Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
Sasa Mwanza kuna shida gani hapo?...kama ni hiyo terminal building iliyo kama mabanda ya kufugia usiogope...mbona Antonov-225 zinashuka hapo kubeba mapanki!😛lane:
Hapa ndugu zangu tuache mambo ya Ukabila hebu tuangalie ukweli wa mambo yenyewe ulivyo. Hivi kweli imekaa vizuri hii? Hapa sasa tusiangalie nani kaandika awe Muha au Mhaya ama Mkwere, ukweli unabaki pale pale kwamba huu ni ujinga usio kifani! Meneja upo hapo ofisini haujaona kilichoandikwa hapo? Au wewe kazi yako ni kutolea mafyuzi tu viti vyetu vya umma?
Hebu futeni haraka hapo! Na wewe uliyeleta hii thread kwa nini hukuwaonesha hao wachovu huo utumbo wao? Yaani unadiriki kupanda ndege na kuondoka bila kuwajulisha? Mungu akusamehe!!!!!!!
Kama kuna mwana-JF wa hapo Kigoma ameiona hii thread tunampa kazi kesho asubuhi uamkie huko na uwaambie kama hawajui Kiingereza si wangetafuta mtu yeyeote anayefanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa yaliyojazana hapo Kigoma?
Kwaherini
kaaaaaazi kweli kweliOna ung'eng'e huu !View attachment 24101
Duuuuh mimi hapo simo, yaani ina maana mkuu wa kiwanja ni KIHIYO kiasi hicho!nI Uwanja wa ndege Kigoma hapo. Inauma sana Tanzania.
Huyo ni mdanganyika halisi, ukitaka kujua kila mmoja anapenda lugha hiyo hebu fungua hiyo attachment usome application letter ya security guard
Huyo ni mdanganyika halisi, ukitaka kujua kila mmoja anapenda lugha hiyo hebu fungua hiyo attachment usome application letter ya security guard
Mkuu tazama link hii!! https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/103881-kigoma-airport-aibu-waha-mpoooo.htmlOna ung'eng'e huu !View attachment 24101