Kigoma sio ndondocha

Kigoma sio ndondocha

Kweli si ndondocha hata kidogo, maana ndondocha huwa ni mtu mwenye akili safi hapo awali ambaye ameathiriwa na uchawi na hivyo akili yake kuwa zezeta. KIGOMA wao sio ndondocha ila ni taahira, yaani watu ambao wamezaliwa na ubongo mbovu kwa mapenzi ya mungu sio wachawi. Asanteni

Asante kwa kutuona sisi ni MATAAHIRA, mungu akubariki na kukuongezea maarifa
 
Nipo kigoma kiukweli ACT ipo tu mwandiga,ujiji,buzeba,gungu na sehem zingine chache sana kama hapa kwenye boda ya kuingia burundi manyovu na buhigwe hakina nguvu kabisa
 
kigoma ndio mkoa wa kwanza kupeleka mbunge wa upinzani bungeni wakati wa uchaguzi mdogo mwaka 1994(baada ya mbano kufariki)
leo unawaita watu wa kigoma kuwa wanapinga kuondoa dhuluma??
dhuluma ipi unayoizungumzia??
zzk ameshaondoka cdm kama mlivyotaka kwa maslahi ya mwenyekiti.
sasa mbna povu linawatoka???
kama ni mpango wa Mungu zzk atang'ara na kama co atakuwa kama mrema
me nadhani umefika wakati mfanye kazi muache majungu
zzk is gone!!

Off course, ZZK is gone, he is no longer an issue in Chadema. Zitto knows exactly what is doing, getting and aiming at. The issue here is those poor people who are following his steps to ACT unknowingly and unconsciously. These people are just forgetting that they have invested a lot of their resources (money, time, energy, blood, sweat) to bring up chadema to that level it is now. From no where a single person who has been evicted from the party for personal mistakes is convincing others to follow him to a new party and leave and foregone their capital behind with Chadema. This is my great worry nothing else!. I think Zitto had only one fruitful choice to make which was to say "I am very sorry" to his group members (chadema) for what happened instead of starting a new political party at this time of the day towards the general election. I am very sure that he is going to extinct politically as the today's Tanzanians a quit different, they know what they want and what they don't.
 
Wanakigoma ni wakabila sana na wanasiasa za ukabila ,hawafuati sera wanafuata mtu alikuwepo Dr Kaboul naye walimoenda akawatema ,sasa huyu ndumilakuili Mungu atusaidie amtoe kwenye siasa hili tupate ukombozi tulio wanyonge.

Huo ni umasikini wa fikra kuamini kuwa kuna mwanasiasa atakutoa kwenye unyonge ulionao, fanya kazi kwa bidii acha kushabikia siasa kwa kufuata upepo bila kuwa critical.

Hao CHADEMA unaowashabikia so far wamesaidia nini katika kuboresha maisha yako? Bunge litakapo vunjwa wabunge watavuna kiinua mgongo zaidi ya milioni 40, wewe na familia yako mtavuna nini?
 
Natafuta kiwanja Kilimanjaro naweza pata?
 
Huo ni umasikini wa fikra kuamini kuwa kuna mwanasiasa atakutoa kwenye unyonge ulionao, fanya kazi kwa bidii acha kushabikia siasa kwa kufuata upepo bila kuwa critical.

Hao CHADEMA unaowashabikia so far wamesaidia nini katika kuboresha maisha yako? Bunge litakapo vunjwa wabunge watavuna kiinua mgongo zaidi ya milioni 40, wewe na familia yako mtavuna nini?

