Kigoma: Rais Magufuli kupokea ugeni wa kiserikali wa Rais wa Burundi, Mh. Evariste Ndayishimiye

Tindo kwa kuwa una muda wa kuchangia, ukiwa na michango bora utafanya JF KUWA BORA.
Lazima tujaribu kukuweka vizuri zaidi maeneo ambayo anahitaji ubora zaidi.

Nashukuru kwa michango yako japo ---------- punguza ushabiki, weka michango elimishi. Chadema ni chama, na Chadema sio siasa.
Punguza kupinga kila kitu, weka mawazo tofauti na isiwe ni ubishi tuu.

Nilichokuambia sijakuambia kwa bahati mbaya, nimekuambia nikiwa na akili zangu timamu. Nina uwezo wa kuchangia kwa busara, heshima, mantiki na lugha chafu vilevile, tena kwenye lugha chafu ndio eneo ninalolimudu vyema. Ukija na mchango bila kuweka vijembe, kejeli nk nitakupa majibu stahiki, tena yenye staha hata kama tutapishana mitazamo. Na kimsingi sina tatizo la kupishana mitazamo, kwani ndio afya ya mijadala.

Sina tatizo na mtazamo wako kwangu, na unapoona mapungufu yangu, lakini sio lazima mtazamo wako uwe muamuzi wa mitazamo yangu, hata kama ungependa iwe hivyo. Sasa hili si kosa lako bali ni langu. Kuhusu kupinga kila kitu, inaonekana hilo neno unalitumia kama fashion, mtu yoyote mwenye mitazamo tofauti na ww unaona anapinga kila kitu. Kwanza sipingi kila kitu, labda uniwekee ushahidi. Sijawahi kupinga ujenzi wa barabara, shule, vituo vya afya, umeme kutokukatika mara kwa mara kama ilivyokuwa kwa Kikwete, japo sisifii kama ambavyo ww ungependa nifanye. Lakini ununuzi wa ndege tena wa cash, ninapinga na nina sababu za kutosha hata kama hutaziafiki. Halafu sibishani kwenye hoja, bali naelimishana, na sio rahisi unilishe mitazamo au matamanio yako kirahisi. Kama unaona nabishana hilo sio tatizo kwangu, maana sina hati miliki ya tafsiri zako.
 
Ahaaaa ahaaaa,eti anapigiwa wimbo wa taifa. What is so special in national anthem? Labda ww ndio unaona ni kitu cha maana kwakuwa ni mfaidiki wa huo wimbo. To my life is useless.
Kwako ni useless kwa wingi ni wimbo wa heshima sana.
 
Nilichokuambia sijakuambia kwa bahati mbaya, nimekuambia nikiwa na akili zangu timamu. Nina uwezo wa kuchangia kwa busara, heshima, mantiki na lugha chafu vilevile, tena kwenye lugha chafu ndio eneo ninalolimudu vyema. Ukija na mchango bila kuweka vijembe, kejeli nk nitakupa majibu stahiki, tena yenye staha hata kama tutapishana mitazamo. Na kimsingi sina tatizo la kupishana mitazamo, kwani ndio afya ya mijadala.

Sina tatizo na mtazamo wako kwangu, na unapoona mapungufu yangu, lakini sio lazima mtazamo wako uwe muamuzi wa mitazamo yangu, hata kama ungependa iwe hivyo. Sasa hili si kosa lako bali ni langu. Kuhusu kupinga kila kitu, inaonekana hilo neno unalitumia kama fashion, mtu yoyote mwenye mitazamo tofauti na ww unaona anapinga kila kitu. Kwanza sipingi kila kitu, labda uniwekee ushahidi. Sijawahi kupinga ujenzi wa barabara, shule, vituo vya afya, umeme kutokukatika mara kwa mara kama ilivyokuwa kwa Kikwete, japo sisifii kama ambavyo ww ungependa nifanye. Lakini ununuzi wa ndege tena wa cash, ninapinga na nina sababu za kutosha hata kama hutaziafiki. Halafu sibishani kwenye hoja, bali naelimishana, na sio rahisi unilishe mitazamo au matamanio yako kirahisi. Kama unaona nabishana hilo sio tatizo kwangu, maana sina hati miliki ya tafsiri zako.
Mkuu tindo umeua hapa aisee kazi kwake
 
Wewe ndio mwenye upeo mdogo kwani unakariri matukio ya nyuma ukiyaunganisha na leo hii.

Sisi kuelekea uchaguzi haina maana tusiwe na ushirikiano na mataifa ya nje.

..hata huyo Raisi wa Burundi ametudharau Watanzania.

..angekuwa anatuheshimu, asingejileta wakati huu wa kampeni za uchaguzi.

..mosi, kuna tatizo la Magufuli kuwa na upeo mdogo kuhusu mahusiano ya kimataifa.

..pili, kuna tatizo la Raisi wa Burundi kutudharau Watanzania na kujaribu kuja ku-influence uchaguzi wetu.
 
Kujidharau ni tatizo la mtu binafsi, ni hisia binafsi.

Mipango yao kama marais hatuijui zaidi ya kuongozwa na dhana.
 
..haiswihi Kiongozi wa nchi moja kutembelea nchi nyingine iliyo ktk kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu.

..nchi za wenzetu wanaoheshimu na kulinda tunu ya demokrasia ya vyama vingi hawaruhusu jambo kama hilo.

..ktk hili, aliyetoa mualiko, na aliyekubali mualiko huo, wote wana matatizo makubwa sana ktk upeo wao kama viongozi.
 
Walioyaongelea yana faida kuliko hizi siasa zetu zenye ubinafsi.

Maisha yanaendelea kama kawaida, kampeni zipo lakini majukumu muhimu ya kitaifa yapo pia.
 
Museveni Kutoka Uganda Kaja
Ndayishimiye Kutoka Burundi Kaja
Chakwera Kutoka Malawi Kaja

Kabla Ya October 28 Tupate Mgeni Mwingine
 
..haiswihi Kiongozi wa nchi moja kutembelea nchi nyingine iliyo ktk kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu.

..nchi za wenzetu wanaoheshimu na kulinda tunu ya demokrasia ya vyama vingi hawaruhusu jambo kama hilo.

..ktk hili, aliyetoa mualiko, na aliyekubali mualiko huo, wote wana matatizo makubwa sana ktk upeo wao kama viongozi.
Kweli Kabisa
Hawa Wameitwa Kuja Huku Kwetu Kwa Lazima
 
Back
Top Bottom