ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,460
kwa uzuri huo.....hata kama wameuza poa tu...! tumechoka na kkoo yetu...! uzeni haraka.. ! kabla sijafa..!
Uzuri wa mji utakusaidia nini? lazima ujenge uchumi kwa kuwashirikisha wananchi wako na si vinginevyo. matokeo yake watanzania wataishia kufagia katika hiyo mitaa unayoiona kwenye hizo picha. tunarudi kule kule tulikotoka.