SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
- Thread starter
- #101
KGU for life
sioni tatizo kuiga jambo lililo jemaNaona mmeiba wazo la WAHAYA kujenga BUKOBA UNIVERSITY OF TECHNOLOGY jiving Bukoba, Lakini hamtuwezi hate kidogo WAHAYA sisi in next level.
Hapana, chuo kikae pembezoni mwa fukwe ya ziwa Tanganyika, Bangwe.. TPF wahamie huko mwandiga.pendekezo chuo kijengwe Mwandiga mbali kidogo na mji ili kuutanua mji wa kigoma..
Mullah ZZQ awe Chancellor muanzilishi (Founding Chancellor).Huyo mtani wa waha akumbushwe tu makamo wa Rais muha, katibu mkuu kiongozi muha, waziri wa elimu muha, katibu mkuu fedha muha wao pia sio wanyonge wana wasomi, naunga hoja mkono mambo ya kuona kabila fulani au letu ni bora kuliko wengine yalishapitwa na wakati muda mrefu vipi wenye kabila la Baba wa Taifa nao waseme nini sasa
Wahaya tangu mvumbue kuyeyusha chuma karne ya 11 ndio ilikuwa mwisho wenuNaona mmeiba wazo la WAHAYA kujenga BUKOBA UNIVERSITY OF TECHNOLOGY jiving Bukoba, Lakini hamtuwezi hate kidogo WAHAYA sisi in next level.
OkWahaya tangu mvumbue kuyeyusha chuma karne ya 11 ndio ilikuwa mwisho wenu
Sijui mlikwama wapi maana mlivumbua halafu wazungu baada ya miaka 1200 ndio wakaja gundua au nasema uongo