Kigoma Great University (KGU)

Kigoma Great University (KGU)

Mi ndo Mara ya kwanza nimeingia mkoa huu nipo Kasulu Jana nilifika Manyovu. Sasa kwanini chuo kisijengwe barabara ya Kigoma-Nyakanazi?
 
Tatizo langu ni kwenye maneno, Great halafu University! Wanaojua lugha ya malkia watatusaidia zaid
 
Kigoma imetoa watu makini nchi haijawahi tokea kuumbwa kwa ulimwengu si wanasiasa, WANAMUZIKI tu na wacheza mpira wa kimataifa pia.
cc. WCB
 
Back
Top Bottom