Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,575
- 12,368
Viongozi wa CCM awamu hii kila atakayeachwa watu sherehe tu, hata siku Magufuli akiondoka ni furaha tu
Wanazingua sana
Wanazingua sana
Wametesa watu sanaViongozi wa CCM awamu hii kila atakayeachwa watu sherehe tu, hata siku Meko akiondoka ni furaha tu
Wanazingua sana
Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
Baba ukiwa waziri unapewa Dereva, Katibu, walinzi, gari, mafuta, posho, nyumba na unakuwa mjumbe wa baraza la mawaziri.Washabiki wa simba,ambao wapo upande wa dewji.
Hata hivyo uwaziri ni bonus tu,ubunge mbona unatosha sana ,si anawawakilisha tu waliomchagua,halafu sio masikini hamisi.no mpambanaji haswa.hata hao walioteuliwa wengi tu hawatamaliza mitano.
Tamaa tu,mbona Hamisi tajiri,anaweza kuajiri ,dereva, walinzi n.k.mtu ama miradi kibao,na ni mkulima wa nguvu,ana ng' ombe kama 5000 hivi .Baba ukiwa waziri unapewa Dereva, Katibu, walinzi, gari, mafuta, posho, nyumba na unakuwa mjumbe wa baraza la mawaziri.
Utajiri na kuwa na mamlaka ni vitu viwili tofauti kabisa, Donald Trump ni tajiri na hana dhiki lakini anaulilia uraisi wa USTamaa tu,mbona hamisi tajiri,anaweza kuajiri ,dereva, walinzi n.k.mtu ama miradi kibao,na ni mkulima wa nguvu,ana ng' ombe kama 5000 hivi .
Hakuna mtu akapendwa na watu wote, hata uwe mwema wa namna gani, hata hao mitume wa Mwenyezi Mungu walichukiwa na kuteswa, huwezi kumridhisha kila binadamuSiku zote ukiwa ni Mshirikina, Mnafiki, Malaya na 'typical Sadist' Wananchi wa Kawaida pamoja na hata 'Mwenyezi Mungu' hawatokupenda kamwe.
Itakuwa Hamis alikuwa waziri wa utalii katika serikali ya machadema.Machadema ndiyo yamefurahia ,yana roho ya korosho sana.
Aisee, noma kweli!Mkulungwa si ndio Yule anaroga hadharani na alimtoa mtoto wake kafara?
Tamaaa,Utajiri na kua na mamlaka ni vitu viwili tofauti kabisa, Donald Trump ni tajiri na hana dhiki lakini anaulilia uraisi wa US,
Cheo/Mamlaka na mali ni vitu viwili tofauti kabisa.
Kafara ya kale katoto kake ndio ina mla, ushirikina wake umemgharimuKila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dr Kigwangala kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta ya utalii wamefurahi pia.
Ndugu yangu Khamisi una swala la kujiuliza nikwanini watu wengi wamefurahia wewe kuachwa na JPM.
Ofcoz kuna vitu vilikuwa vinaniboa hata mimi kama zile tabia zako za kutweet tweet!! Hivi waziri wa wizara kubwa kama ya utalii unatoa wapi muda kwa kubishana mitandaoni???
Pole sana ila bado kijana mdogo unao muda wa kujifunza
Ukishangaa ya kingwangala utaona maajabu kwa Trump si alikuwa ana tweet mpaka AMRI AU MAELEKEZO na zinafANYIWA KAZI? SASA RAIS TRUMP NA KINGWA WETU NI MLIMA NA KICHUGUU.




Watu wote wenye maneno ya shombo na ulimbukeni kama Kigwa na Nape haya ndiyo matunda yao!Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dr Kigwangala kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta ya utalii wamefurahi pia.
Ndugu yangu Khamisi una swala la kujiuliza nikwanini watu wengi wamefurahia wewe kuachwa na JPM.
Ofcoz kuna vitu vilikuwa vinaniboa hata mimi kama zile tabia zako za kutweet tweet! Hivi waziri wa wizara kubwa kama ya utalii unatoa wapi muda kwa kubishana mitandaoni?
Pole sana ila bado kijana mdogo unao muda wa kujifunza.
Bila kusema uwongo, Dkt Ndungulile ni kiongozi.Mbona Ndungulile watu walisikitika?
YapBila kusema uwongo, Dkt Ndungulile ni kiongozi.
Watanzania siyo wajinga, wanaona na wanatambua viongozi wasanii na viongozi wa ukweli
Kigwa sio kijana kabisa wewe unamiaka mingapi?Kigwangawala bado anayo nafasi kubwa sana ni kijana mdogo. Muhimu ajikite sana jimboni kwake huo ndio mtaji wake was pekee. Jimboni kwake hakutegemei sana uoendeleo wa uteuzi.