Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Nafarijika kuona mpka sasa dakika ya 20 ya mchezo kataa ndoa wanaongoza 3:0 kwa hoja zilizoshiba......
 
safi
Takwimu zilizosomwa na mh. Rais mama Samia Suluhu ni 65% ya vijana umri wa kuoa hawajaoa...(So, sidhani kama ni movement ya JF tu, ni wimbi la kitaifa)
Nadhani ndoa ilikua na lengo zuri sana(socially)...ila jamii inabairika kwa kasi na miongoni mwa vitu vinavyoachwa nyuma(obsolete) ni ndoa.
Imeachwa ibaki vilevile, na imekua ikizalisha victims wengi sana wa kukata tamaa, ukatili, unyanyasaji, mauaji na kutapeliwa mali.

Kujadili why(what is the root cause?) Nadhani ndio la msingi kuliko kushambuliana.
safi sana mkuu, umeongea fact, mtoa mada hapa ndipo kafeli, hana reason capacity thinking.
 
Salute....
Mwaka huu nimeamua kutumia platform hii kuongea na vijana wenzangu hasa waliozaliwa 90s. Mada zangu zote kwa mwaka huu 90% zitakua zinahusu miongozo na ushauri nasihi wa masuala ya ndoa na mahusiano.

Let's dive in....

Kwa kipindi zaidi ya mwaka humu Jf kumekua na movement ya kijinga sana inayojulikana kama "Kataa Ndoa" washirika wa hii movement wametengeneza kama ka League fulani hivi ambapo mtu akija akaleta topic ya ihusiyo ndoa basi wanaitana kuja kupibga na kukemea vikali uwepo wa ndoa katika jamii.

Ashakum si matusi mm nawaita ni wajinga, maana kwa kawaida wanadam tumeumbwa na muumba (whatever he's) ila lemgo kuu ni kuabudu na hakuna mtu anayeweza kwenda kinyume na kanuni hii... Ni lazima kuabudu si ombi haijalishi unaabudu nini au nani... By nature wanadamu wote tumeumbwa kuwa Submissive kwa vitu vinavyotuzidi uwezo na kuvinyenyekea. Ndio maana utaona hata wazee wa zamani waliangalia mti mkubwa au mlima mkubwa na kuubudu coz we're all submissive to those powerful than Us!

Hivyo basi wengi wetu tumechagua kuabudu Mungu wa imani ya Ibrahim(Yehova/Allah) ....Kwa wale tunaomuamini Allah au Yehova ukweli ni kwamba NDOA NI MPANGO WA MUNGU ili mwanadamu aweze kuendeleza uhai kwa kuzaliana na kutengeneza familia zenye mwelekeo bora. Haijalishi ndoa umeifungia wapi ila ilimradi iwe ni ndoa halali inayotambulika a wazazi na jamii.

Sasa hawa kataa ndoa wao hawalitaki hilo wao wanataka waendelee kuzaliana bila mpangilio watoto wanakosa malezi ya baba na mama maana hawataki ndoa pia wengi hawatoi huduma kwa hao waliowazaa. Hilo halikubaliki, jamii inaenda kuharibika kama huu ujinga wao utafika mpaka huku kwemye maisha halisi.

  • Nilichogundua wengi walioanzisha movement hii ni watu waliozaliwa miaka ya 80s.
  • Wengi wa hawa pinga ndoa ni loosers wa kwenye maisha yao binafsi na kijamii ndio
  • wale walikua wanazamia South kutafuta maisha au waende Ulaya inashindikana.
  • Ni wale mabro wa mtaani wanaovaa mapensi makubwa na buti + tishet zilizokatwa mikono
  • Wengi wao walikua wana ndoto za kuoa wazungu, wamewakosa na umri umeenda wanaishia kupinga ndoa
  • Wengi wao wanaishi Dar.
Kwa hali ilivyo JF unaweza jua kabisa watu wamegoma kuoa ila si kweli hawa wapuuzi na movement yao wapo JF tu kwa kiasi kikubwa, maana huku duniani vijana wanaoa kama kawaida tena jwa spidi hasa. Nikihesabu from june 2023 mpaka leo najua vijana karibia mia wa kiislam walio oa. Mwaka huu kuna vijana nawafahamu zaidi ya 6 wanategemea kufunga ndoa.

Naongea na vijana mliozaliwa 90s kwakweli kwenye swala la kuanzisha familia hata kama sio kufunga ndoa ila hata kama ni kuchukuana tu mnaupiga mwingi sana hongereni sana. Huku vijana wa kiislam mkiongoza katika hili.

Kwa bahati mbaya zaidi hawa mabro wameambukiza ujinga wa kupinga ndoa hadi kwa vijana wa 20s. Ila hawa vijana wa 20s siwalaumu sana maana hiki ni kizazi pumbavu kuliko vyote vilivyo maana ni kizazi kilicho athiriwa na utandawazi, Energy Drinks, Bange, Ambiance/Double kiki nk.

-Vijana msiwasikilize hao kataa ndoa hao sio wanaume halisi, mwanaume halisi anapigana kutimiza majukumu yake.... Moja ya jukumu ni kuwa na familia. Ndio maana nahisi hawa kataa ndoa wengi wanaweza kua ni upinde.
Even if you get any pu$$y but having family (wife and children) is noblest thing and duty to do.

Kijana Usikate majukumu, usikatae ndoa... OA UFANIKIWE KIUCHUMI, KIJAMII NA KIROHO.

-Da'Vinci
Mwenyekiti mwandamizi wa Vijana waliozaliwa 90s, Tawi la JF
View attachment 2879628
Ndoa muhimu,ukiona myu hataki ndoa,ujuwe huo mgonjwa,ainane na Daktari wa mambo ya uzazi.
 
Back
Top Bottom