Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,061
- 6,220
Uprofesa wake hauna uhusiano na English yake, labda kama mnataka kutonyesha upuuzi wenu kwamba kujua English ni kuwa na akili au elimu nzuri...
Alipata PhD in Educational psychology (Major in educational statistics & measurement and evaluation.) Kutoka University of Alberta, m Edmonton, Alberta, Canada ni chuo ambacho ni very prestigious kwa Canada na duniani kiujumla ! Kwa habari za chini chini hakusoma alirushwa kutoka Masters kwenda PhD kwa sababu alikuwa an exceptional scholar
Harvard alisoma shahada gani?
Maana shahada za postgraduate kwenye hizo Ivy League institutions hazina prestige kama za undergrad. Selection yake si sawa na selection ya undergrad.
Hata Kinana na Sumaye ‘wamesoma’ Harvard.
Kama Chenge alisoma undergrad yake Harvard, then I’ll be impressed.
Nje ya hapo, hakuna kilicho impressive maana hata Swizz Beatz ‘kasoma’ Harvard.
Ila jiulize, kasoma nini na katika kiwango kipi…
Naona watu wakiona tu neno ‘Harvard’ basi wanadhani chochote kile cha kutoka hapo ni cha ujiko.
Si kweli.
Kiingereza cha huyo mama kinawakilisha Watanzania wengi sana!
Naamini hata wanaomsema humu kwamba hajui Kiingereza, ukivisikia Viingereza vyao, si ajabu havina tofauti na cha kwake.
Natamani sana siku nivisikie Viingereza vya wana JF….hahahahaa.
I can guarantee you havina tofauti kubwa na cha huyo mama.
Nilikua namjibu jamaa hapo juu kuwa kasoma huko huko kwa wazungu hajasoma hapa bongo hiyo shahada yake ya uzamivu.
Binafsi sioni tatizo la mtu ambaye kiingereza sio lugha yako namba moja ktk matamshi ila unapaswa uwe na mawasiliano yaliyonyooka kwa kuandika au kuzungumza.
Nimesoma na wajerumani darasa moja walikuwa na shahada zao za kwanza kutoka chuo kikuu cha Ludwig Maximilians (Munich) ila walikuwa wanapata shida sana kuzungumza kiingereza.
Ndo uelewe sasa kuwa kuongea kingereza kizuri au kibovu siyo kigezo cha level of intelligence ya mtu. English is just a language like any other languages.Yaani hapa ndo unapo zidi kuzubaa
Hata Chenge ana degree Harvard..
Imagine that
Mzungu akiongea mother tongue yake naye hatumwelewi,mambo ya lugha hayo, lakini ajitahidi kwenda kwa Ras SimbaMzungu akiongea kiswahili kibovu huwa unajisikiaje?
Jinga kabisa
By the way, JAMIIFORUMS is more reliable than Forbes!
Na tusilalamike pale wakenya na waganda wanapokuja kuchukua kazi za juu kwenye international corporates nchini!Daahhhhhh Ila sawa, amejitahidi. Ni ngumu sana kunua kiingereza vzuri kama umesoma mtaala wa kiswahili kutoka primary hadi juu.
Tutumie tu kiswahili ktk hotuba zetu
Hiyo ni Mathematical English.
Wewe ni loser kwa ile takataka kufa.Ni mlipigwa tatu sifuri kwa ile takataka kufa.It won't save any purpose
Kheee
Kama ni kweli basi uchawi upo asee. Haiwezekani kabisa huyu akawa exceptional. Ni moja ya mawaziri wa hovyo kuwahi kutokea duniani.Alipata PhD in Educational psychology (Major in educational statistics & measurement and evaluation.) Kutoka University of Alberta, m Edmonton, Alberta, Canada ni chuo ambacho ni very prestigious kwa Canada na duniani kiujumla ! Kwa habari za chini chini hakusoma alirushwa kutoka Masters kwenda PhD kwa sababu alikuwa an exceptional scholar