Inaonekana wewe hujui vitu vingi kwenye maisha. Unahitaji kujua kuwa wanasiasa ndo watakaosababisha ujenge nyumba nzuri lakini ndani hakuna maji wala umeme, wanasiasa ndo watakaosema mazao yako ukalime na kuuza wapi kwa bei gani. Wanasiasa ndo wanaoamua kodi iwe kiasi gani, watoto wako wasome nini madarasani, utibiwe wapi na nani, ndo wanaoamua tupigane vita na nchi gani, tunywe maji, vinywaji na kula vyakula vya aina gani, n.k. Wanasiasa ni kila kitu kwako my firiend, kuna uhusiano mkubwa kati ya wanasiasa na aina ya nyumba unayoishi, usafiri unaotumia, chakula unachokula, mtaa unaoishi, nguo ulizovaa, shuka unayojifunika na shule uliyosoma. Acha mwanangu kufikiri kidogo namna hii kuhusu siasa na wanasiasa. Unadhani kuwa una maendeleo kwakuwa hujui maendeleo ni nini na yakoje. Mfano, watu wenye maendeleo hawalali kwenye nyumba zilizozunguushiwa ukuta mrefu wa matofali, geti la chuma, madirisha yenye nondo, na milango ya chuma. Mtu mwenye maendeleo habebi maji kichwani, takataka hazirundikani nyumbani kwake bila kuondolewa kwa wakati, hakai mwenye nyumba isiyokuwa na maji, wala havai viatu na nguo za mitumba wakati vitu vipya vipo madukani. Hivyo wewe na mimi tunahitaji chama cha siasa chenye nguvu kama chadema kitakachosaidiana na nguvu na juhudi zetu binafsi katika kutuletea maendeleo ya kweli sio hayo maendeleo yako bandia unayoyasema wewe ya kujenga nyumba isiyo na viwango kwenye kiwanja na mtaa usiopimwa, usio na maji na kutumia choo cha shimo nje ya nyumba.
 
Sio kweli kwamba watu wa Kigoma wote wana akili hizo za kukaririshwa na akina Kasisiko na Zitto.Wengi wanajitambua na ndio maana wengi bado wapo chadema nikiwa mmoja wao
 
wakati zzk anakipeleka chama mahakamani mlisema atoke na aanzishe cha kwake sasa kaanzisha mnaanza kuwashwa makalio, kwa akili zenu mlitegemea zzk aungwe mkono na wachaga? mna akili ndogo sana ni lazma aungwe mkono na watu wa kwao hata chadema ndivyo ilivyo kwahiyo ondoeni matapishi yenu hapa.Na bado itawauma sana.

Nasisi wasukuma tutoke ACT NA CCM!! tuamie UDP!!! chama chetu...hapa naona tunaanza kugawana sio!!!
 
bavicha poleni sana naona mnameza dawa taratibu lakini sioni mkipata nafuu

Baada ya kusambarika kwa chama cha Nccr Mageuzi,baada ya kufa chama UDP kwa siasa za ukabila na ukanda.Baada kukijenga chama chao chadema kwa muda mtefu na baada ya kujua kuwa,Ccm imemhonga Zitto na kumtumia kwa staili ya aina yake,haikuwa shida kwa Viongozi wakuu wa chama na serikali walipotangaza kuwa Chadema itasambaratika ndani ya 2014.

Mpango uliosukwa wa kuwapa fedha wanachama wa chadema( baadhi kuasi,kuvuruga chama,wakaanzisha Act kisiri.

Ndio maana Mh.Wassira,Mh.Waziri Mwigullu Nchemba,na Nnape Nnauye nae alisimama Singida kwa Tundu Lissu,Tandahimba,Mbozi kwa, shinyanga kwa madiwani wetu waliojitoa kuwa Chadema itakufa karibuni. Tuwakumbushe tu kuwa " watu wajinga hufanya mambo kuwafurahisha watu,bali wenye hekima hutenda mambo wayatakayo wenyewe"
Wanaohadaika/ watakaohadaika na zitto itakuwa biashara kichaa,Muda wa kujisimamia umefika,watanzania tusimame upande wetu!!!
 
Sio kweli kwamba watu wa Kigoma wote wana akili hizo za kukaririshwa na akina Kasisiko na Zitto.Wengi wanajitambua na ndio maana wengi bado wapo chadema nikiwa mmoja wao

Safiiii sana mkuu, ndo maana nimesema Kigoma sio ndondocha wanazo akili zao, wanafahamu walichowekeza tayari ndani ya Chadema tangu enzi ya akina Walid Kabouru hadi leo, eti uwaambie waende tena wakaanze kukinadi chama kipya hadi vijijini na vitongojini wakati uchaguzi ni keshokutwa itakuwa ubadhilifu wa akili zao.
 
