mara shem niongezee mtaji nataka nifungue genge la matunda,Kabisa,tena ni mateso sana kuchukuana kwa huruma....unakuwa tegemewa for 100%
Hahaha mashemeji machawa haoMimi nilishtuka mapema ...yaani binti hujamtolea hata mahari ndugu zake washaanza kukuletea shida..eti ohooo mara shem niongezee mtaji nataka nifungue genge la matunda,
Madogo wana akili ya kitoto ya kufananisha mke na bidhaa za sokoni....Vipi kuhusu upendo wa kweli / Agape love ukilinganisha kwa wanaotoka kipato cha chini /kati / juuu? je wanawake wanatofautiana?
Upendo huwa hauchagui mkuu....ni sawa na njiwa anaepaaa hutua popote, tena mwanamke anaetokea kwenye familia ya kipato cha kati au cha juu huwa anakuwa na mapenzi ya ukweli kwa sababu haendeshwi na dhikiVipi kuhusu upendo wa kweli / Agape love ukilinganisha kwa wanaotoka kipato cha chini /kati / juuu? je wanawake wanatofautiana?
Njaa na dhiki ndio sababu kuuHahaha mashemeji machawa hao
DuuujKijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.
Ha ha ha,afu ni mateso kweli.....ndugu wote wanahamia kwako.Teh!Mimi nilishtuka mapema ...yaani binti hujamtolea hata mahari ndugu zake washaanza kukuletea shida..eti ohooo mara shem niongezee mtaji nataka nifungue genge la matunda,