Kigoma Great University (KGU)

Kigoma Great University (KGU)

Tuna uhakika wa kukamata soko lote wanafunzi toka BURUNDI, CONGO DR, RWANDA, na jamhuri ya Afrika ya Kati.
 
Tuna uhakika wa kukamata soko lote wanafunzi toka BURUNDI, CONGO DR, RWANDA, na jamhuri ya Afrika ya Kati.
Hapo ndo mtakapotuletea matatizo chungu nzima .. Warundi na Wanyarwanda !!! Ni shida!
 
Ni wazo zuri na jema. All the best.
Pia kuna maswali machache ningependa kujua.
1/Nani ni mwanzilishi, mmiliki na mwendeshaji wa hicho chuo?

2/Mpaka sasa mmefikia hatua gani katika huo mpango?

3/Hiyo kozi inayoitwa African Medicine ndio ipoje?(Kuna vyuo hapa Tz, East Africa au Africa wanaitoa? Ni sawa na Doctor of Medicine au Traditional Medicine?)
 
Tayari Tuna eneo maeneo ya ujiji, tutaanza na Bsc. African Medicine, Bsc. Electronics, Bsc. Marine Engineering na BA conflicts resolution

Kwenye Conflicts resolution mtawin mkuu maana hapo ZZK atakuwa lecturer mzuri anauzoefu maeneo hayo
 
Sisi wanakigoma tunaoishi Dar, DODOMA na ughaibuni tunayo furaha kuufahamisha umma tuna mpango wa kuanzisha Chuo Kikuu mkoani kwetu ili Kutoa elimu kwa watanzania na raia wa nchi jirani. Tutazidi kutaarifiana muda wa usajili ukianza asanteni.
Urakodze mwanawachu.
Kitajengwa wapi?
Maana maeneo yale ya EPZ kule Kagera nilisikia kuna plan ya chuo,sasa hiki kitakuwa wapi?

Halafu jina naona kama halipov izuri kwa mtizamo wangu,naona limekaa kishamba kidogo
Iteni majina kati ya haya
-Kigoma University
-Kigoma International University
-Lake Tanganyika University
-Kigoma Livingstone University
-Livingstone International University
 
Naona mmeiba wazo la WAHAYA kujenga BUKOBA UNIVERSITY OF TECHNOLOGY jiving Bukoba, Lakini hamtuwezi hate kidogo WAHAYA sisi in next level.
Ni kweli. Ndio maana mkoa wenu ni miongoni mwa mikoa mitano MASIKINI ZAIDI Tanzania
 
Tayari Tuna eneo maeneo ya ujiji, tutaanza na Bsc. African Medicine, Bsc. Electronics, Bsc. Marine Engineering na BA conflicts resolution
Naimani kwa Ujiji ni kule kwenye Plan ya EPZ maeneo ya Kagera kulee au Ndahiriwe.
Maana kuna maeneo ya kufa mtu,na yapo kwenye muiniko breezes safi from Lake Tanganyika na mto Luiche,pia is on slave trade route sijui kama miembe ile inayoanzia Forodhani mpaka Kagera mmeimaliza kwa kuni
 
Sisi wanakigoma tunaoishi Dar, DODOMA na ughaibuni tunayo furaha kuufahamisha umma tuna mpango wa kuanzisha Chuo Kikuu mkoani kwetu ili Kutoa elimu kwa watanzania na raia wa nchi jirani. Tutazidi kutaarifiana muda wa usajili ukianza asanteni.
tatizo lenu ni uchawi, mtasoma peke yenu. walimu wakija huko mnawalaza nje, sasa icho chuo mtapata professa gani kutoka kigoma atakayekubali kuishi huko? badilikeni tabia ndio mtajenga chuo.
 
Asanteni kwa ushauri na pia kejeli. Sisi tumekuja na wazo na tupo tayari kwa maoni yenu (ikiwemo maoni toka kwa WAHAYA) hivi karibuni tutawaletea mchanganuo wa haltua tulizofikia mpaka sasa. Karibuni Kigoma (proposed DUBAI ya Afrika).
 
Back
Top Bottom