Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,321
- 52,020
Acha masimango š
Papuchi ndio starehe namba moja hapa duniani...wacha tuzike hela hapo.Kweli Mkuu...umenena haswa..Vijana wanawaza papuchi na kujirusha...
Lakini siwashangani Mimi nlikua Nlikua napata hela nyingi...nlikua napanda bajaji,nanunua nguo na viatu na manywele na kupanga nyumba za garama kijitonyama...bila kusahau kununua iPhone kila ikitoka.
Nikikumbuka nasikitika sanaa..japo Sio mzee lakini I wasted my money and time.
Vijana Tumieni pesa na muda vizuri.
Sawa Mkuu.. do as you pleasePapuchi ndio starehe namba moja hapa duniani...wacha tuzike hela hapo.
na baridi hili waniita bro?nakunywa hapa Bro
nikuiteje Broš au unadhani nakunyima mafurikona baridi hili waniita bro?
Sio do as u please...tatizo dunia ya sasa inawadanganya vijana kwamba kumiliki majumba magari ndio maisha mazuri.Sawa Mkuu.. do as you please
NotedSio do as u please...tatizo dunia ya sasa inawadanganya vijana kwamba kumiliki majumba magari ndio maisha mazuri.
Its the simple things in life kama kugegeda ndio raha ya dunia. Hayo majumba na magari utayaacha but memories of all my sexscapes nitaenda nazo kaburi.
P.s gari na hela muhimu ili kugegeda pisi kali.
naona unataka kuninyima kabisa tunda la peponi..sio vizurinikuiteje Broš au unadhani nakunyima mafuriko
Dogo ndio maana nakwambia wewe bado una akili za masikini wengi za kuweka AKIBA wakiamini akiba itawatajirisha!.Sasa mkurugenzi nikuulize swali moja dogo,utawezaje kuwekeza kama usipo kuwa na akiba, Akiba ni nini, ni kuweka sehemu ya ulichokipata kwa ajili ya kesho. Kwa sababu Bela haijawahi kutosha ndio pale tunapoita kujinyima, kuna vitu ambavyo sio vya msingi, ukijaribu kupunguza matumizi katika vitu hizo ndio itakapopatikana akiba ya ajili ya kesho yako kufanya mambo mbali mbali ikiwemo uwo uwekezaji unao uzungumzia.
Kweli Mkuu...umenena haswa..Vijana wanawaza papuchi na kujirusha...
Lakini siwashangani Mimi nlikua Nlikua napata hela nyingi...nlikua napanda bajaji,nanunua nguo na viatu na manywele na kupanga nyumba za garama kijitonyama...bila kusahau kununua iPhone kila ikitoka.
Nikikumbuka nasikitika sanaa..japo Sio mzee lakini I wasted my money and time.
Vijana Tumieni pesa na muda vizuri.
[/QUOT
Papuchi ina run dunia.
Ujinga ni kufikiri kuwa ukisoma tu basi unaweza kupractise Kila ulichosoma....hata hayo masomo yawekwe vyuoni wanafunzi wafundishwe na wayafaulu Bado sio wote watakaoweza kuyafaulu pia mtaani.Katika bandiko la kuelimisha nimewahi kusoma humu JF ni hili lako puker. Hongera sana kwa ujumbe huo kwa vijana na kuwashauri kubadili mfumo wa matumizi
Kwa kuongezea, tofali moja la simenti kwa wastani linauzwa kati ya 1,500/- hadi 2,000/-. Kwa mfano wako hapo juu, ambapo kijana, kwa wiki, anakula bata kwa kutumia 100,000/- ni dhahiri anakula bata ya thamani ya tofali 50, au 2,600 kwa mwaka. Wataalamu wa ujenzi wanajua hayo matofali yanaweza kujenga nini.
Nakubaliana na wanaoshauri somo la thamani ya FEDHA (pesa) na matumizi yake liwe kwenye mitaala ya elimu, kuanzia shule za awali hadi Chuo Kikuu. Ikiwa hivyo, kilio kilichopo sasa hivi ati "vyuma vimekaza" lawama ikielekezwa kwa Serikali, itakuwa hadithi.
Maneno ya kujifariji tuu.Kuna Mzee aliulizwa ulianza kunywa pombe lini? Akajibu mwaka 1976 basi jamaa akaanza kwa siku unakunywa bia tano ambazo kwa mwezi ni bia 150, kwa mwaka bia ........, kwa miaka 44 bia ...... Ambazo ni sawa na bila ....... Ambazo ungejenga nyumba Leo ungekua na gholofa 5, magari ya kutembelea na biashara kubwa. Lakini yule Mzee alijibu tu kuwa kamuulize babu yako ambae hanywi pombe, havuti sigara maghorofa yake na magari yako wapi?
Kila mtu ashinde mechi zake ilimradi tu hakuombi unga wala chumvi.
Tayari hapo unamzungumzia mtu ambae ni tajiri tayari...mm nazungumzia safar ya mtu asiye na kitu, kufikia malengo yake. Naona umekazana kukomalia ubishi bila kiangalia logic, anyways hata darasani maguluguja hawakosekani...Dogo ndio maana nakwambia wewe bado una akili za masikini wengi za kuweka AKIBA wakiamini akiba itawatajirisha!.
Akiba haijawahi kumfanya maskini akawa tajiri ata siku moja savings ni za maskini tu ndo huzikimbilia.
Focus na centre akili yako kwenye kuongeza sources zako za pesa pesa ziingie nyingi huko ndo utajiri ulipo wewe focus yako umeiweka kwenye kusave huko ushapotea tayari maana io ni fikra ya masikini wengi wakiamini kuingiza kidogo na kutokukitumia kabisa basi utajiri utawajia.
Nikuulize swali rahisi tu dogo, Tajiri gani unayemjua wewe hatumii pesa?? Maana matajiri ndo wanaongoza kwa kula bata hapa mjin, kumiliki ndinga kali, nyumba nzuri, kusafiri vacations mbalimbali, kusaidia ndugu , masadaka makinisani nknk alafu compare na hao masikini wenzako wanaosave sana pesa ndo utapata akili siri ya utajiri ipo wapi
Siri ya utajiri haipo kwenye kuweka akiba kijana. Savings are always for the poor acha kuwaza kama mamillioni ya masikini duniani

Boss we una magunia mangapi hadi sasa?
Tuwekee kapicha basi ka madebe yako ya mchele


swali gumu sana kwa motivational speaker wengi.