Waswahili wa ccm ndio zao hizo; yule wa Morogoro alimtoa mkewe kafara akapita ubunge bila kupingwa!!Mkulungwa si ndio Yule anaroga hadharani na alimtoa mtoto wake kafara?
Namshauri asije kutoa kafara familia yake ili arejeshwe kwenye CABINET.Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dkt. Kigwangalla kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta ya utalii wamefurahi pia.
Ndugu yangu Khamisi una suala la kujiuliza ni kwanini watu wengi wamefurahia wewe kuachwa na JPM.
Ofcoz kuna vitu vilikuwa vinaniboa hata mimi kama zile tabia zako za kutweet tweet! Hivi Waziri wa Wizara kubwa kama ya Utalii unatoa wapi muda kwa kubishana mitandaoni?
Pole sana ila bado kijana mdogo unao muda wa kujifunza.
uyu wa kushoto mbona kama kajamba 😂😂😂Ukiangalia hii video ndo unaona huyu Waziri alikua mpumbavu kwa kiwango kikubwa japo kanizidi hela na vyeo alivyopata.
Mzaha si mzaha?
View attachment 1643860
Mtu mwenye 45 ni kijana mdogo?Kigwangawala bado anayo nafasi kubwa sana ni kijana mdogo. Muhimu ajikite sana jimboni kwake huo ndio mtaji wake was pekee. Jimboni kwake hakutegemei sana uoendeleo wa uteuzi.
ndo utanzania huoWatanzania tuna roho za husuda sana.
Unahitaji utafiti kama unatembelea mitandao utaona dhahiri.Huo utafiti wa usema HK anachukiwa umeufanya lini na wapi,acheni unafiki,cheo ni dhamana hakuna atakaye kaa nacho milele. HK si wa kwanza na si wa mwisho.
Wanaofurahia na ALIYEMTOSA nani hasa ana roho ya KOROSHO???🤣🤣🤣Machadema ndiyo yamefurahia, yana roho ya korosho sana.
baadhi ya watanzania walio wengi tumekuwa na tabia mbaya ya Majungu na fitina, wengi walimpiga sana Majungu Hamisi Kigwangwala sio kwa jambo jingine bali kutokana na uhodari wake wa kuchapa kazi kwa weledi. sijui kwa nini watanzania huwa wanawachukui na kuwaundia zengwe viongozi mahirii??!
tutaishi kwa kupigana majungu na fitina mpaka lini?!?
haya kwa sasa Hamisi Kigwangwala hayupo sasa tafuteni mwengine muanze kumpiga majungu na fitina.
tuache tabia ya majungu na fitina, majungu na fitina havijengi bali hubomoa
Uhodari wa Twitter au uhodari gani?baadhi ya watanzania walio wengi tumekuwa na tabia mbaya ya Majungu na fitina, wengi walimpiga sana Majungu Hamisi Kigwangwala sio kwa jambo jingine bali kutokana na uhodari wake wa kuchapa kazi kwa weledi. sijui kwa nini watanzania huwa wanawachukui na kuwaundia zengwe viongozi mahirii??!
tutaishi kwa kupigana majungu na fitina mpaka lini?!?
haya kwa sasa Hamisi Kigwangwala hayupo sasa tafuteni mwengine muanze kumpiga majungu na fitina.
tuache tabia ya majungu na fitina, majungu na fitina havijengi bali hubomoa
Mbona hatumuonei husda Bakhressa?Watanzania tuna roho za husuda sana.
Publicity inaweza kukunyanyua sana lakini publicity inaweza kukuangusha chini haraka (Aliji expose sana).Kigwangwala ni kijana,msomi na bado ana future nzuri.Kwa usomi wake anachokosa ni madaraka ya kisasa,kuingia baraza la mawaziri lakini akitulia nanaweza kuendelea na amsiha tena mazuri tu.Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dkt. Kigwangalla kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta ya utalii wamefurahi pia.
Ndugu yangu Khamisi una suala la kujiuliza ni kwanini watu wengi wamefurahia wewe kuachwa na JPM.
Ofcoz kuna vitu vilikuwa vinaniboa hata mimi kama zile tabia zako za kutweet tweet! Hivi Waziri wa Wizara kubwa kama ya Utalii unatoa wapi muda kwa kubishana mitandaoni?
Pole sana ila bado kijana mdogo unao muda wa kujifunza.
Hahahaha duuhHata kwenye account za umbea insta tupo nae anacomment kabisa bora angekuwa anatumia face account
Duuh uko karibu nae Nini?.Sio kwa Level ya Kigwangalla boss.