Kigoma JF users connect

Hey guys mko poa nyie......

Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu Kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!

Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni Kigoma mjini, Kasulu, Kibondo au Kigoma Vijijini.

Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa Kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
Mimi shirika mnarani /Lake TANGANYIKA Stadium
 
Nimeishi kiasi Kigoma!nimepitia karibu wilaya zote. The place has more virgin land for opportunities!
 
Mimi nimetembea sana maeneo ya.

Kagunga
Kiziba
Mwamgongo
Mtanga
Mwandiga
Bulombora
Muyobozi
Kaseke
Ujiji
Maweni
Nazatet
Mlole na sehemu nyingi sana ila majina nimesahau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom