Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,117
- 4,781
Haya nimekupata. Nasubiri Rosetta Stone uliniahidi
Kiingereza kinaongeza hadhi bana. Kinakufanya uonekane msomi, wa kileo, na mstaarabu.
mwangaruka?
Ya nini bwana wkt ulishtua kidogo na maandishi + slang..😇
Btw Rev al sharpton itakuaje wewe democrat na ben carson republican debe utalipigaje this time kumtetea black nominee? Au utaandamana awe democrat??Mana jamaa angekuwa bongo angekuwa chadema kwa kupenda kuandamana
Remix yake ni kua wengi hupenda kushika Funguo za Gari au Simu mkononi wakati nguo walizovaa zina mifuko!!
Ben Carson hana tofauti na Justice Clarence Thomas. They are both uncle Tom.
Hawana msaada wowote kwa wanugu
Wanugu waache fujo na ubaguzi wa kipumbavu wataona changes. In so many ways sipendi tabia zao...
Tabia zipi?
Sasa just because there are a few wanugu you saw with issues like that, is it fair to conclude that all wanugus in the USA are lazy asses or losers?Wavivu mno, wabaguzi wa hali ya juu with nasty attitudes, criminals asilimia kubwa, ukisema neno lolote kama sio black mwenzao they act as victims for being black.. This time around i saw a guy anafanya fujo leasing office ktk apartments flani, reason kapeleka rent nusu wakagoma kupokea due date ilipita wakahitaji full amount. Jamaa fujo ofisi nzima analalamika hawapokei because he is black. Sasa akili kama hiyo ni upumbavu mtupu.
Unakutana na mtu mzima wa afya, hataki kufanya kazi 8hrs anafanya masaa 2 kamaliza siku,halafu anarudi kulalamika anabaguliwa hapati full time job, thats nuts. Kesi wanazoandamana mara nyingi unakuta mhusika ndo hatii hadi wana end up kuuliwa. they need to change km wanataka respect waache ubabe. Tayari sheria inawalinda lkn wapi!
Kiingereza kinaongeza hadhi bana. Kinakufanya uonekane msomi, wa kileo, na mstaarabu.
Watu wenye akili finyu km wewe Utumwa hauto watoka mpaka siku mnakufa.
Una maana Wazee wako wanaoishi bukoba vijijini kwa kutokujua kiingereza hawana Ustaarabu?
Mitoto mingine ni laana tu.
Mnfnssssss.
We kuomba ukimbizi na kutembeA suruali mtepesho tayari inajiona mstaarabu?
Utatongozwa sasa hivi! We legea tu.
Wavivu mno, wabaguzi wa hali ya juu with nasty attitudes, criminals asilimia kubwa, ukisema neno lolote kama sio black mwenzao they act as victims for being black.. This time around i saw a guy anafanya fujo leasing office ktk apartments flani, reason kapeleka rent nusu wakagoma kupokea due date ilipita wakahitaji full amount. Jamaa fujo ofisi nzima analalamika hawapokei because he is black. Sasa akili kama hiyo ni upumbavu mtupu.
Unakutana na mtu mzima wa afya, hataki kufanya kazi 8hrs anafanya masaa 2 kamaliza siku,halafu anarudi kulalamika anabaguliwa hapati full time job, thats nuts. Kesi wanazoandamana mara nyingi unakuta mhusika ndo hatii hadi wana end up kuuliwa. they need to change km wanataka respect waache ubabe. Tayari sheria inawalinda lkn wapi!
Maneno yako kweli tupu.
Tazama jela zote US utakuta zaidi ya 60% ni hao hao wanaoandamana.
Dole offices wamejaa wao.
Selling dope hao hao.
Gangsters hao hao.
Kazi kulegeza suruali tu ka wamejinyea!
Ovyoooo kabisa hawa watu.
Wanatuabisha waafrika wote.
Over 80%ya african Americans watoto wao born in dreadlocks!
Laana tupu!
Sheikh Kahtaan sikatai hizo Numbers lakini kusema kuwa wanugu wote ni wavivu ama ni ovyo sidhani kama ni fair.
Kuna wanugu wema wengi sana kwenye jamii. Wapo akina Keith Ellis, Kaseem Reed, ama akina Louis Farakhan wengi sana kuliko hao walioko jela
Watu wenye akili finyu km wewe Utumwa hauto watoka mpaka siku mnakufa.
Una maana Wazee wako wanaoishi bukoba vijijini kwa kutokujua kiingereza hawana Ustaarabu?
Mitoto mingine ni laana tu.
Mnfnssssss.
We kuomba ukimbizi na kutembeA suruali mtepesho tayari inajiona mstaarabu?
Utatongozwa sasa hivi! We legea tu.
Njoo Detroit. Au katazame hata hio Baltimore yenyewe uone.
umeongea kweli tupu kabisa kwa kweli hakuna mziki nauchukia kama hu wa hawa wahuni black americans unasikiliza mziki wote ni matusi makubwa hauwezi kusikiliza mbele ya mtu yeyote kama ni mtu mwenye akili timamu alafu inapigwa redioni hata kama huko redioni wanaminya hayo matusi lakini haikutakiwa kabisa kupigwa redioni, ndio mana blacks wanadharaulika sababu ya namna wanavyoji tambulisha kwa watu ni uhuni mtupu.Hilo ni kweli Kamanda. Lkn Tatizo liko pale pale.
Km ukipata Wakati nenda Miji tuliojaa sisi wanugu uone balaa.
Njoo Detroit. Au katazame hata hio Baltimore yenyewe uone.
Yaani ni balaa tupu.
Bangi inavutwa km sigara brbrni.
Kila mtu mbabe! Matusi na kashfa imekuwa Utamaduni wa kawaida kabisa.
Ustaarabu wa kawaida kabisa HAKUNA.
kwenye Metros au fast food places ukipanga foleni na Wanugu ni balaa tupu.
Yaani waungwana ni wachache mno.
Hayo maandamano yote wamejaa wizi na wavuta bangi watupu.
Opportunists wanaosubiri kukwiba tu na kupora Pesa za watu za bure.
Shule wengi wanafeli kwa sababu ya Upbringing!
Sisemi wote lkn Ni Big chunk ya watu wetu ndio wabaya.
Tazama hata nyimbo wanazoimba.
Kutwa kucha ni kutukana mama zao tu. Yaani Leo hii kupata mziki wa African American ambae hajamtukana mama yake ndani ya huo mwimbo ni tabu kubwa mno.
Sasa yote hii ni coincidence?
Kwakweli watu wa asili zetu ni wabaya sana. Mpaka wanaponza na wasio husika.