Kiingereza cha Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako akiwa MUHAS. Inasikitisha

Tuenze na Kiingereza cha brazaj

Hilo jamaa sijui hata kama linaweza kutamka neno "father".

Sera zako na Corona zimeishia wapi?

Nyuzi zote zenye habari ya chanjo naona umekuwa Vicky 😂😂😂😂 mtoto wa Mama!

"Hata Kwenye magoma hutaki kufika" --- Jabali la Muziki.
 
Mimi nimeuliza tu kuhusu matamshi yako ya maneno ya Kiingereza.

Umejibu kwamba “Yanaweza yasiwe mazuri”.

Umelijibu swali langu kikamilifu.
Nyani Ngabu bwana...mpaka kiongelewe kiingereza cha ra ra....ndio utaona kimepatiwa? Kiingereza cha waTZ wengi ni cha kawaida sana, ambacho wala hatuna tatizo nacho tunasonga kadiri tuwezavyo. Matamshi ndio yanaweza kuwa tatanishi kutegemea na mtu alipokulia na pia utayari wake wa kukiongea pasi soni pale alipokuwa mafunzoni.
 
Nyani Ngabu bwana...mpaka kiongelewe kiingereza cha ra ra....ndio utaona kimepatiwa? Kiingereza cha waTZ wengi ni cha kawaida sana, ambacho wala hatuna tatizo nacho tunasonga kadiri tuwezavyo. Matamshi ndio yanaweza kuwa tatanishi kutegemea na mtu alipokulia na pia utayari wake wa kukiongea pasi soni pale alipokuwa mafunzoni.
Kiingereza cha “ra ra” ndo nini?
 
Hata kama ni hesabu alifundishwa lugha gani, Na hesabu ndiko alikospecialize ila somo lenyewe ni saikolojia ya elimu
Sayansi ya hesabu ni kusolve number tu, hilo naomba ulielewe mapema. Mimi nimesoma PCM huko tunasolve maswali tu ya hesabu. Hakuna kiingereza chochote huwezi kumi compare na mtu aliyesoma HKL. Na ukienda kusomea degree ya hesabu ndio kabisaa. Huko ni hesabu tu hakuna kiingereza huko. Kama sio mjanja unaweza kujikuta huna verbs na grammer za kutosha.
 
Muache apumzike kwa amani
Apumzike kwa amani mtu ambae aliteka watu,kutesa,kuua,kufanya ukabila,ukanda,udini,ubaguzi wa rangi kwa wafrika wenzake,kuua uchumi,kudanganya data za uchumi,wateule wake kubaka na kulawiti(Akina Sabaya),kuua uhuru wa kujieleza,kuua demokrasia,kibaka wa wizi wa kura,kututukania dada zetu pamoja na Mama zetu na kadhalika?

Nakumbuka siku alipokufa nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru Mola kwa kuniondolea uchafu katika Taifa langu.
 
Watakufikiria vizuri kwa kuwa sio Professor wa English.
Alafu kusoma sana sio kujua kiingereza,bali namna gani unaweza kukokotoa ulichosemea kutatua changamoto zilizopo.
Hata hivyo ndimi na lugha zetu za asili zinaweza kuwa kikwazo cha kutamka baadhi ya maneno ya Lugha za wenzetu.
Wewe utakua mmoja wa wale akademeshaz
 
Back
Top Bottom