Kiingereza cha Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako akiwa MUHAS. Inasikitisha

Acha kutetea ujinga
Kwa hiyo hayo ma-PHD yanasomwa kisukuma?
Mtu anazidiw kingereza hata na Guide wa kupeleka wageni Serengeti alafu unamtetea?
Mtu kama huyu anawezaje kuwakilisha nchi kwenye mikutano na hafla za kamataifa?
Ataongea nini?
Kwani si upumbavu wako tu na jamii yako? Unadhani ni nchi zote wanatumia Kiingereza kwenye mambo nyeti kama hayo? Hata maandiko na maazimio mbalimbali muhimu ya kimataifa,wenye kujitambua huandikwa kwa lugha ya wahusika(hutafsiriwa). Upumbavu wa watu kama nyinyi ndo unawabakisha hapo, lugha hamuijui,mnabaki kupondana na wala hamna suluhisho.

Halafu zingatia
Simaanishi kwamba kufahamu Kiingereza ni dhambi. Kutokana na matumizi yake kimataifa, ni jambo jema kukifahamu. Lakini, namna wabongo tunalichukulia hili ni tafauti na nchi nyingine.Sisi tunaona kutojua Kiingereza ni dhambi. Sisi tumekosa muekekeo, Wabongo hata Kiswahili rasmi tukibanwa hatukiwezi. Tunalaana!
 
Dogo mbona una maumivu makali sana na hasira.
 
Hahaha aice Huyo ndo Honourable Andrew Chenge

IMG_20211203_105820_109.jpg
 
Back
Top Bottom