Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

H
Aina shidq wawepo,muhimu wanaume tutimize agano,kama unataka Kuwa tofawashi au oa ,kuzini Hapana.
Achana na kampeni usizojua asili yake,
Hii kampeni muasisi wake ni lucifer mwenyewe ,
Sasa ukiisupport unamsupport bwana mdogo mpuuzi mmoja lucifer
Nshakwambia naongea yangu ya moyoni we umekazana na kampeni, hizo kampeni unazijua wewe ila mi naongea yale nimeexperience,
afu nikuulize swali kwani mtu ambaye hataki kuoa ndo anasapoti ushoga,
sema shida ipo hapa mlio kwenye ndoa mnaonaga mabachelor tunashobokewa na watoto wa kike kwa hiyo mna inferiority complex kwa kudhani na wake zenu labda wanatushobokea, hatukogi hivyo na tunaheshimu ndoa za watu walioweza kuvumiliana na kuheshimiana, sema KE asiyejiheshimu akileta shobo tunamtindua tu kibaharia
 
Mi nawalaumu KATAA NDOA, kwa kampeni yao hiyo.
Kama wao wameumizwa na ndoa wakae kwa kutulia wasituharibie kizazi.
Hebu fikilia kizazi cha watoto wanazaliwa nje ya ndoa na kukosa malezi ya baba na mama ( familia).
Tutajikuta tunajenga kizazi cha hovyo sana tukiendekeza hawa kataa mdoa.
Huwezi kuipinga kampeni yao kwa kumwambia waache, bila kuangalia chimbuko lao.

Katika Kila action, jua kuna reaction lazima itafatia. Pengine hii kampeni ya kataa ndoa ni Reaction ya Actions ambazo zimeshatokea. Je umeshawahi kujaribu kujua chanzo ni nini? Na usitumie hisia zako kutambia chanzo, inabidi uwaconsult wahusika.

Hiyo ndio namna sahihi ya kuzuia hii kampeni yao.
 
Nshakwambia naongea yangu ya moyoni we umekazana na kampeni, hizo kampeni unazijua wewe ila mi naongea yale nimeexperience...
Mkuu nani kakwambia mm nimeona sijaoa,ila nasupport Mfumo wa maisha .

Na kwa appearance ,nina appearance ya Kati ya wanawake 10.,sita hawachomoi nikiwa seriously ilà wengine wananitongoza wao.

Sijisifu nasifu ukuu wa Mungu wa kunipa muonekano wa kishababi,

Hivyo lazima nioe mke kutoka kwa Bwana na naoa chuma cha kwenda
 
Baada ya Mahakama kutoa talaka na mgawanyo wa mali kulingana na contribution bado Mwanaume anaendelea kuongezewa jukumu la kulea watoto kusomesha na matibabu hapo nani Kaliwa? Baada ya watoto kukuwa na kuanza kupata maisha 90% wanafaidika na matunda ya watoto ni wamama. Hapo nani Kaliwa? Kila mwanamke anapenda aolewe na Mwanaume mwenye hela siulize why? Ili uliwe mzee baba!
Ok mali zipi mlizogawana?

Kwahyo baada ya kugawana mali unataka mtoto yule kwa umri huo mdogo mpaka anakuwa mkubwa alelewe kwa mali mlizogawana? Wewe yule ni mwanao si mwanao?

Mahakama inaweza kuamuru kama katika mali mlizogawana kuna assets inayoingiza pesa na ukamuachia mwanamke unaweza kuiweka na kudeclare hiyo kuwa ya kuwatunzia watoto.

sasa kama mmeachana halafu mali mlizgowana ni Milioni mbili kila mmoja wewe ukipewa hiyomilioni. Mbili unaweza kumlea mtoto akiwa mdogo mpaka mtu mzima?
 
Kwa hiyo ukioa tu ndio unatengeneza jina la ukoo?
Kwa mantiki hii hii.

Wewe unataka kumzLisha mtoto wa watu halafu unakimbia majukumu unataka mtoto yule aitwe jina la kwako.

Baba yako alikukimbia?
Tuamnbie sasa kama unasema si lazima ndoa upo tayari mtoto wako wakike azalishwe urudishiwe mzigo kulea wewe na mwanaume kakimbia?
 
Mkuu nani kakwambia mm nimeona sijaoa,ila nasupport Mfumo wa maisha .

Na kwa appearance ,nina appearance ya Kati ya wanawake 10.,sita hawachomoi nikiwa seriously ilà wengine wananitongoza wao.

Sijisifu nasifu ukuu wa Mungu wa kunipa muonekano wa kishababi,

Hivyo lazima nioe mke kutoka kwa Bwana na naoa chuma cha kwenda
nakutakia kila la kheri
 
Ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine. Hakuna mtu mwenye akili yuko kwenye ndoa.

Watu masikini na wapumbavu ndio wanatafta ndoa ili wawe na authority kwa wake zao.

Badala utafte authority ya hela unatafta authority ya kumkoromea mkeo, una akili kweli wewe?

Tafta hela utawakoromea hata wanaume wenzio na watatii kama vile wewe ni mume wao sio kukoromea wanawake tena mkeo tu.
Mkuu naongezea vijana watafute pesa na watoto Pia .
Ukiwa na hela na watoto ndoa haina umuhimu kabisa .
 
Kwa mantiki hii hii.

Wewe unataka kumzLisha mtoto wa watu halafu unakimbia majukumu unataka mtoto yule aitwe jina la kwako.

Baba yako alikukimbia?
Tuamnbie sasa kama unasema si lazima ndoa upo tayari mtoto wako wakike azalishwe urudishiwe mzigo kulea wewe na mwanaume kakimbia?

Ni hivi mkuu hatujuani ila nakueleza Kwa kifupi tu Nina watoto 2 Kwa mama 2 tofauti mmoja wa kike anaitwa brightness mwingine wa kiume anaitwa Brighton.
Nina wahudumia watoto wangu vizuri na hao Baby mummy wameolewa na watu wengine
Brightness naishi naye kwani mama yake kaolewa na mwanaume nje ya nchi huyo mwingine yupo na mama yake na huyo mume wake.
Kuhusu mshua wangu anasumbuliwa na ndugu eti Kwa kuwa sijaoa na ni over 30 na Nina Kipato kikubwa sio cha wastani eti anitafutie mke . Mshua wangu kawakatalia kawaambia suala la kuoa ni langu binafsi hawezi kunitafutia wala kunilazimisha kuoa yeye anachotaka ni wajukuu tu .
Ikitokea bahati mbaya brightness wangu let apewe mimba akiwa mwanafunzi au under18 na kijana kwamba wanapendana Nina hapa sintokuwa upande wa serikali kumshtaki na kumfunga aliyempa binti wangu mimba Kwa mapenzi yao wenyewe sio Kwa kumbaka sanasana nitawapa support waweze kuishi vizuri . hata kama huyo kijana amekimbia au amekataa kumuoa binti yangu sinto weza kumtosa binti yangu kamwe hata azalishwe sijui mara ngapi na wanaume wamkimbie .
Kwa hiyo wewe ikitokea kwamba binti yako kapewa mimba na amekimbiwa na mwanaume utamtosa huyo binti yako? acha kuwa na mitazamo ya hovyo
 
Back
Top Bottom