Sera zako na Corona zimeishia wapi?
Nyuzi zote zenye habari ya chanjo naona umekuwa Vicky 😂😂😂😂 mtoto wa Mama!
"Hata Kwenye magoma hutaki kufika" --- Jabali la Muziki.
Hata hako kasimu kako ka techno kametoka nje, intenet ni ya wazungu, jf ime hostiwa na wazungu, gari ulilopanda leo ni la wazungu.Utumwa
Hebu tamka neno "father".Sera zako na Corona zimeishia wapi?
Nyuzi zote zenye habari ya chanjo naona umekuwa Vicky mtoto wa Mama!
"Hata Kwenye magoma hutaki kufika" --- Jabali la Muziki.
Nyani Ngabu bwana...mpaka kiongelewe kiingereza cha ra ra....ndio utaona kimepatiwa? Kiingereza cha waTZ wengi ni cha kawaida sana, ambacho wala hatuna tatizo nacho tunasonga kadiri tuwezavyo. Matamshi ndio yanaweza kuwa tatanishi kutegemea na mtu alipokulia na pia utayari wake wa kukiongea pasi soni pale alipokuwa mafunzoni.Mimi nimeuliza tu kuhusu matamshi yako ya maneno ya Kiingereza.
Umejibu kwamba “Yanaweza yasiwe mazuri”.
Umelijibu swali langu kikamilifu.
Kiingereza cha “ra ra” ndo nini?Nyani Ngabu bwana...mpaka kiongelewe kiingereza cha ra ra....ndio utaona kimepatiwa? Kiingereza cha waTZ wengi ni cha kawaida sana, ambacho wala hatuna tatizo nacho tunasonga kadiri tuwezavyo. Matamshi ndio yanaweza kuwa tatanishi kutegemea na mtu alipokulia na pia utayari wake wa kukiongea pasi soni pale alipokuwa mafunzoni.
Si kama chako.....kama nakuona...kwani unanijua?Kiingereza cha “ra ra” ndo nini?
Kiingereza changu siyo cha “ra ra”.Si kama chako.....kama nakuona...kwani unanijua?
Naomba niseme kwa mahesabu ni kipanga ajabuNa aliwahi kufundisha udsm??
Sayansi ya hesabu ni kusolve number tu, hilo naomba ulielewe mapema. Mimi nimesoma PCM huko tunasolve maswali tu ya hesabu. Hakuna kiingereza chochote huwezi kumi compare na mtu aliyesoma HKL. Na ukienda kusomea degree ya hesabu ndio kabisaa. Huko ni hesabu tu hakuna kiingereza huko. Kama sio mjanja unaweza kujikuta huna verbs na grammer za kutosha.Hata kama ni hesabu alifundishwa lugha gani, Na hesabu ndiko alikospecialize ila somo lenyewe ni saikolojia ya elimu
Naomba niseme kwa mahesabu ni kipanga ajabu
Kabisa, lakini sio sana kihivyo ingawa inaibua simtofahamu nyingi.Pamoja na hayo kwa mtu kutumia lugha fulani kujibia kwa mambo ya taaluma kwa miaka zaidi ya 13 ushindwe kuimudu inafikirisha sana
Apumzike kwa amani mtu ambae aliteka watu,kutesa,kuua,kufanya ukabila,ukanda,udini,ubaguzi wa rangi kwa wafrika wenzake,kuua uchumi,kudanganya data za uchumi,wateule wake kubaka na kulawiti(Akina Sabaya),kuua uhuru wa kujieleza,kuua demokrasia,kibaka wa wizi wa kura,kututukania dada zetu pamoja na Mama zetu na kadhalika?Muache apumzike kwa amani
Case closed.Muhimu mkono uende kinywani,barabarani yuko na V8 na kibendera kinapepea,sasa wewe mwenye kizungu chako kizuri kaa nacho,V8 utakuwa unaliona tu kwenye mapicha.....
Kuna tofauti ya kingereza na kigugumizi.... Quoted from W. Shukuru.
Hivi Hakuna Uwezekano Akafutiwa Vyeti Akabaki Na Elimu Ya Kidato Cha Sita 😏🙄😶😑😐Proffesa huyu?
PhD za Tz hizi?
Kwani wanafunzi wanasemajeNa aliwahi kufundisha udsm??
Wewe utakua mmoja wa wale akademeshazWatakufikiria vizuri kwa kuwa sio Professor wa English.
Alafu kusoma sana sio kujua kiingereza,bali namna gani unaweza kukokotoa ulichosemea kutatua changamoto zilizopo.
Hata hivyo ndimi na lugha zetu za asili zinaweza kuwa kikwazo cha kutamka baadhi ya maneno ya Lugha za wenzetu.