Kigwangalla jiulize sana kwanini wewe

Kigwangalla jiulize sana kwanini wewe

Watu wanasema aliachwa kwa sababu alikuwa anachapa sana wake za watu na kuwa na demu kila mkoa hapa Tanzania.Inasadikika ni yeye ndiye Mtanzania wa kwanza kuwa na wanawake kila mkoa na Wilaya hapa nchini.
 
Ni mpambanaji kisha anashinda kwenye ushirikina ili awe Mbunge na Waziri? Kwanini asibaki kwenye huo upambanaji wake?
Na anapambana kweli
Screenshot_20201206-115356.jpg
 
Juzi nimepitapita mitaa mbalimbali ya starehe mjini Nzega kwa kweli watu nilioongea nao wameonyesha kufurahia sana kutemwa uwaziri kwa mbunge wa Nzega,Dr Hamis Kigwangala ikiwemo nyumbani kwao na hata aliosoma nao primary, wanadai kwamba alilewa madaraka akajiona matawi na kumsharau kila MTU .hii ni funzo kwa kila aliyejuu akijidai hata ataisoma namba
 
Wengi wao utakuta ni bavicha na nyumbu wenzao,
 
Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dkt. Kigwangalla kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta ya utalii wamefurahi pia.

Ndugu yangu Khamisi una suala la kujiuliza ni kwanini watu wengi wamefurahia wewe kuachwa na JPM.

Ofcoz kuna vitu vilikuwa vinaniboa hata mimi kama zile tabia zako za kutweet tweet! Hivi Waziri wa Wizara kubwa kama ya Utalii unatoa wapi muda kwa kubishana mitandaoni?

Pole sana ila bado kijana mdogo unao muda wa kujifunza.
Jamaa hapendwi aisee
Screenshot_2020-12-08-13-47-49-510_com.whatsapp.jpeg
 
Magi anamchana kigwagangala kuchukua ndege za tanapa na kwenda kustarehe. Haha analog Hilo bagaile
 
Back
Top Bottom