Kijana Michael anamtafuta baba yake Daniel Albinus Magige

ntagunga

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
704
Reaction score
287
Mtaftaji: Michael Patrick Wasikwe
Anayetafutwa: Daniel Albinus Magige.

Hello

Kuna kijana ametokea Uganda, jina lake Michael Patrick Wasikwe amekuja kumtafta baba yake anayejulikana kwa jina la Daniel Albinus Magige. Alikuwa askari wa jtwz, amestaafu, lakini aliwahi kufika uganda kwa shughuli za kazi.

Kwa maelezo ya mama yake, baba yake alimtajia kuwa ni mkaazi wa Magu mkoa wa mwanza.

Mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na taarifa kumhusu mtu huyo, awasiliane kwa namba 0686457363 au 0652031489
 
Lakini ameanzia pande hizi anazoamini ndipo baba yake alipo
 
Hello

Kuna kijana ametokea Uganda, amekuja kumtafta baba yake jina Daniel Albinus Magige. Alikuwa askari wa jtwz, amestaafu, lakini aliwahi kufika uganda kwa shughuli za kazi.

Kwa maelezo ya mama yake, baba yake alimtajia kuwa ni mkaazi wa Magu mkoa wa mwanza.

Mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na taarifa kumhusu mtu huyo, awasiliane kwa namba 0686457363 au 0652031489
Na mie hili tangazo nimekuta nalo, naamini atampata tu na amefanya jambo la maana.

ANAMTAFTA BABA YAKE MZAZI

JINA. DANIEL ALBINUS MAGIGE

Hello

Kuna kijana ametokea Uganda, amekuja kumtafta baba yake jina Daniel Albinus Magige. Alikuwa askari wa jtwz, amestaafu, lakini aliwahi kufika uganda kwa shughuli za kazi.

Kwa maelezo ya mama yake, baba yake alimtajia kuwa ni mkaazi wa Magu mkoa wa mwanza. Ila mkaazi mmoja wa Magu amelitambua jina hilo kama majina ya wa watu wa Musoma.

Kwa yeyote mwenye taarifa kumhusu Daniel Albinus Magige, atumie namba hizi

Mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na taarifa kumhusu mtu huyo, awasiliane kwa namba 0686457363 au 0652031489
 
Kwa hyo baba yake yupo humu jf
Ha ha ha wewe jamaa hatari sana. Si ametoa tangazo? Hivi unajua kwa siku JF inatembelewa na watu zaidi ya 50k? Unadhani hadi wiki inaisha, jf itakuwa imetembelewa na wangapi?

Watoto wa mtu huyo wakiona, si watamtafta ndugu yao? Je ndugu jamaa na marafiki? Usiwe negative kiasi hicho, mpe ushirikiano ampate baba yake au ndugu yake
 
Jf haina watumiaji wengi kama unavyojidanganya! Fanya utafiti hapo ulipo ni wangapi wanaijua jamiforums
 
Kila search unayoifanya kwa kutumia google, kama ni swali la kiswahili, litakupeleka jf. Kuna registered user na guests.

Angalia, muda huu waliopo online ni 1600+, na post hii imeonwa na watu 340+, na ndani ya 24hrs itazidi hapo.

Jf ina registered membe zaidi ya 400k. Siyo jukwaa dogo hili mkuu.

Mi naamini taarifa zitafika mbali ndani ya muda mfupi.

Usihisi wewe una kitu cha ajabu kuijua jf wengine hawawezi.
Screenshot_20180430-180103.jpg
 
Jf haina watumiaji wengi kama unavyojidanganya! Fanya utafiti hapo ulipo ni wangapi wanaijua jamiforums
Hafu we bado mgeni sana mkuu, umeingia jf magufuri ni rais

Screenshot_20180430-180631.jpg
 
Kila search unayoifanya kwa kutumia google, kama ni swali la kiswahili, litakupeleka jf. Kuna registered user na guests.

Angalia, muda huu waliopo online ni 1600+, na post hii imeonwa na watu 340+, na ndani ya 24hrs itazidi hapo.

Jf ina registered membe zaidi ya 400k. Siyo jukwaa dogo hili mkuu.

Mi naamini taarifa zitafika mbali ndani ya muda mfupi.

Usihisi wewe una kitu cha ajabu kuijua jf wengine hawawezi.View attachment 761738
Sasa hao watu 1600 kwa watu zaidi ya milioni 45 mbona ni tone katika bahari! Me bado napingana na wewe unavosema kwamba jamiiforums ina watumiaji wengi! Hivi umepita facebook na whatsapp kuangalia watumiaji wake? Zungusha kwenye magroup ya whatsapp huko! Halafu mtu mwenyewe alikuwa mwanajeshi nenda jeshini utapata taarifa zake ila uwe umejiandaa kwa lolote!
 
Duuuh, sawa buana. Nimekubaliana na wewe
 
Chunguza kila mwenye smartphone lazima ana whatsapp messenger na baadhi facebook lakini sio kila mwenye smartphone anatumia jamiiforums app,usijidanganye eti watumiaji ni wengi.
 
Taarifa njema ni kuwa, tayari amepatikana mtu ambaye alikuwa kozi moja na baba wa kijana huko uganda, ila amesema anakaa kiabakari na familia yake. Hivyo maendeleo ni mazuri
 
Chunguza kila mwenye smartphone lazima ana whatsapp messenger na baadhi facebook lakini sio kila mwenye smartphone anatumia jamiiforums app,usijidanganye eti watumiaji ni wengi.
Mkuu, viewers 640 ni wachache?
Screenshot_20180502-111851.jpg
 
Wachache sanaaa!! Hebu nenda instagram mtu kaweka video ya nandy na billnass ila viewers 20,000
Kule kuna wajinga tu siyo wenye akili. Hii hbr siyo ya udaku, haiwezi kuwa na viewers kibao.

Nikuulize tu wewe, ukipost kitu insta, kinapata viewers wangapi?
 
Back
Top Bottom