Kigoma JF users connect

Hey guys mko poa nyie......

Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu Kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!

Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni Kigoma mjini, Kasulu, Kibondo au Kigoma Vijijini.

Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa Kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.

Karibuni kwetu Kagunga, japo tumezamia Dar.
 
Kasulu Hii barabara ya mlimani kuanzia sokoni hadi njia panda ya kabanga,mbona mkandarasi anaboa?kaifunga njia na kusababisha jam ya hatari,ni wiki mbili haonekani na barabara imefungwa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom