Kijana badilika acha huu ujinga mara moja

Kijana badilika acha huu ujinga mara moja

Mnajua sana kujifariji ila uzuri mmoja akili inaweza kupembua kwamba hapa umeambiwa ukweli acha ubishi.

Maisha yenyewe mafupi haya kila mtu afurahie awezavyo. Masuala ya kuweka akiba na kununua asset hayo ni maendeleo ya vitu bhana.
 
Maisha yenyewe mafupi haya kila mtu afurahie awezavyo. Masuala ya kuweka akiba na kununua asset hayo ni maendeleo ya vitu bhana.
Umeona jinsi ulivyojibu kiupole? Taratibu umeanza kubadilika...safi kijana usirudi nyuma endelea kukazana
 
Habar za muda huu, wana JF ujumbe huu uende kwa kijana yeyote anaitaka kesho iliyo njema.

Matajiri wanaishi kama masikini na masikini kama matajiri, Tajiri ananunua simu ya sh 300,000/= na anatoa 4p airtime ya mwezi mzima.
...
Mwaka mmoja una weekend 52 kama wewe ni mzee wa kula bata na kila weekend anatumia sh 100,000 basi kwa mwaka anakuwa anatumia sh 5,200,000/= je hii pesa kama ungeitumia kama yule kijana wa kigoma anayenunua debe 6 kila mwisho wa mwezi unafikiria ungekuwa wapi?
...
Tumepewa akili kubwa sana na mwenyezi Mungu ila social media imetufanya tupende kusoma udaku na mapenzi.

Badilisha mfumo wa matumizi ya smart phone, ubadili fikra na ufute marafiki wanaokupa habari za umbea.

Change today for the better tomorrow.

Katika bandiko la kuelimisha nimewahi kusoma humu JF ni hili lako puker. Hongera sana kwa ujumbe huo kwa vijana na kuwashauri kubadili mfumo wa matumizi

Kwa kuongezea, tofali moja la simenti kwa wastani linauzwa kati ya 1,500/- hadi 2,000/-. Kwa mfano wako hapo juu, ambapo kijana, kwa wiki, anakula bata kwa kutumia 100,000/- ni dhahiri anakula bata ya thamani ya tofali 50, au 2,600 kwa mwaka. Wataalamu wa ujenzi wanajua hayo matofali yanaweza kujenga nini.

Nakubaliana na wanaoshauri somo la thamani ya FEDHA (pesa) na matumizi yake liwe kwenye mitaala ya elimu, kuanzia shule za awali hadi Chuo Kikuu. Ikiwa hivyo, kilio kilichopo sasa hivi ati "vyuma vimekaza" lawama ikielekezwa kwa Serikali, itakuwa hadithi.
 
Habar za muda huu, wana JF ujumbe huu uende kwa kijana yeyote anaitaka kesho iliyo njema.

Matajiri wanaishi kama masikini na masikini kama matajiri, Tajiri ananunua simu ya sh 300,000/= na anatoa 4p airtime ya mwezi mzima.

Masikini ananunua simu ya sh 1,200,000 na anajiunga kifurushi cha tsh 1000/= kwa siku mfanyakazi anapokea mshahara wa tsh 750,000/= na anafanya birthday part ya sh 1,000,000/=

Vijana wa shamba wanaoishi mikoani kazuramimba kila mwisho wa mwezi ananunua debe 6 za mchele, debe moja ni sh 30, 000/= kwa mwezi ni 180,000 Tayari ni gunia moja.

Baadhi ya vijana wa dar wanaweka akiba 180,000/= ya kutumia kila ijumaa na masister duu na kupiga picha za kuweka Instagram.

Kijana wa kigoma anayenunua debe 6 za mchele kila mwezi kwa mwaka anakuwa na jumla ya debe 72 ambazo ni sawa na gunia 12 za mchele mwisho wa mwaka.

Mwaka mmoja una weekend 52 kama wewe ni mzee wa kula bata na kila weekend anatumia sh 100,000 basi kwa mwaka anakuwa anatumia sh 5,200,000/= je hii pesa kama ungeitumia kama yule kijana wa kigoma anayenunua debe 6 kila mwisho wa mwezi unafikiria ungekuwa wapi?

Je unajua magazeti yanayoandika bei za mazao Tanzania? Unajua maana ya standing order back. Tumepewa akili kubwa sana na mwenyezi Mungu ila baadhi ya vijana wanaweka akiba 180,000/= ya kutumia kila ijumaa na masister duu na kupiga picha za kuweka Instagram.

Tumepewa akili kubwa sana na mwenyezi Mungu ila social media imetufanya tupende kusoma udaku na mapenzi.

Badilisha mfumo wa matumizi ya smart phone, ubadili fikra na ufute marafiki wanaokupa habari za umbea.

Change today for the better tomorrow.
Kauli kuu mbili hapa,

JIFUNZE KUTUMIA KILICHOBAKI BAADA YA KUWEKA AKIBA,

NN MAANA YA KAULI HII, UKIPATA PESA IWE FAIDA KTK BIASHARA AU MSHAHARA WAKO KABLA HUJAUTUMIA WEKA KWANZA AKIBA UKIWEZA HILI UTAKUWA UNAWEKA AKIBA PESA NYINGI KULIKO UNAYOKWENDA KUITUMIA KWA MAANA UKIPATA SH 1000 WEKA AKIBA 600 TUMIA ILIOBAKI ,LKN UKIANZA KUTUMIA UTAKUTA UMEWEKA AKIBA 200 KTK 1000 ULIOIPATA,

KAULI YA PILI JIFUNZE KUWEKA AKIBA ILI UITAWALE KESHO,

KUNA SEHEMU NILIKUWA NAFANYA KAZI MIAKA KADHAA ILIOPITA SASA ILE KAZI MASHAHARA WAKE NI MDOGO SANA LKN KUNA MALUPU LUPU MEENGI SANA KIASI CHA KWAMBA WIKI MOJA UNAWEZA ATA PESA MARA MBILI YA MSHAHARA WAKO NA HIYO PESA NI HALALI KABISAAA MPKA OFIC INATAMBUA,LKN KAZI ILE ILIKUWA YA MCMU IKIFIKA MIEZI FULANI HALI INAKUWA MBAYA MNATAFUTANA KWA TOCHI HAPO UKWELI NILIKUWA CYUMBI KIUCHUMI WAKAWA WANANIULIZA NAPATA WAPI PESA NIKAWA NAWAJIBU WEKENI AKIBA,

MUNGU AWABALIKI WOTE MLIONITENGENEZEA MAZINGILA YA MAJUNGU MPKA NIKAAMA KTK HUO MJI

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Katika bandiko la kuelimisha nimewahi kusoma humu JF ni hili lako puker. Hongera sana kwa ujumbe huo kwa vijana na kuwashauri kubadili mfumo wa matumizi

Kwa kuongezea, tofali moja la simenti kwa wastani linauzwa kati ya 15000/- hadi 2000/-. Kwa mfano wako hapo juu, ambapo kijana, kwa wiki, anakula bata kwa kutumia 100,000/- ni dhahiri anakula bata ya thamani ya tofali 50, au 2,600 kwa mwaka. Wataalamu wa ujenzi wanajua hayo matofali yanaweza kujenga nini.

Nakubaliana na wanaoshauri somo la thamani ya FEDHA (pesa) na matumizi yake liwe kwenye mitaala ya elimu, kuanzia shule za awali hadi Chuo Kikuu. Ikiwa hivyo, kilio kilichopo sasa hivi ati "vyuma vimekaza" lawama ikielekezwa kwa Serikali, itakuwa hadithi.
Vuzuri, wanasahau...kwamba Madeni ni kuitumia kesho kabla haijafika...na Akiba ni kuitawala kesho kabla haijafika, hivyo basi mwenye akiba kwa ajili ya kesho yake abadani hawezi kufanana na mwenye madeni. Hivyo asikwambie mtu kwamba starehe zinaweza kuweka mtu katika uchumi mzuri kama asipoikumbuka kesho.
 
Kauli kuu mbili hapa,

JIFUNZE KUTUMIA KILICHOBAKI BAADA YA KUWEKA AKIBA,

NN MAANA YA KAULI HII, UKIPATA PESA IWE FAIDA KTK BIASHARA AU MSHAHARA WAKO KABLA HUJAUTUMIA WEKA KWANZA AKIBA UKIWEZA HILI UTAKUWA UNAWEKA AKIBA PESA NYINGI KULIKO UNAYOKWENDA KUITUMIA KWA MAANA UKIPATA SH 1000 WEKA AKIBA 600 TUMIA ILIOBAKI ,LKN UKIANZA KUTUMIA UTAKUTA UMEWEKA AKIBA 200 KTK 1000 ULIOIPATA,

KAULI YA PILI JIFUNZE KUWEKA AKIBA ILI UITAWALE KESHO,

KUNA SEHEMU NILIKUWA NAFANYA KAZI MIAKA KADHAA ILIOPITA SASA ILE KAZI MASHAHARA WAKE NI MDOGO SANA LKN KUNA MALUPU LUPU MEENGI SANA KIASI CHA KWAMBA WIKI MOJA UNAWEZA ATA PESA MARA MBILI YA MSHAHARA WAKO NA HIYO PESA NI HALALI KABISAAA MPKA OFIC INATAMBUA,LKN KAZI ILE ILIKUWA YA MCMU IKIFIKA MIEZI FULANI HALI INAKUWA MBAYA MNATAFUTANA KWA TOCHI HAPO UKWELI NILIKUWA CYUMBI KIUCHUMI WAKAWA WANANIULIZA NAPATA WAPI PESA NIKAWA NAWAJIBU WEKENI AKIBA,

MUNGU AWABALIKI WOTE MLIONITENGENEZEA MAZINGILA YA MAJUNGU MPKA NIKAAMA KTK HUO MJI

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Akiba ni kitu muhimu Sana...ubarikiwe kwa ushuhuda mzuri.
 
Endelea kupiga parapanda kwa sababu kiza akijaingia...ila giza likifika hakuna rangi utaacha ona
Asante saan mkuu somo limeniingia saan aiseh. Mungu akubariki broo azidi kukupa mwangaza upige hatua zaid kusonga mbele.

But pia most ya sis tumekuwa so adicted kwenye hii michhezo ya betting. Imefika mahali hata mtu aliwe vp bado he/she can not stop betting. Binafsi nimeacha ila naomba wape na somo kweny hlo mkuu. Binafsi leo mm umenigusa saan ntabadilika na mungu anisaidie
 
Mm nilikuwa na spend almost 100k per weekend nikawa siwezi jicontrol nikapata wazo la kufungua fixed account each month kuna pesa naweka ambayo siwezi kuitoa mpaka muda tuliweka makubaliano...niliokoa pesa nyingi sana, ikanipa hasira za kujiona nimeshindwa kufanya mambo mengi ya msingi kwa kuendekeza starehe.
 
Tukiishi wote style moja hakika dunia itakuwa sehemu moja mbaya Sana ya kuishi.
Yawezekana na inavyoonekana una mtazamo hasi kwani mleta mada hajasema watu waishi "style" moja. Akichoshauri ni kila mtu kutambua maisha siyo leo tu, kuna kesho na keshokutwa.

Wahenga walinena Ujana una mwisho au kila king'aacho si dhahabu na fainai uzeeni[/I]
 
aisee inawezekana jamaa kaongea kitu muhimu au kipya kwako. Lakini kwa sisi wengine tushakisikia saaaaaana, na tushajaribu au kuwaona waliojaribu kukifanyia kazi.

Lakini believe me there is no straight way to success. Kama ingekuwepo Basi Kila mtu angeifuata

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
wote mkifanikiwa, mkitajirika, mkiwa wasomi waliobobea zile kazi za chini ambazo ni muhmu kwa maendeleo atazifanya nani? Ndiyo maana huko Marekani kulikojaa mashule ya kila aina na kila mtoto akitaka anaweza kusoma kufikia ngazi yoyote, bado ambao hawajui kusoma na kuandika, kuna kazi za chini kama kufagia choo, usadizi hotelini, n.k. Katika mfumo wa kibepari au kijamaa hawa watu ni muhimu. HAIWEZEKANI WOTE TUKAWA MABOSI, WA CHINI ATAKUWA NANI?
 
Back
Top Bottom