Mmmh...! Lugha zingine hazimfanyi mtu "aonekane" msomi, wa kileo na mstaarabu??
mamaaaaaaaaaaaaaaa
.kha bee lukelo ulimdeesi uvee.ha ha ha haya bwana.siji.vyote sinamkuu mlimani city unaingia na cheti cha english course,kadi ya kupigia kura,barua ya mjumbe,na pasport size 2
utajibeba
Yaani we acha tu. Rosetta Stone ndie mkombozi
.kha bee lukelo ulimdeesi uvee.ha ha ha haya bwana.siji.vyote sina
Huo ni ulimbukeni tuu kingereza ni wito sio mbaka uwe Umesoma sana.Jali chako kwanza hapa ni nyumba jivunie chako bana
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia mlimani city anaanza kuongea kingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu ubitozi na usister duu!
Whatiiiii dhe matta
kiswanglish
Nyani Ngabu naomba nifundishe maujanja ya ile hard core slang spoken by them hood ass mutherfakazz. (Strictly for my niggaz)
Straight from da hood. Tryna hook up myself with dem Mlimani City chicks, hommie.
I know once in a while unatia timu kulee mitaa ya College Park Na East Point kutafuta blunts.
Lugha inaniona
Mie na kisukuma changu wala sina habari
Kweli wewe al sharpton lol!!! Mzee korofi kiaina ..
Nyani ngabu kumbe wa Atlan'a!🙈
Aisee mi ni mwenzako
Ha ha ha mimi sio mkora! Niko mbioni kujifunza lugha ya watu. Nilikuwa mkora enzi hizoo za Club 112.......one twiz 4 sheeez !!
Nitafutie Rosetta Stone basiii
Nyani Ngabu - he's a good peep.
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia mlimani city anaanza kuongea kingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu ubitozi na usister duu!
Haa nishaanza kushtuka huhitaji rosseta stone wala jiwe kama ulikuwa mkora wa club 112 na jirani zake wkt wenzio tulikuwa tunaona runingani kwenye video za kina jermaine dupri enzi hizo...ebu mwaga slang zaidi za pale...
Hiyo mlimani city ndo iko wapi?ni chuo?