Kigamboni New City Master Plan

kwa uzuri huo.....hata kama wameuza poa tu...! tumechoka na kkoo yetu...! uzeni haraka.. ! kabla sijafa..!

Uzuri wa mji utakusaidia nini? lazima ujenge uchumi kwa kuwashirikisha wananchi wako na si vinginevyo. matokeo yake watanzania wataishia kufagia katika hiyo mitaa unayoiona kwenye hizo picha. tunarudi kule kule tulikotoka.
 
akili fupi za kusema nchi imeuzwa huwa sipendi hata kusikiliza. hata mlimani city mlipiga sana kelele kuwa tumeuza sehemu ya udsm, lakini sasaivi mmejaa pale kusukuma tolori zimejaa vitu mnavyonunua....watu kama ninyi ni wa kuwapuuzia tu, msema mlieee hadi mchoke, lakini kitu ambacho selikali inaona kuwa kinafaa, bora kifanyike tu.

kitu kingine, kuna watu wana alergy na wamarekani au westerners....wakisikia mradi unataka kufadhiliwa na watu wa magaribi, WANASEMA NCHI INAUZWA...kwasababu ya uranium, watu wanasema nchi inauzwa kwasababu watu wa magharibi wanaitaka...mlitaka waje waarabu?HAO WAARABU wakija na sisi tutasema nchi imeuzwa....na huwa inauzwa kama livyofanya MWINYI kwenye LOLIONDO, kule ndo kuuzwa..lakini kwa kigamboni, ni kitu kizuri na kitafanyika hata mkipiga kelele. hii nchi ya kwetu sote, na si kwasababu baadhi yenu hamuwapendi wa magaribi ndo sote tuko hivyo, na si kwamba kwasababu baadhi yenu mnawapenda waarabu na kupenda miradi yote tz ingekuwa chini ya waarabu kwamba sote tuko hivyo...mimi kwa upande wangu, mradi uwe wa magaribi au kiarabu naupokea tu..pamoja na kwamba kama ningesema nichague, ningesema waarabu waende zao huko na huwa siwaamini..hauwapendi wamagaribi na mimi sipendi kushirikiana na waarabu...na sote tunaishi kwenye nchi moja, sasa cha maana ni kuacha tu wote waje, waarabu, wachine, wahindi wazungu wote waje...na tuache kupiga makelele kuwa nchi imeuzwa.....mlitaka hiyo uranium anunue nani?waarabu iran?..hii inakera kusikiliza kwakweli...
Tatizo ni kwamba.... kwanini tufadhiliwe ilhali tuna mali zetu ambazo zinatosha kujenga miji kama hiyo kila mkoa?
Usimamizi wa maliasili zetu ni wa kizembe ambapo unafaidisha wageni zaidi ya nchi.
 
Team Urges Govt to Speed Up Bridge Construction

Alvar Mwakyusa
9 July 2010

Dodoma - The Parliamentary Standing Committee on social development wants the government to expedite the implementation of a plan to construct the Kigamboni Bridge that links Dar es Salaam city with Kigamboni area.
Presenting the committee's report on the implementation of the budget of the ministry of Labour, Employment and Youth Development, committee member Fatma Omary Ally urged the government to put into place a clear timeframe for effecting the project's plan.
"The government should set a timeframe to guide the implementation of the project instead coming up with reasons for delays whenever questions concerning the project arise," she said.
She noted also that for the implementation of the project to be effective, the government should address the challenges that may emerge in the future.
On its part, the Opposition camp noted with concern that delays in implementing the project had made the government lose close to 22 million Euros (Sh38 billion) in grants given by development partners.
"Negligence and bureaucracy has cost the government dearly...According to estimates from 2005, the project was to cost 45 million Euros (Sh79 billion), out of which the Netherlands was to extend a grant of 22.5 million Euros (Sh39 billion), and a soft loan of 15 million Euros (Sh26 billion)," said the ministry's shadow minister, Mr Said Abdallah Khalfan.

He noted that Tanzania would no longer benefit from the grant and that the cost of implementation had now surged to 60 million Euros.
"The Opposition wants the government to explain the progress made on the project so far and its expected costs," said the MP.
The minister of Labour, Employment and Youth Development, Prof Juma Kapuya, said the ministry would participate in the implementation of the project during the 2010/11 fiscal year.
He also hinted that plans were underway to appoint a chief executive officer and a board of directors for the proposed Social Security Funds Regulatory Authority.
He asked the government to approve a budget of Sh17.6 billion for his ministry for the next one year for recurrent and development expenditure.
 
h

uwiiiii - Kiamba changu heka 2 pale kibada na chenyewe hope kishaingizwa humo -- ssasa ijui ka ntaja lipwa hata laki moja - hii sirikari haiaminiki. nikienda mahakamani yale yale - sasa nikimbilie wapi kupata haki zangu wandugu?

usijali chali yangu uko salama maeneo yanayoonekana kwenye picha hii hapa chini hayataguswa...

attachment.php
 
usijali chali yangu uko salama maeneo yanayoonekana kwenye picha hii hapa chini hayataguswa...

attachment.php

Mkuu, Mwenye hiyo Picha Kiamba changu cha heka 2 kipo hapo kwenye " 20,000 Plots Projects - Kibada" - SHAKUFA CHIEF.
 
usijali chali yangu uko salama maeneo yanayoonekana kwenye picha hii hapa chini hayataguswa...

