wakati zzk anakipeleka chama mahakamani mlisema atoke na aanzishe cha kwake sasa kaanzisha mnaanza kuwashwa makalio, kwa akili zenu mlitegemea zzk aungwe mkono na wachaga? mna akili ndogo sana ni lazma aungwe mkono na watu wa kwao hata chadema ndivyo ilivyo kwahiyo ondoeni matapishi yenu hapa.Na bado itawauma sana.
Rasilimali zote wanazotumia ACT makao makuu tangu ianzishwe ni mali binafsi za Zitto kabwe,Mfano lile Landcruiser ya Zitto iliyokuwa na rangi nyeupe ilibadirishwa rangi toka mwaka jana na kuwa rangi ya damu ya mzee na nyota nyeupe ambayo ni rangi ya bendera za ACT na ndiyo imekuwa ikitumiwa kwa uhamasishaji mkoani KIGOMA,hivyo sio siri kuwa Zito alianzisha chama chake akiwa ndani ya CHADEMA siku nyingi sana na kisheria ni uhaini,CHADEMA walichelewa sana kuchukua maamuzi ya kumfukuza Zito,ilitakiwa awe amefukuzwa siku nyingi sana kwani alikuwa ni msaliti.mkuu nilikua sijajua hivi kumbe zito kabwe ni muanzilishi wa chama cha ACT??
naomba vizibitisho,napenda kulifahamu hili
ujumbe wako wana kigoma wameusikia lakini kuingia chama kingine kwa kutumia utashi wako huo sio undondocha kukaa kwenye chama bila kutumia utashi wako huo ndo undondocha by the way una define vipi undondocha????
wakati zzk anakipeleka chama mahakamani mlisema atoke na aanzishe cha kwake sasa kaanzisha mnaanza kuwashwa makalio, kwa akili zenu mlitegemea zzk aungwe mkono na wachaga? mna akili ndogo sana ni lazma aungwe mkono na watu wa kwao hata chadema ndivyo ilivyo kwahiyo ondoeni matapishi yenu hapa.Na bado itawauma sana.
Kila mtu atawashangaa watu wa Kigoma akisikia kuwa watu wa Kigoma wamejiunga kwa wingi na chama kipya cha siasa cha ACT. Ingawa kila mtu anayo haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa katika mfumo wa vyama vingi lakini haki hiyo lazime iwe na uhalisia ndani yake. Zitto alipata umaarufu kupitia chadema chama ambacho sasa kimekuwa hadi kufikia kuwa chama kikuu cha upinzani nchini ambacho kinaogopwa sana na chama cha CCM pamoja na watu wengine ambao wanadhani kuwa kama CCM kitashindwa na maslahi yao nayo yatakuwa yako hatarini.
Chadema pamoja na Zitto ndani ya chadema na mikakati yao walikuwa wanakaribia sana kulishika makalio dume la nyati. Juhudi hizi za kulipapasa dume makalio zinadhoofishwa na akina Zitto na washirika wake kwa kuanzisha tuhuma nzito kwamba chama ambacho alijiunga nacho akiwa na umri wa miaka 16 tu eti hakina demokrasia. Hii sio kweli hizo ni juhudi mahususi za kulikwepesha dume na aibu ya kushikwa makalio yake kirahisi japo kwa kuondoa angalau hata kura 100 tu kutoka kwa wapinzani.
Wananchi wa Kigoma kujiunga na chama kinda cha ACT kwa kumfuata Zitto watakuwa wanaingia kwenye historia ya watanzania waliopinga na kuchelewesha kuondoa dhuluma nchini sawa na akina Zuberi Mtemviu enzi za TANU na Nyerere. Zitto anatumia ukabila (U-Kigoma) na uelewa mdogo wa wananchi katika kufanya biashara ya kuchelewesha kuing'oa CCM madarakani.
