Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Wakati Dr Slaa na viongozi na wanachama wachadema wanazidi kujenga chama kila pembe ya nchi, Zitto kaweka kambi Serena Hotel jiji Dar akipigania kuihujumu chadema kazi ambayo kimsingi na kimanti ya hujuma imemshinda,
 
Mimi sio kijana, Akili zangu zingekuwa zimedumaa si ningekuwa Bavicha..

pole mkuu jitihada mmefanya lakini siku ya kufa nyani kila mti uteleza, msaidieni tu huyu dogo kwa kumpa nafasi kwenye chama chenu au aanzishe chama chake.
 
Wakati Dr Slaa na viongozi na wanachama wachadema wanazidi kujenga chama kila pembe ya nchi, Zitto kaweka kambi Serena Hotel jiji Dar akipigania kuihujumu chadema kazi ambayo kimsingi na kimanti ya hujuma imemshinda,

Kama kujenga chama ni kuzunguka kumwaga fitna dhidi ya wenzenu huku mkiwataka wanyamaze wafe kimyakimya kweli mmekosea njia.... Kutetea Haki yako na Kusema
Ukweli haiwezi kuwa hujuma isipokuwa itakapokuwa dhidi ya maslahi ya kilaghai!
 
VIVA OPERESHENI TUJIDANGANYE..... kinachouma ni kuwa kina Mzee Slaa wanajikamatia posho ya 250,000 kwa siku za walipa kodi wa Tanzania kuendsha propaganda ya kujimaliza!

Wewe ndo kabisa na kablog kako sijui hata kama unapata buku 7 Lumumba zaidi ya kujikomba
 
fanya hivi! tutawafundisha hadi lini?

attachment.php

goma la leo hili,naona ukungu-ukungu.Dr.Slaa gwiji la siasa Afrika
 
Ndiyo unaamka basi toa tongotongo uone vizuri.
By msoga yetu anasema eti ni watoto! hajui kuwa asilimia kubwa kule wana miili ya kati kama kina zito, kafulila, Diamond nk. kwanza ingekuwa ni watoto ungekuta wanakimbizana wenyewe tu uwanjani.
 
CHADEMA GO=>GO=>GO. Ni mpango wa Mungu hakuna wa kutuzuia.

Ninawashukuru sana wanainchi wa Kigoma kwa muitikio mkubwa nashauku yenu kubwa ya kufuatilia na kukiunga mkono Chama chetu kwa hali na mali katika kutimiza azma yake ya kuleta MABADILIKO ya Kisiasa na ya Kiuchumi hapa Nchini. Licha ya kejeli na vitisho vingi kutoka kwa Masalia na Vibaraka wa CCM,bado wana-Kigoma mumeweza kusimama Imara na kuwapinga Wasaliti akina Zitto Kabwe kwa kutambua ukweli kwamba Chama sio mtu mmoja au kigenge cha watu, bali ni Jumuia ya watu wengi(wanachama na wapenzi) wenye Nia; Kusudio; Mkakati na Dira ya kutupeleka na kutufikisha kwenye MABADILIKO tuliyokusudia kwa kufuata Kanuni,Maadili,Sera na Katiba ya Chama na si vinginevyo.

Na tuzidi KUSHIKAMANA na hatimaye USHINDI ni wetu sote.
Tukumbushane UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU.
KWA MTAJI HUU CHADEMA TUMESHINDA.
 
Ngoja tusubiri ziara ya zito huko ndo tutaona kati ya slaa na zito nani anavuta watu wengi hapo.
 
sio hofu wana hasira nae.

Kweli mkuu, wanamsubiri kwenye balot box! Inanikumbusha nyimbo ya "ndio mzee remix"! Kile kipengele cha,"naona wengi wenu mko kimya na mmekunja sura,inavyoonyesha tumekubaliana" watu wakamjibu " aa wapi" ndio taswira ninayoiona kwa hao watoto hapo kikaoni!
 
goma la leo hili,naona ukungu-ukungu.Dr.Slaa gwiji la siasa Afrika

Warusha mawe leo wamenywea baada ya kusikia Makamanda wa Red brigade walivyowakafini wale mamluki waliotumwa na Matata toka Mwanza kuja kufanya fujo. Chezeya brigado nyekundu weye!
 
ha ha ha! Mnanikumbushaa enzi za mrema kusukumwa na gari jangwani!

nini mrema , hata wewe unaweza kusukumwa, watu wamebadilika, unaongea kama yule mpuuzi mtoto wa makamba, alivyokuwa anaongea na wanazuoni wasio jielewa, mnafiki mkubwa wewe,
 
Mvua imewalowesha buku 7..___....______._......wapi mayai vizza?
 
Back
Top Bottom