Wa Kigoma wako mbioni kuanzisha chuo bila kwa juhudi binafsi nina uhakika wataajiri Wahaya kama lecturers huku wakingoja serikali iwajengee!
CC:
britanicca,
Pasco
Geza umenikumbusha jokes za hawa jamaa!, "Nshomile ing'ambo miaka ishatu!, halafu wewe unigambire fulishi infront of my shoga wife"
Na kuna moja ya mteja mzungu, jama akavua viatu
"unavura na viratu kwani unarara hapa hapa?!.
Mzungu hajui, hili wala lile, kamaliza, kanagowa akaamua kuunganisha!, ikabidi mwenzage umuulize mwingine ambaye angalau anajua kizungu
"nina mujungu, nimugambire ke?", akajibiwa "mugambire inafu"
Dada anasema kwa sauti kubwa " mujungu inafu!, inafu", mzungu ndio kwanza akazidisha akijua ni mizuka!.
Wenzetu msikasirike hizo ni jokes tuu, hata sisi tunataniwa sana kwa ushamba!, yule dada aliyekuwa hata keki, anataka boga, hakai kwenye kochi, anakaa chini, na anamwamkia kila mtu wa kwenye tv, ni dada yetu!.
P.