Baada ya kusambarika kwa chama cha Nccr Mageuzi,baada ya kufa chama UDP kwa siasa za ukabila na ukanda.Baada kukijenga chama chao chadema kwa muda mtefu na baada ya kujua kuwa,Ccm imemhonga Zitto na kumtumia kwa staili ya aina yake,haikuwa shida kwa Viongozi wakuu wa chama na serikali walipotangaza kuwa Chadema itasambaratika ndani ya 2014.

Mpango uliosukwa wa kuwapa fedha wanachama wa chadema( baadhi kuasi,kuvuruga chama,wakaanzisha Act kisiri.

Ndio maana Mh.Wassira,Mh.Waziri Mwigullu Nchemba,na Nnape Nnauye nae alisimama Singida kwa Tundu Lissu,Tandahimba,Mbozi kwa, shinyanga kwa madiwani wetu waliojitoa kuwa Chadema itakufa karibuni. Tuwakumbushe tu kuwa " watu wajinga hufanya mambo kuwafurahisha watu,bali wenye hekima hutenda mambo wayatakayo wenyewe"
Wanaohadaika/ watakaohadaika na zitto itakuwa biashara kichaa,Muda wa kujisimamia umefika,watanzania tusimame upande wetu!!!

Swadakta, huu ni mchakato tu wa kinyonga anapotaka kufa, atajitahidi kubadlisha rangi zake zote alizokuwa nazo akidhani kuwa itamsaidia lakini wapi bwana moto unawaka na uko karibu yake na kukimbia kwake ndo huko. Nitashangaa sana kama CCM itakaa kimya kungojea kuondolewa madarakani, mengi tutaendelea kuyasikia tu, ila siku zote umoja ni nguvu.... wacha historia itakujakuwarudishia uhai wao wale wote watakaopotea kwenye harakati hizi sawa na ilivyowarudishia uhai akina Lumumba, Mashel, Nkrumah, Karume, n.k ambao hivi sasa wanatajwa sana kwa mazuri yao kuliko sisi tunaoishi.
 
Kila mtu atawashangaa watu wa Kigoma akisikia kuwa watu wa Kigoma wamejiunga kwa wingi na chama kipya cha siasa cha ACT. Ingawa kila mtu anayo haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa katika mfumo wa vyama vingi lakini haki hiyo lazime iwe na uhalisia ndani yake. Zitto alipata umaarufu kupitia chadema chama ambacho sasa kimekuwa hadi kufikia kuwa chama kikuu cha upinzani nchini ambacho kinaogopwa sana na chama cha CCM pamoja na watu wengine ambao wanadhani kuwa kama CCM kitashindwa na maslahi yao nayo yatakuwa yako hatarini.

Chadema pamoja na Zitto ndani ya chadema na mikakati yao walikuwa wanakaribia sana kulishika makalio dume la nyati. Juhudi hizi za kulipapasa dume makalio zinadhoofishwa na akina Zitto na washirika wake kwa kuanzisha tuhuma nzito kwamba chama ambacho alijiunga nacho akiwa na umri wa miaka 16 tu eti hakina demokrasia. Hii sio kweli hizo ni juhudi mahususi za kulikwepesha dume na aibu ya kushikwa makalio yake kirahisi japo kwa kuondoa angalau hata kura 100 tu kutoka kwa wapinzani.

Wananchi wa Kigoma kujiunga na chama kinda cha ACT kwa kumfuata Zitto watakuwa wanaingia kwenye historia ya watanzania waliopinga na kuchelewesha kuondoa dhuluma nchini sawa na akina Zuberi Mtemviu enzi za TANU na Nyerere. Zitto anatumia ukabila (U-Kigoma) na uelewa mdogo wa wananchi katika kufanya biashara ya kuchelewesha kuing'oa CCM madarakani.

Hakuna mtu mwenye akili lazini ambaye ataamini kuwa Zitto amefanya yale aliyoyafanya ya kudai uongozi ndani ya chadema kwa njia za pembeni na kukipeleka chama mahakamani kwasababu ndani ya chadema hakukuwa na demokrasia ya kutosha, hii sio bahati mbaya tu, bali kuna jambo.

