Kigoma JF users connect

64fc446864092b42e4976b04ed4e079d.jpg


Kwa kweli napapenda sana kigoma
 
Hey guys mko poa nyie......

Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu Kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!

Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni Kigoma mjini, Kasulu, Kibondo au Kigoma Vijijini.

Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa Kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
Kuna mtu anatafutwa hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom