Kiingereza cha Mlimani City

Kiingereza cha Mlimani City

Mmmh...! Lugha zingine hazimfanyi mtu "aonekane" msomi, wa kileo na mstaarabu??

Hahaaa kiongozi, kuna sarcasm hapo.

Ila kuna watu waonavyo hivyo, kwamba Kiingereza ni ishara au alama ya ustaarabu.

Hujawahi kukutana na Wabongo ambao hawajawahi hata kuishi Uingereza au popote pale nje ya Tanzania lakini wanajifanya kama hawakijui Kiswahili?
 
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu, ubitozi na usister duu!
Hawafanyi makusudi bali ...

Lile jengo limekuwa equiped with Special gravity ambayo iko standby kuchezesha lips za midomo mara tu unapoingia mjengoni ili uweze kuzungumza kimombo hata bila ya ridhaa yako....!

Endapo ukifanikiwa kukaa mule kwa zaidi ya saa mbili.. basi utakuwa tayari umekidhi vigezo vya mtu anayestahili kuwa interviewed kwa ajili ya nafasi ya kazi....!
 
Wabongo bwana 😂😂😂
Mtu unamsemesha kiswahili anakuchanganyia lugha, ukiongea kingereza anaanza kuchanganya R na L humo humo kingerezani, past tense zinakuwa future na future zinakuwa present, present tense zinakuwa mixed grill😂😂😂
 
Hawafanyi makusudi bali ...

Lile jengo limekuwa equiped with Special gravity ambayo iko standby kuchezesha lips za midomo mara tu unapoingia mjengoni ili uweze kuzungumza kimombo hata bila ya ridhaa yako...!

Endapo ukifanikiwa kukaa mule kwa zaidi ya saa mbili.. basi utakuwa tayari umekidhi vigezo vya mtu anayestahili kuwa interviewed kwa ajili ya nafasi ya kazi....!

Umenichekesha sana aiseeeee daaahhh sante sana
 
Wabongo bwana 😂😂😂
Mtu unamsemesha kiswahili anakuchanganyia lugha, ukiongea kingereza anaanza kuchanganya R na L humo humo kingerezani, past tense zinakuwa future na future zinakuwa present, present tense zinakuwa mixed grill😂😂😂

Nimecheka hatari inakuwa mixed grill??? Dah nimechekaa sana haya sante sana.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom