Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,251
- 7,576
Nimekuwa sehemu zote mbili katika shughuli zangu binafsi kigoma kwa maendeleo iko chini lakini singida naona imejifia kabisa, hii mikoa inazidiwa kwa mbali na Town council nyingi kimaendeleo na utafutaji wa fursa.
Hivi watu wanaoishi singida wanapataje maisha? Kwa nilivyoona pale ukienda hata na million 30 uwekeze kwenye biashara lazima ipotee tu labda ukauze vitunguu pale misuna.
Hizi ni factors ambazo zinasababisha nione kigoma iko mbali sana na singida.
1. muingiliano na watu kutoka nchi za jirani Congo, Burundi, Zambia hii imechangia kuchangamsha mji though kwenye biashara ni ngumu kwa sababu ya mzunguko wake ni mdogo lakini singida ndio sioni chochote
2. Uwepo wa ziwa kubwa tanganyika, mito mingi na ardhi yenye rutuba.
KIGOMA kuna ziwa Tanganyika ipo na mto malagarasi watu wake wanalima mashamba makubwa sana, ziwa Tanganyika imeleta muingiliano mkubwa sana wa watu maeneo hayo shughuli za uchumi ni nyingi mno, kilimo kinafanyika kwa ukubwa, meli ya mv liemba inaanza kufanya kazi ziwani,
3.watu wa kigoma ni wachapakazi sana, kwa nilivyoona hata hapa kariako haha ndio wanaongoza kutembeza vyombo na kujitafutia kipato lakini sijawahi kuona mnyiramba akitembeza vyombo sijawahi.
Hapo singida ukiachana na alizet na vitunguu tena vya msimu tu kipi ambacho mnajivunia nacho? Maana nimezunguka mji mzimaa umepoaaa unazidiwa na mji mdogo kama katoro, runzewe, masumbwe, magu, sengerema by far licha ya kuwa manispaa kongwe nchini