Kigwangalla jiulize sana kwanini wewe

Kigwangalla jiulize sana kwanini wewe

Kigwangwala usipojifunza kwenye hili basi hutofika mbali
 
Madaraka ulevya
 
kutweet jambo la kawaida mbona Trump anashinda Twitter na ni raisi wa USA sembuse waziri wa sector.

Shida ya HK analewa madaraka ndo shida ila bado ni mbunge koo silingani nae uhakika wa B1 kwa miaka 5 ana uhakika yeye
Trump kaajili watu wa kushinda tweeter sio kwamba ye ndo anatweet
 
Ajifunze kuwa si kila mtu ni wa kugombana nae. Ukiona umemzidi kwa hili inawezekana yeye kakuzidi kwa lile. Ashukuru Mungu kulikuwa na mkakati wa chama tawala 'kupita' kwa kishindo kupelekea leo hii kuwa mbunge. Tofauti na hapo kwa uhasama aliojijengea hata ujumbe wa nyumba kumi asingepata.
 
Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dr Kigwangala kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta ya utalii wamefurahi pia.

Ndugu yangu Khamisi una swala la kujiuliza nikwanini watu wengi wamefurahia wewe kuachwa na JPM.

Ofcoz kuna vitu vilikuwa vinaniboa hata mimi kama zile tabia zako za kutweet tweet! Hivi Waziri wa Wizara kubwa kama ya Utalii unatoa wapi muda kwa kubishana mitandaoni?

Pole sana ila bado kijana mdogo unao muda wa kujifunza.
Ile kauli aliotoa eti akikamata jangili anammiminia risasi kama zote ndio aliharibu.
 
Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dr Kigwangala kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta ya utalii wamefurahi pia.

Ndugu yangu Khamisi una swala la kujiuliza nikwanini watu wengi wamefurahia wewe kuachwa na JPM.

Ofcoz kuna vitu vilikuwa vinaniboa hata mimi kama zile tabia zako za kutweet tweet! Hivi Waziri wa Wizara kubwa kama ya Utalii unatoa wapi muda kwa kubishana mitandaoni?

Pole sana ila bado kijana mdogo unao muda wa kujifunza.
Huo utafiti wa usema HK anachukiwa umeufanya lini na wapi,acheni unafiki,cheo ni dhamana hakuna atakaye kaa nacho milele. HK si wa kwanza na si wa mwisho.
 
Kigwangalla ni kijana mdogo wakati yupo above 45! Huenda wewe una miaka 70+ ndio maana unasema huyo muhuni ni kijana mdogo.
Binafsi nilimpenda sio kama waziri bali kwa swali kuntu juu ya janjajanja ya kanjibahi. 20 bn zikowapi wakati yeye anaendelea kujinufaisha na matangazo ya ya mo ndani na nje ya Africa. Kiungozi 45yrs ni miaka kuchache ni mbichi kabisa
 
Alikua anawapigisha pushup wazee, pumbavu huyu bora amekatwa.
 
Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dr Kigwangala kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta ya utalii wamefurahi pia.

Ndugu yangu Khamisi una swala la kujiuliza nikwanini watu wengi wamefurahia wewe kuachwa na JPM.

Ofcoz kuna vitu vilikuwa vinaniboa hata mimi kama zile tabia zako za kutweet tweet! Hivi Waziri wa Wizara kubwa kama ya Utalii unatoa wapi muda kwa kubishana mitandaoni?

Pole sana ila bado kijana mdogo unao muda wa kujifunza.
HUYU NI DOKTA WA MIFUGO AU ????
 
Back
Top Bottom