Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Hospitali ya Kanda ya Magharibi yenye hadhi sawa na Muhimbili kujengwa Kigoma

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,119
49,843
Kazi nzuri iendelee maana tukiwa na hospital kubwa kama hiyo sanjali na Chuo Cha Tiba basi tutakuwa tumewateke Wananchi wa Nchi jirani via medical Tourism..

My Take
Kama Mkoa wako hauna connection ya Viongozi wakubwa ujue mumekwisha.
Wapi Chato 😂😂

----
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema serikali imedhamiria kujenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi yenye hadhi sawa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Hospitali hiyo itasaidia kuondoa changamoto ya Rufaa za wagonjwa waliokuwa wakitibiwa katika hospitali za Rufaa za Mbeya, Benjamin Mkapa na Muhimbili.

Dk Mpango amesema hayo wakati akizindua Hotel ya Bwami Dubai iliyopo Kasulu mkoani Kigoma ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuzindua miradi mbalimbali mkoani Kigoma.

"Pale Kigoma tunajenga hospitali ya kanda, lakini sio hivyo tu vyuo vikuu mnasikiaga vipo Dar es Salaam, kwahiyo chuo kikuu cha tiba Muhimbili wamekuja kuanzisha tawi la chuo kikuu Kigoma na kitakuwa sambamba na hiyo hospitali ya kanda."Amesema Dk Mpango.

Amesema pamoja na kujengwa kwa Zahanati ya Kasumo bado serikali iliona haja ya kuwa na hospitali hiyo ya kanda ili Wananchi wa Mkoa wa Kigoma pamoja na nchi za jirani waweze kunufaika na huduma hizo jambo litalosaidia kupunguza Rufaa katika mikoa ya Dodoma.

Dk Mpango ametoa wito kwa Wananchi wa mkoa huo kuwalisha watoto lishe inayofaa kwa afya ili kuwaongezea uwezo wa akili, huku akiwataka wataalamu wa masuala ya lishe kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kuwapa lishe bora watoto ili kuinua kiwango cha elimu kwa watoto wao.

Chanzo: Habari Leo
 
Hospital zinapaswa jengwa kila Kanda

Ila wakumbuke na nyumba za watumishi
Nyumba za watumishi atakuja kiongozi mwingine kichaa kama mkapa azigawe kwa ndugu na shemeji zake.

Serikali inatumia pesa nyingi kujenga, wapuuzi wanajigawia mali za wananchi.
 
Kazi nzuri iendelee maana tukiwa na hospital kubwa kama hiyo sanjali na Chuo Cha Tiba basi tutakuwa tumewateke Wananchi wa Nchi jirani via medical Tourism..

My Take
Kama Mkoa wako hauna connection ya Viongozi wakubwa ujue mumekwisha.
Wapi Chato 😂😂

----
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema serikali imedhamiria kujenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi yenye hadhi sawa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Hospitali hiyo itasaidia kuondoa changamoto ya Rufaa za wagonjwa waliokuwa wakitibiwa katika hospitali za Rufaa za Mbeya, Benjamin Mkapa na Muhimbili.

Dk Mpango amesema hayo wakati akizindua Hotel ya Bwami Dubai iliyopo Kasulu mkoani Kigoma ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuzindua miradi mbalimbali mkoani Kigoma.

"Pale Kigoma tunajenga hospitali ya kanda, lakini sio hivyo tu vyuo vikuu mnasikiaga vipo Dar es Salaam, kwahiyo chuo kikuu cha tiba Muhimbili wamekuja kuanzisha tawi la chuo kikuu Kigoma na kitakuwa sambamba na hiyo hospitali ya kanda."Amesema Dk Mpango.

Amesema pamoja na kujengwa kwa Zahanati ya Kasumo bado serikali iliona haja ya kuwa na hospitali hiyo ya kanda ili Wananchi wa Mkoa wa Kigoma pamoja na nchi za jirani waweze kunufaika na huduma hizo jambo litalosaidia kupunguza Rufaa katika mikoa ya Dodoma.

Dk Mpango ametoa wito kwa Wananchi wa mkoa huo kuwalisha watoto lishe inayofaa kwa afya ili kuwaongezea uwezo wa akili, huku akiwataka wataalamu wa masuala ya lishe kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kuwapa lishe bora watoto ili kuinua kiwango cha elimu kwa watoto wao.

Chanzo: Habari Leo

Kama ya Chato ilishakamilika ukiona hivyo huenda na ya Makunduchi tayari.

Hiiiiiiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom