bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,206
- 2,908
Sijawahi kumuamini mtu wa Kigoma...
Kwani ni wezi, majambazi, au........
Sijawahi kumuamini mtu wa Kigoma...
Sasa ndo mjue kgm ninyi ni watu wamageuzi lakini hamna misimamo,wepesi kurubuniwa,sasa mmeona njia rshisi ni kuanzisha genge la waha ACT na nawambieni wote mnaofuata upepo itakula kwenu tu hakiendi popote hicho kikundi cha waha wajinga ambacho kimekaa kidini zaidi mfalme wenu mwaka jana kaanza kueneza udini chinichini na kuwapeleka washehe maka then akatangaza nakuja kugombea mjini kgm na chama kipya cha waha,hongera CDM kwa kumgundua mapema msaliti huyu mpenda madaraka sasa afurahi amepata ufalme wa chama.
Ulichokiandika kinadhihirisha pasipo shaka uwezo wa ubongo wako jinsi ulivyo.Si sahihi na haitakuwa hivyo hata siku moja kuchukua kosa la mtu mmoja na kuliwianisha na jamii nzima atokopo mtu huyo.Makosa ya Zitto yanawezakuwa ni yake yeye kama Zitto na si makosa ya wanakigoma wote kwa ujumla.Unavyowatukana hivyo at the same time unataka uungwaji mkono wao nini kitatokea? Jamani siasa si vita wala ubaguzi kiasi hiki,na pia tujifunze kutoa maoni yanayojenga na si kubomoa.Kumbuka katika siasa chochote kinaweza tokea wakati wowote,acheni dharau zenu.
Amejipa jina zuri eti fikirikwanza lakini maneno na mawazo yake hayaonyeshi kwamba ametumia hata 5% ya akili yake.
Acha ujinga kuna wanachadema wenzako kibao kigoma ambao unawakwaza. Sio kila mtu wa kigoma ana mshikamano na Zitto
FIKIRI KWANZA MWEHU WEWE (HUYO ANAYEJIITA fikiri kwanza) siyo mkuu wangu longobesi bombasi
Umekamatwa ukakamatika
Me mwenyewe sijawahi kuwaamini wachaga kwani niwazurumatii balaa, wakiona pesa wapo tayar kukutoa roho, je wakiingia ikulu c ndo wananchi watakula nyasiii
Kila mtu anakushangaa wewe mleta mada kwani ACT si chama? .Vyama vyote vilianza vikiwa vichanga vikakua. Kwa taarifa yako niko maeneo ya Musoma na Tarime kikazi ACT kinapokea wanachama kwa kasi ya ajabu na walio wengi wanalipia kadi zao kwa miaka 10. sijawahi ona chama kinachokwenda kwa spidi ya namna hii labda TANU ya Uhuru. Ama kweli wananchi wamemkumbuka Baba wa Taifa mwl. J.K. Nyerere
ACT CHAPA MWENDO IKIWEZEKANA CCM IONDOKE MWAKA HUUHUU
sisi ni zito tu wanakigoma chadema bai
kila mtu anakushangaa wewe mleta mada kwani act si chama? .vyama vyote vilianza vikiwa vichanga vikakua. Kwa taarifa yako niko maeneo ya musoma na tarime kikazi act kinapokea wanachama kwa kasi ya ajabu na walio wengi wanalipia kadi zao kwa miaka 10. Sijawahi ona chama kinachokwenda kwa spidi ya namna hii labda tanu ya uhuru. Ama kweli wananchi wamemkumbuka baba wa taifa mwl. J.k. Nyerere
act chapa mwendo ikiwezekana ccm iondoke mwaka huuhuu
Hapo kuhusu elimu umepiga penyewe. Mwenye ufahamu atakuelewa. Hili jambo ndilo lililo chelewesha sana maendeleo ya Kigoma mpaka wakalalama kuwa wao wanaonekana kama sio Watanzania bali watu wa Burundi, kumbe sababu ni wao wenyewe.
Kila mtu anakushangaa wewe mleta mada kwani ACT si chama? .Vyama vyote vilianza vikiwa vichanga vikakua. Kwa taarifa yako niko maeneo ya Musoma na Tarime kikazi ACT kinapokea wanachama kwa kasi ya ajabu na walio wengi wanalipia kadi zao kwa miaka 10. sijawahi ona chama kinachokwenda kwa spidi ya namna hii labda TANU ya Uhuru. Ama kweli wananchi wamemkumbuka Baba wa Taifa mwl. J.K. Nyerere
ACT CHAPA MWENDO IKIWEZEKANA CCM IONDOKE MWAKA HUUHUU
Kila mtu anakushangaa wewe mleta mada kwani ACT si chama? .Vyama vyote vilianza vikiwa vichanga vikakua. Kwa taarifa yako niko maeneo ya Musoma na Tarime kikazi ACT kinapokea wanachama kwa kasi ya ajabu na walio wengi wanalipia kadi zao kwa miaka 10. sijawahi ona chama kinachokwenda kwa spidi ya namna hii labda TANU ya Uhuru. Ama kweli wananchi wamemkumbuka Baba wa Taifa mwl. J.K. Nyerere
ACT CHAPA MWENDO IKIWEZEKANA CCM IONDOKE MWAKA HUUHUU
Hujui usemalo, nyamaza milele. kama huelewi usije na hoja kuwa kitu hiki ni kibaya kisa huelewi, nyamaza, hujui kwa nini niliandika vile. waliosoma na kuelewa hajauliza upuuzi kama wako huuJirekebishe jamaa yangu