Kigoma kuweni macho na wanasiasa hawa wanaowarudisha nyuma juhudi zenu za kutafuta nafuu za kisiasa kwa kuanzisha vyama vipya vitakavyowachelewesha kuwafikisha nchi ya ahadi. Kataeni kuwa ma-ndondocha. Binafsi ninawasikitikia wananchi watakaonaswa na mtego wa kitoto kama huu kwa kujiunga na ACT.
WANASHANGAZA SANA HAWA JAMAA,LAKINI NENO LITATIMIA.kuwa act ipo kigoma tu
 
kavulata mbona unatumia nguvu nyingi kukitolea maelezo kwa kurudia rudia(redundany) kitu umechokitoa.....upotevu wa muda huu....napata wasi wasi kuwa hujiamini,umetumwa tena kwa kuhongwa pesa ya pipi,we ni mferej wa kupitishia hoja yoyote hata kama ya kipuuzi.
 
Ushauri wangu kwa Chadema ni kwamba wabunge wote na viongozi wooote wa kitaifa wahamie Kigoma kwenda kukijenga na kukiimarisha chama chao ili kufafanua baadhi ya mambo kwa wanachama, wapenzi na wananchi wa Kigoma.
 
kavulata mbona unatumia nguvu nyingi kukitolea maelezo kwa kurudia rudia(redundany) kitu umechokitoa.....upotevu wa muda huu....napata wasi wasi kuwa hujiamini,umetumwa tena kwa kuhongwa pesa ya pipi,we ni mferej wa kupitishia hoja yoyote hata kama ya kipuuzi.

Mimi chakula ninacho niko vizuri kiasi mkuu, nina exposure kubwa kuhusu uchumi, siasa, demokrasia na maendeleo. Nafahamu sehemu yenye harufu ya rushwa na usaliti. Nafahamu kuwa maslahi na maendeleo yangu hayatawezekana kamwe bila ya kuwepo kwa chama kingine kinacholingana na CCM, hata ulaya na Marekani wanalifahamu hilo ispokuwa wewe tu ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Siichukii CCM hata kidogo kwakuwa nina historia nayo ndefu na nzuri ila nafahamu pia pia uzuri wa kuwepo chama mbadala chenye nguvu nchini. Mimi sikuhongwa na mtu kaka unanihukumu bure, hata wewe najua ni kwaajili ya kazi na maslahi tu lakini kuna mambo unayafahamu kuwa hayaindi vizuri nchini ambayo ni hatari kwa taifa.

Wewe ni msomi unafahamu kuwa kama Professor darasani analirudiarudia jambo ujue kuwa hilo jambo ni muhimu sana (take home)
 
Kweli si ndondocha hata kidogo, maana ndondocha huwa ni mtu mwenye akili safi hapo awali ambaye ameathiriwa na uchawi na hivyo akili yake kuwa zezeta. KIGOMA wao sio ndondocha ila ni taahira, yaani watu ambao wamezaliwa na ubongo mbovu kwa mapenzi ya mungu sio wachawi. Asanteni

Ulichokiandika kinadhihirisha pasipo shaka uwezo wa ubongo wako jinsi ulivyo.Si sahihi na haitakuwa hivyo hata siku moja kuchukua kosa la mtu mmoja na kuliwianisha na jamii nzima atokopo mtu huyo.Makosa ya Zitto yanawezakuwa ni yake yeye kama Zitto na si makosa ya wanakigoma wote kwa ujumla.Unavyowatukana hivyo at the same time unataka uungwaji mkono wao nini kitatokea? Jamani siasa si vita wala ubaguzi kiasi hiki,na pia tujifunze kutoa maoni yanayojenga na si kubomoa.Kumbuka katika siasa chochote kinaweza tokea wakati wowote,acheni dharau zenu.
 
Mimi chakula ninacho niko vizuri kiasi mkuu, nina exposure kubwa kuhusu uchumi, siasa, demokrasia na maendeleo. Nafahamu sehemu yenye harufu ya rushwa na usaliti. Nafahamu kuwa maslahi na maendeleo yangu hayatawezekana kamwe bila ya kuwepo kwa chama kingine kinacholingana na CCM, hata ulaya na Marekani wanalifahamu hilo ispokuwa wewe tu ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Siichukii CCM hata kidogo kwakuwa nina historia nayo ndefu na nzuri ila nafahamu pia pia uzuri wa kuwepo chama mbadala chenye nguvu nchini. Mimi sikuhongwa na mtu kaka unanihukumu bure, hata wewe najua ni kwaajili ya kazi na maslahi tu lakini kuna mambo unayafahamu kuwa hayaindi vizuri nchini ambayo ni hatari kwa taifa.

