Uzi huu ni maalumu kwa wakazi na watu wenye asili ya Mkoa wa Kigoma na watanzania wote kwa ujumla. Utapata kushiriki habari na kuungana na marafiki wa Kigoma kupitia hapa.
Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma basi Ubongo wako umeshakubeba kabla ya elimu yako (wewe ni wa tofauti tayari).
Kuzaliwa Kigoma ni Bahati sana, kama wewe una asili ya Kigoma elewa wewe ndio Mtanganyika mwenyewe. Hakika kila mtanzania anatakiwa kuwa na rafiki mwenye asili ya Kigoma.
Hapa tutakuletea matukio mbalimbali na picha za mandhari ya maeneo ya mkoa wetu wa Kigoma. Pia tutajibu maswali mbalimbali kuhusu mkoa wetu huu.
Karibuni sana.
View attachment 2880993
-Kigoma nyakati za usiku