Kihongosi: Hatuwezi kushindana na vyama vidogo tunavyovilea, CHADEMA, ACT, CUF wote tunawalea

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja CHADEMA, ACT, CUF na vyama vingine.

CV ya Kihongosi please! Tusije jibizana na mavi
 
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja CHADEMA, ACT, CUF na vyama vingine.

Wawape uwanja huru waacha kuvi sabotage waone
 
Basi awaambie polisi wasitoe usaidizi tuone kama kweli wanalea,msajili wa vyama ambae ndio mlezi kisheria nae anatumika sasa sijui ulezi gani anasema
 
Kweli hawawezi kushindana na vyama vidogo. Ndiyo sababu CHADEMA ikazuiwa kushiriki. Na Mpina akaenguliwa.
 
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja CHADEMA, ACT, CUF na vyama vingine.

Tume huru ya uchaguzi itatuonyesha chama kipi kidogo na chama kipi kikubwa.
 
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja CHADEMA, ACT, CUF na vyama vingine.

Faki zati sonofabitch!
 
Unavilea ama unaviua tena kwa kuvinyonga?
 
Lazima Kihongosi ni mgonjwa! Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kutoa kauli kama hiyo, wakati uhalisia ni kwamba chama chake ndiyo dhaifu kuliko vyotè
 
Katika sheria ya usajili wa vyama vya siasa, hakuna chama mlezi kwa wengine.

Wakati mfumo wa vyama vingi unaanzishwa mwaka 1992, CCM ilikuwa na miaka 15 tu toka kuanzishwa kwake. Leo hii CHADEMA inaazimisha miaka 33 toka kuanzishwa kwake.

Katika mfumo wa maisha ya binadamu, inafika wakati mtoto ndiyo anapata jukumu la kulea wazee wake maana wanakuwa hawajiwezi tena. Nadhani tumefika wakati huo wa CCM kulelewa na hao "watoto wake" maana kwanza haijiwezi tena na imesahau majukumu yake na taratibu za kawaida tu za kuendesha siasa za nchi.
 
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja CHADEMA, ACT, CUF na vyama vingine.

Kulea chama kwa kukifungia na kumuweka detention kiongozi wake kwa miezi almost 10?
Hiyo ni aina gani ya maelezo.
 
Back
Top Bottom