Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Kwa ujinga unaoingizwa humu,binafsi si sikilizi huo utumbo,bora mjitambue mjue singeli sii kwa ajili ya jamii ya pwani pekee,ila mnatamani iende kimataifa,ile maana ya dunia kijiji ni maana pana sana,wewe tumia maneno na matusi ya kizaramo ,kindengereko ukifikiri wewe pekee ndiye unaeelewa kizaramo au kindengereko,utabakia ukisikiliza kazi yako wewe pekeyako na mkeo ikizidi na wanao.
Mkuu unatumia Nyukilya kuua mbu.
 
Dondosha ngoma kaka, mimi na Harmful tupo pamoja na wewe 😀😀
Kwa mwenye akili zinazofanya kazi atalazimika kuishi kulingana na wakati,iwapo unajilinganisha na waliobebwa na kile chama kiaminicho ni wa miliki na wanayo hati miliki ya taifa ujue unaenda kukufa na kupotea na kamwe hutaweza kupata boost ya mhimili kama ile ya nyegezi mwanza! Tena na kamwe haita tokea wadanganyika wapo macho tena sana,na bado sana kulala,kwani wameshachezewa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom