Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
5000Kule kuna wajinga tu siyo wenye akili. Hii hbr siyo ya udaku, haiwezi kuwa na viewers kibao.
Nikuulize tu wewe, ukipost kitu insta, kinapata viewers wangapi?
5000Kule kuna wajinga tu siyo wenye akili. Hii hbr siyo ya udaku, haiwezi kuwa na viewers kibao.
Nikuulize tu wewe, ukipost kitu insta, kinapata viewers wangapi?
Kweli kabisaHuko kama baba yakeangekuwa waupinzani,angepewa gari na ulinzi kumsak baba yake
Uje na Mrejesho. MkuuKijana yupo kambi ya jeshi mwanza, maendeleo ni mazuri mno
Kuna uwezekani mwana JF akamfahamuKwa hyo baba yake yupo humu jf
JF ni jukwaa la intellectualsJf haina watumiaji wengi kama unavyojidanganya! Fanya utafiti hapo ulipo ni wangapi wanaijua jamiforums