fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Ulichokiandika kinadhihirisha pasipo shaka uwezo wa ubongo wako jinsi ulivyo.Si sahihi na haitakuwa hivyo hata siku moja kuchukua kosa la mtu mmoja na kuliwianisha na jamii nzima atokopo mtu huyo.Makosa ya Zitto yanawezakuwa ni yake yeye kama Zitto na si makosa ya wanakigoma wote kwa ujumla.Unavyowatukana hivyo at the same time unataka uungwaji mkono wao nini kitatokea? Jamani siasa si vita wala ubaguzi kiasi hiki,na pia tujifunze kutoa maoni yanayojenga na si kubomoa.Kumbuka katika siasa chochote kinaweza tokea wakati wowote,acheni dharau zenu.
soma tena maandiko mbalimbali harafu useme kama ni zitto pekee au wako kibao, pili ukweli wa leo unabaki kuwa ukweli wa leo japo kesho inaweza ikawa na ukweli wake pia, wajinga hata kama unataka kura haimanishi wanakoma kuwa wajinga kwa uroho wako wa kura, nyerere walimsumbua akasema watu wa kigoma, mkigoma kila mara mnamgomea nani, wako hivyo na tutasema ukweli. Sorry niseme pia mzaliwa wa kigoma na kukulia huko wakati mzee anafanyakazi najua nachosema pia