Hakuna mtu mwenye akili lazini ambaye ataamini kuwa Zitto amefanya yale aliyoyafanya ya kudai uongozi ndani ya chadema kwa njia za pembeni na kukipeleka chama mahakamani kwasababu ndani ya chadema hakukuwa na demokrasia ya kutosha, hii sio bahati mbaya tu, bali kuna jambo.
Kigoma kuweni macho na wanasiasa hawa wanaowarudisha nyuma juhudi zenu za kutafuta nafuu za kisiasa kwa kuanzisha vyama vipya vitakavyowachelewesha kuwafikisha nchi ya ahadi. Kataeni kuwa ma-ndondocha. Binafsi ninawasikitikia wananchi watakaonaswa na mtego wa kitoto kama huu kwa kujiunga na ACT.
bavicha poleni sana naona mnameza dawa taratibu lakini sioni mkipata nafuu
mkuu nilikua sijajua hivi kumbe zito kabwe ni muanzilishi wa chama cha ACT??
naomba vizibitisho,napenda kulifahamu hili
Kukua ni haua, na asante sana kwa kutufananisha sisi "wana kigoma" na mandondocha
Rasilimali zote wanazotumia ACT makao makuu tangu ianzishwe ni mali binafsi za Zitto kabwe,Mfano lile Landcruiser ya Zitto iliyokuwa na rangi nyeupe ilibadirishwa rangi toka mwaka jana na kuwa rangi ya damu ya mzee na nyota nyeupe ambayo ni rangi ya bendera za ACT na ndiyo imekuwa ikitumiwa kwa uhamasishaji mkoani KIGOMA,hivyo sio siri kuwa Zito alianzisha chama chake akiwa ndani ya CHADEMA siku nyingi sana na kisheria ni uhaini,CHADEMA walichelewa sana kuchukua maamuzi ya kumfukuza Zito,ilitakiwa awe amefukuzwa siku nyingi sana kwani alikuwa ni msaliti.
Sasa Kavulata unataka kupanuwa wigo wa ugomvi na watanzania, kumbe kuachwa nyuma kimaendeleo Enzi za mwalimu Nyerere ilikuwa si bahati mbaya?? goja nikuchonganishe na hawa, RUKWA, MTWARA,LINDI, SONGEA, SINGIDA inamaana hadi Mwanasheria wenu mkuu , hawa wote wanaangukia kwenye ile hukumu yako kwa wana wa Kigoma?yaani Ndondocha au weka tu kwenye lugha nyepesi MISUKULE?Hayo unayesema wewe mimi nimesema "Kigoma sio ndondocha" Hata hivyo, kama mtahamia ACT kwasababu tu ni ya Zitto basi walakini mtakuwa nao. Maana watanzania wa leo tunatamani saaana kuwe na vyama 2 tu vya siasa ili vipokezane katika kuiongoza nchi badala ya kuongeza vyama tena. Hakuna jina lingine la kumpatia mtu anayetugawa kwa kutuongezea vyama bali MSALITI wetu. Kumbe Nyerere hakuiacha Kigoma kwenye maendeleo kwa bahati mbayaaaa!!!!!
Sasa Kavulata unataka kupanuwa wigo wa ugomvi na watanzania, kumbe kuachwa nyuma kimaendeleo Enzi za mwalimu Nyerere ilikuwa si bahati mbaya?? goja nikuchonganishe na hawa, RUKWA, MTWARA,LINDI, SONGEA, SINGIDA inamaana hadi Mwanasheria wenu mkuu , hawa wote wanaangukia kwenye ile hukumu yako kwa wana wa Kigoma?yaani Ndondocha au weka tu kwenye lugha nyepesi MISUKULE?
Kigoma haikuendelezwa na wakoloni kwani ilikuwa ni labour reserve area,wangesomeshwa vibarua wa kupeleka kwenye mashamba ya Mkonge wasingepatikana.Inavyoonekana kila sehemu iliyoachwa nyuma kimaendeleo inayo root cause yake si bure, sababu zinatofautiana nyingine hazifahamiki kabisa, lakini za Kigoma ndiyo sasa zinaaza kufahamika. Hebu fikiria hata wewe watu wanaokihama chama wanachokipenda na chenye sera alizozitumia Zitto kuibana serikali ya CCM iwajengee barabara, soko, shule, n.k eti kwasababu tu Zitto kafukuzwa chadema kwa kukiuka kanuni za chama utawafikiria vipi? Kwani hakuna mtu mwingine Kigoma anayeweza kuwawakilisha badala ya Zito? Kigoma itabaki milele lakini Zitto hatabaki milele kwenye ubunge. Msimamo kama huu wa kutegemea mtu mmoja unatosha kabisa kuwarudisha nyuma wanaKigoma kwenye maendeleo yao. Nyerere amekufa lakini nchi inaendelea kuwepo sembuse Zitto? Bahati mbaya mtu huyo akikosea basi wanakosea watu wote, akifukuzwa wanafukuzwa wote, huo ni uzuzu walahi. Mambo ya maendeleo aliyoyafanya Mh. Zitto Kabwe jimboni kwake yaliwezekana tu kwasababu ya kuwa Chadema, vyama vingine vya upinzani ni ma-pro CCM haviwezi kuwa na ujasiri wa kujenga hata choo kimoja cha shule jimboni kwa kuibana serikali. Binafsi ninampenda sana Mh. Zitto hata ukifuatilia threads zangu utagundua hilo, lakini kama anakosea nitamwambia unakosea kwenye hili, kwakuwa malengo yetu ni kuhakikisha kuwa tunakuwa na vyama vichache vyenye nguvu kubwa ya kusema hapana kwa chama tawala kinapokosea.
Kigoma haikuendelezwa na wakoloni kwani ilikuwa ni labour reserve area,wangesomeshwa vibarua wa kupeleka kwenye mashamba ya Mkonge wasingepatikana.
naamini una akili nyingi sana ila unatumia theluthi yake kutafakari.Ukishakuwa ACT so what? chama chenye mbunge mmoja bungeni? chama cha wasiopenda kufuata taratibu za chama? Sisi sote tunajuwa umuhimu wa chama kuwa na wabunge wengi bungeni katika kupitisha ajenda zake, hivi ACT itawachukuwa miaka mingapi ili ipate wabunge japo 5 bungeni? Zitto ni mhaini wa nguvu na rasilimali za wananchi walizowekeza ndani ya chadema. Ni ndondocha tu anayeweza kukubali kuziacha, kuzisamehe na kuzipoteza nguvu, hela, na muda wake aliouwekeza chadema hasa katika zama hizi za escrow, richmond, epa, meremeta, migogoro ya ardhi, madini, gesi, mafuta na katiba mpya ambayo vyote vinahitaji nguvu kubwa na ya haraka sana kutoka vyama vya siasa mbadala. Itashangaza kusikia mtu mwenye akili timamu ameanzisha chama kipya leo huku taifa likiwa linahitajii nguvu kubwa sana ya pamoja leo leo bila kusubiri kesho. Ni nguvu ya rushwa, mbinu chafu, ujinga na maslahi binafsi tu ndivyo vinavyoweza kupelekea mtu kuanzisha na kujiunga na chama kipya kabisa katika wakati huu tete.
Wanakigoma ni wakabila sana na wanasiasa za ukabila ,hawafuati sera wanafuata mtu alikuwepo Dr Kaboul naye walimoenda akawatema ,sasa huyu ndumilakuili Mungu atusaidie amtoe kwenye siasa hili tupate ukombozi tulio wanyonge.
Teh teh, nasikia zitto ana akili kuliko wanakigoma wote. Ndo maana amesema mwezi wa kumi watamchagua tena kuwa mbunge wao.