passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,578
- 3,148
Umeongea mengi lakini swali umeshindwa kulijibu.Ni hivi mkuu hatujuani ila nakueleza Kwa kifupi tu Nina watoto 2 Kwa mama 2 tofauti mmoja wa kike anaitwa brightness mwingine wa kiume anaitwa Brighton.
Nina wahudumia watoto wangu vizuri na hao Baby mummy wameolewa na watu wengine
Brightness naishi naye kwani mama yake kaolewa na mwanaume nje ya nchi huyo mwingine yupo na mama yake na huyo mume wake.
Kuhusu mshua wangu anasumbuliwa na ndugu eti Kwa kuwa sijaoa na ni over 30 na Nina Kipato kikubwa sio cha wastani eti anitafutie mke . Mshua wangu kawakatalia kawaambia suala la kuoa ni langu binafsi hawezi kunitafutia wala kunilazimisha kuoa yeye anachotaka ni wajukuu tu .
Ikitokea bahati mbaya brightness wangu let apewe mimba akiwa mwanafunzi au under18 na kijana kwamba wanapendana Nina hapa sintokuwa upande wa serikali kumshtaki na kumfunga aliyempa binti wangu mimba Kwa mapenzi yao wenyewe sio Kwa kumbaka sanasana nitawapa support waweze kuishi vizuri . hata kama huyo kijana amekimbia au amekataa kumuoa binti yangu sinto weza kumtosa binti yangu kamwe hata azalishwe sijui mara ngapi na wanaume wamkimbie .
Kwa hiyo wewe ikitokea kwamba binti yako kapewa mimba na amekimbiwa na mwanaume utamtosa huyo binti yako? acha kuwa na mitazamo ya hovyo
Baba brightness upo tayari kuona mtoto wako akazalishwa halafu akatupwa au kutelekezwa na mwanaume huyo na mzigo kutupiwa wewe bila kuzingatia mtoto huyo atafanya tofauti na wewe?
Embu jibu sasa naona swali umelielewa.