Wewe ni msomi unafahamu kuwa kama Professor darasani analirudiarudia jambo ujue kuwa hilo jambo ni muhimu sana (take home)
Nashukuru kwa busara yako ingawa nilitumia maneno makali kiasi....ila mkuu kavulata tambua kuwa watanzania walio wengi hawana uelewa ulio nao wewe kitu amabacho kinaenda kutokea kigoma hata sehemu nyingine kingetokea nionavyo mimi.....me nachofikiria mkuu vijana mwenye uelewa kama wewe mngetuelimisha ambao hatuna uelewa ili kuhakikisha bila kupigia debe chama chochote tuhakikishe bungeni uwakilishi ubalance hilo likifanikiwa mkuu hakuna mswada mbovu,Bacheti ya kimagumashi itakayopita bungeni kama itakuwa haina maslahi ya umma.
 
Kila mtu atawashangaa watu wa Kigoma akisikia kuwa watu wa Kigoma wamejiunga kwa wingi na chama kipya cha siasa cha ACT. Ingawa kila mtu anayo haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa katika mfumo wa vyama vingi lakini haki hiyo lazime iwe na uhalisia ndani yake. Zitto alipata umaarufu kupitia chadema chama ambacho sasa kimekuwa hadi kufikia kuwa chama kikuu cha upinzani nchini ambacho kinaogopwa sana na chama cha CCM pamoja na watu wengine ambao wanadhani kuwa kama CCM kitashindwa na maslahi yao nayo yatakuwa yako hatarini.

Chadema pamoja na Zitto ndani ya chadema na mikakati yao walikuwa wanakaribia sana kulishika makalio dume la nyati. Juhudi hizi za kulipapasa dume makalio zinadhoofishwa na akina Zitto na washirika wake kwa kuanzisha tuhuma nzito kwamba chama ambacho alijiunga nacho akiwa na umri wa miaka 16 tu eti hakina demokrasia. Hii sio kweli hizo ni juhudi mahususi za kulikwepesha dume na aibu ya kushikwa makalio yake kirahisi japo kwa kuondoa angalau hata kura 100 tu kutoka kwa wapinzani.

Wananchi wa Kigoma kujiunga na chama kinda cha ACT kwa kumfuata Zitto watakuwa wanaingia kwenye historia ya watanzania waliopinga na kuchelewesha kuondoa dhuluma nchini sawa na akina Zuberi Mtemviu enzi za TANU na Nyerere. Zitto anatumia ukabila (U-Kigoma) na uelewa mdogo wa wananchi katika kufanya biashara ya kuchelewesha kuing'oa CCM madarakani.

Hakuna mtu mwenye akili lazini ambaye ataamini kuwa Zitto amefanya yale aliyoyafanya ya kudai uongozi ndani ya chadema kwa njia za pembeni na kukipeleka chama mahakamani kwasababu ndani ya chadema hakukuwa na demokrasia ya kutosha, hii sio bahati mbaya tu, bali kuna jambo.

Kigoma kuweni macho na wanasiasa hawa wanaowarudisha nyuma juhudi zenu za kutafuta nafuu za kisiasa kwa kuanzisha vyama vipya vitakavyowachelewesha kuwafikisha nchi ya ahadi. Kataeni kuwa ma-ndondocha. Binafsi ninawasikitikia wananchi watakaonaswa na mtego wa kitoto kama huu kwa kujiunga na ACT.

Mtowa post nao kama karukwa na akili vile
Act ndio mpango wa mjini
 
bavicha poleni sana naona mnameza dawa taratibu lakini sioni mkipata nafuu

Imeshabainika kwamba wewe ni Punguani,ku argue na wewe ni kupoteza Muda
[TABLE="width: 402"]
[TR]

[/TR]
[TR]
[TD]

quote_icon.png
By Ruttashobolwa
21st December 2012 07:07 - Hii ndio inayo takiwa, ukifanya kazi ya ccm wala usitegemee utaachwa!

Yani mtu kama Juliana Shonza bado eti ajui kwa nini alikuwa hashirikishwi kwenye shughuli za chama.

quote_icon.png
By Ruttashobolwa
21st December 2012 07:49 - Mtu ana pokuja na hoja ya kusema kwamba sijawai kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya cdm kama defence si dhani kama ushahidi tosha wa kuto weza kusaliti chama!

