Msaada: Anamtafuta Baba yake mzazi

Msaada: Anamtafuta Baba yake mzazi

mujemaso

Senior Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
112
Reaction score
44
Habari wanajamvi,

Kuna kijana nafahamiana naye anamtafuta baba yake mzazi. Hawajawahi kuonana naye.

Kijana huyo anaitwa Mohamed Mgaza Mohamed (Mudi) ni mkaazi wa Ipinda, Kyela. Baba yake anaitwa Mgaza Mohamed. Mohammed aliambiwa na mama yake mzazi (Russia Busega) kuwa baba yake ni mtu wa Handeni Tanga na walikutana na mama yake (Russia Busega) Kariakoo – Mission Quarters mtaa wa Tandamti, Dar es Salaam. Mgaza aliondoka Dar mwaka 1986 na haijulikani aliko kwa sasa.

Nawaomba wanajamvi kwa yeyote ambaye atweza kupata taarifa zozote awasiliane na Mohammed kwa namba 0763 834723 / 0683870493.
 
Back
Top Bottom