- Thread starter
- #41
Ubahatike mama Abdul na Baharia Mwogo Mchungu ndo wawe wazazi wako,da balaaa!!Mangi wa dukani alikula sound mpaka akakoma ubishi,kasheshe alipoweka bond viatu vya mbishi,hahahaaaa....Kantangazeeeeeeeeeeeee.

Haa haloo! Mungu nipe ucnipe donda nkauguza nipe raha m nielee juu kwa juu loo mzima we huna haya na mwenye haya c jiran yako kusema nawe ukazipata hasid ng'ar fisadi wa m0t0n we laanakum ptuu Mungu aninyime mama km wewe we wakushea na huyu bwana unamtaka bwanaake imehusu nin huachi unadidi dadii ovyo dunian haupo akhera unataftwa ukauze ufuta loh! M2 mzima kileja m2 mzima kisheti loh! Mdom0 umekukauka bibi mashav ya juu yamekushuka lo ckwambii ya chini haa haloo
#RiamaAli
Usije sahau wasome wote, burudani huwa wanazipata toka kwa wasiosoma, wenye upeo mdogo kama unavyosema....Ndugu nilitaka nikae kimya lakini nimeona niseme tu, kwa ninavyojua mimi great thinkers hawawezi kufuatilia kazi za wasanii hawa wa bongo movie ambazo nyingi zinaandikwa, kuandaliwa na watu wenye upeo mdogo sana wa kufikiri na maarifa, hivyo ukimpelekea mtu anae think outside the box ataishia kudharau na kukaa kimya, haziwez kuongoza akili kubwa kwa kuifikirisha au kuifunza kwa sababu zipo hovyo hovyo, ndo maana mkuu mmoja hapo juu amechangia kwa kusema ye huwa kwake anaziangalia hosegirl wake, bongo movies ""wanaigiza huku wanaigiza na wanaigiza hovyo hovyo""
tena uta enjoy sana kuna sehemu muhogo mchungu anaiba sukari ya mke wake then mama sikujua ndiyo mke wa muhogo anatokea,jinsi anavyomkung'uta mkono na anaulamba yaani hapo napo ni balaa kabisaaa
hii movie siichoki
ni movie bora kabisa yani..[/QUOT
waigizaji wote wakali,hamna muuza sura pale.
Haa haloo! Mungu nipe ucnipe donda nkauguza nipe raha m nielee juu kwa juu loo mzima we huna haya na mwenye haya c jiran yako kusema nawe ukazipata hasid ng'ar fisadi wa m0t0n we laanakum ptuu Mungu aninyime mama km wewe we wakushea na huyu bwana unamtaka bwanaake imehusu nin huachi unadidi dadii ovyo dunian haupo akhera unataftwa ukauze ufuta loh! M2 mzima kileja m2 mzima kisheti loh! Mdom0 umekukauka bibi mashav ya juu yamekushuka lo ckwambii ya chini haa haloo
#RiamaAli
Binafsi sio mpenzi wa filamu za kiswahili hasa kutoka Bongo movie,Nimebahatika kuitaza filamu hii ya kigodoro-kantangaze na kunifanya niamini ni moja kati ya filamu bora kabisa za kitanzania kuwai kutenegenzwa,ni filamu ya ki Tanzania iliyoongozwa na mwanadada Zamaradi Mketema,ikiwa ina akisi maudhui halisi kabisa ya maisha ya watanzania wengi maskini wanaoishi uswahilini,Kwa wewe uliyefanikiwa kuiona filamu hii unaizungumziaje?