Na huu si ushahidi ya kwamba kuwa kwakuwa mtu alishakuwa mwanachama wa chama kingine zaidi ya chadema ndio ana weza kuwa msaliti hizi hazitoshi kuwa hoja ya kutoweza kusaliti chama. Pengine mtu anaweza akawa hajawai kuwa mwanachama wa chama kingine lakini akatumika kusaliti chama!

Nimefurahishwa na kauli ya Mh Tundulissu!

quote_icon.png
By Ruttashobolwa
21st December 2012 13:02 - Sito kubali kuunga mkono mtu anaye onesha uchawi hadharani badala ya hoja! Na hii ni mbinu moja wapo ya kudhoofisha chama kionekane cha washirikina! Nilimuamini sana lakini kwa hili hapana, hapana.

Hata wakijaribu kumsafisha vip sito kaa kumuamini mtu anaye apa kuangamiza hadi panya kwa ushirikina ukiangalia majibu yake unajua hoja ya ukanda na ukabila ccm waliitoa kwake ndio maana kila leo wamekuwa wakimsifu!

quote_icon.png
By Ruttashobolwa
22nd December 2012 04:59 - Hata kuapa kwa waganga na ushirikina nazo ni tetesi? Hivi zitto leo hii ana panic kwenye tetesi?

Huyo alikuwa ni Ruttashobolwa wa mwaka 2012, huyu Ruttashobolwa wa sasa sijui katokea wapi! Hebu shuhudia anavyopayuka baada ya Zitto kufukuzwa Chadema;
quote_icon.png
By Ruttashobolwa

  1. 21st March 2015, 09:20 - Hakika Bavicha ,Slaa na Mbowe +Lema na Lissu hawatopata usingizi!
  2. 21st March 2015, 09:37 - Kapigwa marufuku kukanyaga ofisi za ufipa na kijana wa Mbowe CHADEMA KWANZA.
  3. 21st March 2015, 09:38 - Zitto wasamehe Bavicha na Slaa hawalali siku hizi.
  4. 21st March 2015, 09:41 - blah blah...
  5. 21st March 2015, 09:43 - blah blah...
  6. 21st March 2015, 09:45 - Zitto hawezi kumtukana mtu ni mtu mwenye akili sana kuliko kiongozi yeyote wa chadema! Matusi ni kazi ya lema
  7. 21st March 2015, 09:40 - blah blah...
  8. 21st March 2015, 09:20 - Hakika Bavicha ,Slaa na Mbowe +Lema na Lissu hawatopata usingizi!
  9. 21st March 2015, 09:37 - blah blah...
  10. 21st March 2015, 09:38 - Zitto wasamehe Bavicha na Slaa hawalali siku hizi.
  11. 21st March 2015, 09:46 - Mbowe hatopata usingizi kabisa..
  12. 21st March 2015, 09:50 - Sasa hivi intelijensia yao uchwara imeanza kumsaka
  13. 21st March 2015, 09:55 - Bavicha mnahangaika sana...
  14. 21st March 2015, 09:57 - Kama matamko yangekuwa yana mfanya mtu au kikundi kuchanganyikiwa basi viongozi wa chadema wangekuwa wanaokota makopo.
  15. 21st March 2015, 11:58 - Zitto ni mtu makini huwa hakosei ana wazidi akili viongozi wote wa chadema.
  16. 21st March 2015, 12:00 - Don worry Bavicha subiri kesho acha kupiga ramli
  17. 21st March 2015, 12:06 - Nchi kesho inasimama hata Girlf friend wa Slaa lazima asubiri hii jambo la kihistoria
  18. 21st March 2015, 12:09 - blah blah...
  19. 21st March 2015, 12:12 - blah blah...
  20. 21st March 2015, 12:16 - blah blah...
  21. 21st March 2015, 12:23 - blah blah...
  22. 22nd March 2015, 00:22 - Zitto wahurumie Slaa na Mbowe Tafadhali.
  23. 22nd March 2015, 00:31- Teh Teh huu uzi wamejaa Bavicha wana lialia ovyo! Zitto wapunguzie dawa wapumzike.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom