Kigoma Great University (KGU)

Kigoma Great University (KGU)

Watu wa kigoma mna akili sana nawafahamu lakini kuna kitu kinawafanya msiende mbele. Ondoeni kikwazo hicho mapema.
 
Mi ndo Mara ya kwanza nimeingia mkoa huu nipo Kasulu Jana nilifika Manyovu. Sasa kwanini chuo kisijengwe barabara ya Kigoma-Nyakanazi?
Kigoma kwa ubishi hamjambo umeshaanza ubishi wakati chuo chenyewe ni hewa hakipo kipo kwenye vichwa Kama chuo hewa kinachotarajiwa kujengwa!!!!!!!
 
Tuna uhakika wa kukamata soko lote wanafunzi toka BURUNDI, CONGO DR, RWANDA, na jamhuri ya Afrika ya Kati.
mmmmmmm acha utapeli
Lugha ya kufundishia itakuwa kifaransa? Hizo nchi ukiondoa Rwanda Lugha zao za kusomea Toka nursery hadi secondary ni kifaransa.Ninachokiona kuna watu wanajiandaa kugombea uchaguzi mwakani wanatafuta gia ya kutapelia wana kigoma ionekane kuna chuo kikubwa chaja cha kubeba wanafunzi wa Burundi , Kongo,Afrika ya Kati Na Rwanda!!!!!! Utapeli mtupu
 
Tayari Tuna eneo maeneo ya ujiji, tutaanza na
1. Bsc. African Medicine & Witchcraft,
2. Bsc. Electronics,
3. BSc. Railway Engineering,
4. Bsc. Marine Engineering na
5. BA Conflicts Resolution,
6. BA in Opposition Politics.
Paundwe jopo la Maprofesa wabobezi toka Kigoma na Swanga
 
Sisi wanakigoma tunaoishi Dar, DODOMA na ughaibuni tunayo furaha kuufahamisha umma tuna mpango wa kuanzisha Chuo Kikuu mkoani kwetu ili Kutoa elimu kwa watanzania na raia wa nchi jirani. Tutazidi kutaarifiana muda wa usajili ukianza asanteni.
Mkigoma mwenzetu

IMG-20201203-WA0015.jpg
 
Sisi wanakigoma tunaoishi Dar, DODOMA na ughaibuni tunayo furaha kuufahamisha umma tuna mpango wa kuanzisha Chuo Kikuu mkoani kwetu ili Kutoa elimu kwa watanzania na raia wa nchi jirani. Tutazidi kutaarifiana muda wa usajili ukianza asanteni.
Juma lokole au baba levo hawaja ongea chochote kweli hao kigoma one
 
Tayari Tuna eneo maeneo ya ujiji, tutaanza na
1. Bsc. African Medicine & Witchcraft,
2. Bsc. Electronics,
3. BSc. Railway Engineering,
4. Bsc. Marine Engineering na
5. BA Conflicts Resolution,
6. BA in Opposition Politics.
Sasa hiyo ya witchcraft itaisaidiaje jamii katika dunia ya Leo..
Wishing you the best..
 
Sisi wanakigoma tunaoishi Dar, DODOMA na ughaibuni tunayo furaha kuufahamisha umma tuna mpango wa kuanzisha Chuo Kikuu mkoani kwetu ili Kutoa elimu kwa watanzania na raia wa nchi jirani. Tutazidi kutaarifiana muda wa usajili ukianza asanteni.
Bsc. African Medicine & Witchcraft.hii nafasi zitakuwa chache sana
 
Acha ukabila uchwara. Elimu haina kabila mwanangu. Kila mtu ni next level

Huyo mtani wa waha akumbushwe tu makamo wa Rais muha, katibu mkuu kiongozi muha, waziri wa elimu muha, katibu mkuu fedha muha wao pia sio wanyonge wana wasomi, naunga hoja mkono mambo ya kuona kabila fulani au letu ni bora kuliko wengine yalishapitwa na wakati muda mrefu vipi wenye kabila la Baba wa Taifa nao waseme nini sasa
 
Tayari Tuna eneo maeneo ya ujiji, tutaanza na
1. Bsc. African Medicine & Witchcraft,
2. Bsc. Electronics,
3. BSc. Railway Engineering,
4. Bsc. Marine Engineering na
5. BA Conflicts Resolution,
6. BA in Opposition Politics.
Nilicheki movie moja Jana ya witchcraft mbaya mbaya Hawa wazungu haya mambo wanaigiza tuuu au ni kweli.. imenitisha sana
 
Back
Top Bottom