Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 16,485
- 41,622
👊👊👊Ume Tisha kamanda🙏💪
👊👊👊Ume Tisha kamanda🙏💪
Nshakwambia naongea yangu ya moyoni we umekazana na kampeni, hizo kampeni unazijua wewe ila mi naongea yale nimeexperience,H
Aina shidq wawepo,muhimu wanaume tutimize agano,kama unataka Kuwa tofawashi au oa ,kuzini Hapana.
Achana na kampeni usizojua asili yake,
Hii kampeni muasisi wake ni lucifer mwenyewe ,
Sasa ukiisupport unamsupport bwana mdogo mpuuzi mmoja lucifer
Kaka nakumbuka mwaja Jana, uli Nipa promise juu ya another story.
Huwezi kuipinga kampeni yao kwa kumwambia waache, bila kuangalia chimbuko lao.Mi nawalaumu KATAA NDOA, kwa kampeni yao hiyo.
Kama wao wameumizwa na ndoa wakae kwa kutulia wasituharibie kizazi.
Hebu fikilia kizazi cha watoto wanazaliwa nje ya ndoa na kukosa malezi ya baba na mama ( familia).
Tutajikuta tunajenga kizazi cha hovyo sana tukiendekeza hawa kataa mdoa.
👊👊👊👊Uzi uishie hapa.... Mkuu umemaliza kila kitu.. Big up 👊
Mkuu nani kakwambia mm nimeona sijaoa,ila nasupport Mfumo wa maisha .Nshakwambia naongea yangu ya moyoni we umekazana na kampeni, hizo kampeni unazijua wewe ila mi naongea yale nimeexperience...
Noma sana mkuu 👊Mkuu Apo mwisho umenizungumzia mimi kabisa.
Worry out brohKaka nakumbuka mwaja Jana, uli Nipa promise juu ya another story.
👉 Haven't seen any, since mwezi ule??
Ok mali zipi mlizogawana?Baada ya Mahakama kutoa talaka na mgawanyo wa mali kulingana na contribution bado Mwanaume anaendelea kuongezewa jukumu la kulea watoto kusomesha na matibabu hapo nani Kaliwa? Baada ya watoto kukuwa na kuanza kupata maisha 90% wanafaidika na matunda ya watoto ni wamama. Hapo nani Kaliwa? Kila mwanamke anapenda aolewe na Mwanaume mwenye hela siulize why? Ili uliwe mzee baba!
Kwa hiyo ukioa tu ndio unatengeneza jina la ukoo?Kwa hiyo unataka kusemaje,tuhalalishe umalaya bcoz alizaliwa bikra,
Kijana Mwanaume shababi anaoa,amilikiwe na anatengeneza jina la ukoo wake
Oa achana na kampeni za kishoga
Kwa mantiki hii hii.Kwa hiyo ukioa tu ndio unatengeneza jina la ukoo?
nakutakia kila la kheriMkuu nani kakwambia mm nimeona sijaoa,ila nasupport Mfumo wa maisha .
Na kwa appearance ,nina appearance ya Kati ya wanawake 10.,sita hawachomoi nikiwa seriously ilà wengine wananitongoza wao.
Sijisifu nasifu ukuu wa Mungu wa kunipa muonekano wa kishababi,
Hivyo lazima nioe mke kutoka kwa Bwana na naoa chuma cha kwenda
Mkuu naongezea vijana watafute pesa na watoto Pia .Ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine. Hakuna mtu mwenye akili yuko kwenye ndoa.
Watu masikini na wapumbavu ndio wanatafta ndoa ili wawe na authority kwa wake zao.
Badala utafte authority ya hela unatafta authority ya kumkoromea mkeo, una akili kweli wewe?
Tafta hela utawakoromea hata wanaume wenzio na watatii kama vile wewe ni mume wao sio kukoromea wanawake tena mkeo tu.
Mi mzima, za mwaka mpya?!Nikopoa vipi wewe wifi mzima?
SafiiTuma kupitia JF Pesa kaka
Kwa mantiki hii hii.
Wewe unataka kumzLisha mtoto wa watu halafu unakimbia majukumu unataka mtoto yule aitwe jina la kwako.
Baba yako alikukimbia?
Tuamnbie sasa kama unasema si lazima ndoa upo tayari mtoto wako wakike azalishwe urudishiwe mzigo kulea wewe na mwanaume kakimbia?
Lengo la ndoa unalijuaKwa hiyo ukioa tu ndio unatengeneza jina la ukoo?
Tatizo nyie mnatuwinda kweli, ngoja tuendelee kuchochea moto tu, na hizi mvua hiziUongo taarifa nilizonazo unafamilia tena sio moja sema nikuseme vizuri wewe na Equation x hamna tofauti
Eti?Tatizo nyie mnatuwinda kweli, ngoja tuendelee kuchochea moto tu, na hizi mvua hizi