Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Tatizo hio cyber kigogo anaijua nje ndani.
Waachane naye tu manake atawaumbua. Kwanza kaseam haogopi kufa

Kuachana naye haiwezekani kwani naye hajaachana nao, wakijaribu kumuacha ndio anazidi kuwachimba zaidi, hivyo no escape lazima wapasuane tuu ijulikane nani mshindi
 
Pasiwe na kikao chochote kumjadili huyo kigogo kwani uwepo wa kikao ni kumualika Kigogo mwenyewe. Kuweka vikao ni kutengeza mazingira ya kumpa ushindi Kigogo na genge lake. Kisha kuwafitinisha ninyi kwa ninyi ilhali hamumjui adui yupo kona ipi
Kwamba unawafundisha kazi TISS na TCRA?

What if ni wao wenyewe wanacheza na akili za wengi?
 
Yaani hapo ni kwa mujibu wa maandishi yake, ndio nimepata picha hiyo.

Kama wewe, unaonekana na mwanamke wa miaka 30 - 37
Umeajiriwa serikalini bila shaka sekta ya elimu
Mrefu wa futi tano
Maji ya kunde inayoenda nyeusi

Kama nimekosea kwako ndivyo nitakavyokuwa nimekosea kwa huyo Kigogo

Umempatia huyo, kwa kiasi kikubwa.
 
Kwamba unawafundisha kazi TISS na TCRA?

What if ni wao wenyewe wanacheza na akili za wengi?

Wao wasifundishwe ni kina nani?

Yeyote mwenye hekima hufundishwa mzee hata kama jambo analijua haimaanishi analijua kwa namna zote.

Kuhusu kucheza na akili za wengi, hapa nakataa mpaka mwisho, unajua Kigogo ametukana sana hasa kipindi hiki.

Mimi ni mtetezi wa uhuru wa kujieleza lakini sio wa kiwango kile cha kuvunja utu na heshima ya mtu
 
Back
Top Bottom