Una bahati condom ilipasuka kenge weweWewe ni Punga tu kama siyo bwabwa.
Sio yetu kweli, Sasa kwa nini wanang'ang'ania kufundisha kiingereza mashuleni.Wazungu hawawezi discuss huo ubovu wa lugha..wana deal na UJUMBE tu ila mi bongo kazi yetu ni kuanza na Lugha iliyotumika..utaskia ongea vizuri,andika vizuri,kaa vizuri,nk nk
Lugha sio yetu kwanza hiyo
si ili tupate cha kuombea kazi kama hicho kilichoandikwa hapo juu...Kinatosha kabisa kujua zaidi ni mbwembwe tuSio yetu kweli, Sasa kwa nini wanang'ang'ania kufundisha kiingereza mashuleni.
Kiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano.
"STRUGG" instead of "STRUGGLE"
"YOU FILL PROUD" instead of "YOU FEEL PROUD"View attachment 1192238
unamchokonoa prince wewe😂hili bango wamepewa ofisi ya pale Ilala Bomani.
Ndo uone walioandamana ni vilaza. You fill proud ndo nini?Kiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano.
"STRUGG" instead of "STRUGGLE"
"YOU FILL PROUD" instead of "YOU FEEL PROUD"View attachment 1192238
Kwa kukodiwa usafiri na posho juu 20KVyovyote iwavyo, Walioandamana wameonyeesha hisia za Uzalendo na Uchungu tulionao kwa Unafiki wa Serikali ya Ramaphosa.
Msijifanye mnajua sana Kiingereza humu jamvini kumbe you just use 'Is and was English' ***** zenu mxiuuuuuu.
Hao hao Wasauz maneno mawili ya Kiswahili hawayajui Mitambo wanaitwa Mitombo, Afrika ya Kusini Wanaita AFRIKA YA KUZINI.
Tulieni Dawa iwangie timu Kivuruge yule aliyekuwa anawapa bando za Matusi humu Bw.Kaflag yuko Segerea.
Duuh kweli Lugha hii imekuwa balaa kwetu siku zote, kwa nini lakini?. Bora wangeandika kiswahili tu maana kimekubalika Ki SADC
Watz wengi kiswahili wanakijua vizuri.Sema sometimes wanafanya makusudi kama swaga fulani tu kutumia baadhi ya maneno kimakosa Kama hayo uliyoyaorodhesha.Kiswahili ndiyo zaidi kwa mmakosa...afadhali kiingereza..angalia Kiswahili cha humu JF ndipo utajua tatizo lililopo.....tunakuwaga ...kusajiri...uharari...jinzia...kuroga...ukuje huku....masaa ya kazi....
struggle amelishikilia herufi za mwisho ila FILL ndo kakoseaKiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano.
"STRUGG" instead of "STRUGGLE"
"YOU FILL PROUD" instead of "YOU FEEL PROUD"View attachment 1192238
Hii ina make sense, kunaweza kuwa na ukweli fulani ndani yake.Walioandika hayo maneno ni watu na akili zao na wamekosea kwa maksud ili tudhani kwamba yameandikwa na hao waandamanaji wa hali duni ukiangalia mwandiko tu utalijua hilo