attachment.php

DUh naona na university of africa nao wana sehem yao..... its quite interest project ila hala hala watekelezaji isiwe hii serikali ninayoijua mimi hao jamaa naona waje na kila kitu kutoka kwao... yaani nathubutu kusema hata wakazi waje nao kutoka kwao.. wkasababu sisi hata utuinzaji ziro tujengewe vizuri vipi na bado tutaviharibu katika hali ya ujinga... mifano ni kama hilo soko la kimataifa la samaki wachina wamelijenga fresh sasa hiv na kuliunguza wahsaliunguza kisa hakuna maintanasi toka lijengwe wanataka hadi wachina waje kutoka kwao watengeneza na utaratibu wa kutumia mbovu vyoo vishaharibiwa majokofu na kila kitu... saasa huo uwanja mpya naupa miaka 5 ijayo utakuwa hautamaniki.. labda ndio waufanye kama nguo ya siku kuuu inavaliwa mara moja kwa mwaka kwenye sikuu kuu tu.... vinginevyo utakuwa hadithi... c jui tumelogwa.... tumewekea vihifadhi taka vya kisasa watu wanang'oa vituo vya mabasi watuwanang'o..... jamaaaani kwani tunaniniii mi nahisii ili lilikuwa eneo la makaburi(tanzania) tumevamia kuishi haiwezekani watu hawbadiliki vizazi navizazi
 
Yaani hii project ikipitia kwa sirikali ya chama cha mafisadi tutaula wa chuya
 
Mfunyuluzi (Thanks),

Many thanks for the posting and the masterplan. But I am dissapointed by the Negaholics and critics of this Forum. You can always hear that nothing good come out from our own initiatives unless there is Mkono wa mtu! UDOM ni yetu wenyewe na kama mmeanza kuitafutia sababu ya kusema imeletwa na Wamarekani basi wanaotaka iwe hivyo walie na watoe machozi ya kenge au samaki.

Kama Tumeweza kuijenga UDOM kwa fedha zetu wenyewe, tunaweza kuijenga Kigamboni kwa nguvu zetu wenyewe. Wanaotaka kuingiza siasa na udhaifu wao binafsi kwenye suala jema na zuri kama hili, waache wale chuki zao wenyewe.

Bila ushabiki wa aina yeyote, UDOM ni mfano wa kuigwa kuhusiana na nini kinawezekana kufanyika kwa kutumia nguvu zetu na tunapokuwa na ujasiri wa maamuzi magumu.

Namalizia kusema kama ujenzi wa UDOM na Mji mpya wa Kigamboni unakukera au kukuudhi Nasema hivi: Nenda "KAJINYONGE" kama huna kamba njoo uchukuwe. :smilez::shock::lalala:
 
Sun Tzu semaaah semaaah usiogope semaaah sie WaTZ mpaka tuache ulelemama na ulalamishi eeeeh
 
kwenye hizo picha mbona sioni nafasi ya kujenga kibanda changu au kiwanja changu watachukua?

prof.....changu kipo hapo,half finished.....tumepigwa stop since when nimeshasahau,wanaokiuka amri hio wanakamatwa....wanasema watatulipa....ahadi ilikuwa sometime mwaka jana....ikaja feb mwaka huu....hadi kesho hatujui kinachoendelea.....yeyote anaejua hatima ya watu waliozuiwa kigamboni kupisha huu mradi aniambie PLEASE.
 
akili fupi za kusema nchi imeuzwa huwa sipendi hata kusikiliza. hata mlimani city mlipiga sana kelele kuwa tumeuza sehemu ya udsm, lakini sasaivi mmejaa pale kusukuma tolori zimejaa vitu mnavyonunua....watu kama ninyi ni wa kuwapuuzia tu, msema mlieee hadi mchoke, lakini kitu ambacho selikali inaona kuwa kinafaa, bora kifanyike tu.

kitu kingine, kuna watu wana alergy na wamarekani au westerners....wakisikia mradi unataka kufadhiliwa na watu wa magaribi, WANASEMA NCHI INAUZWA...kwasababu ya uranium, watu wanasema nchi inauzwa kwasababu watu wa magharibi wanaitaka...mlitaka waje waarabu?HAO WAARABU wakija na sisi tutasema nchi imeuzwa....na huwa inauzwa kama livyofanya MWINYI kwenye LOLIONDO, kule ndo kuuzwa..lakini kwa kigamboni, ni kitu kizuri na kitafanyika hata mkipiga kelele. hii nchi ya kwetu sote, na si kwasababu baadhi yenu hamuwapendi wa magaribi ndo sote tuko hivyo, na si kwamba kwasababu baadhi yenu mnawapenda waarabu na kupenda miradi yote tz ingekuwa chini ya waarabu kwamba sote tuko hivyo...mimi kwa upande wangu, mradi uwe wa magaribi au kiarabu naupokea tu..pamoja na kwamba kama ningesema nichague, ningesema waarabu waende zao huko na huwa siwaamini..hauwapendi wamagaribi na mimi sipendi kushirikiana na waarabu...na sote tunaishi kwenye nchi moja, sasa cha maana ni kuacha tu wote waje, waarabu, wachine, wahindi wazungu wote waje...na tuache kupiga makelele kuwa nchi imeuzwa.....mlitaka hiyo uranium anunue nani?waarabu iran?..hii inakera kusikiliza kwakweli...

Ubarikiwe mkuu. Mwenye kuelewa amekulewa
 
Acha wazungu waje wakae huko huenda tukapata maendeleo. Serikali lazima wafanye cha maana ili huduma za jamii kama maji, na umeme viwe vya uhakika. Nchi kama UAE (hasa Dubai) zinaendelea kwa kasi kwa sababu wazungu wameingia huko. Watu wanasema nchi imeuzwa, kama ni kuuzwa kwa kuleta vitu vizuri namna hii wacha wauze na si akina Rostam Aziz na rafiki zake kuiweka serikali mfukoni na kujilimbikizia mali wao wenyewe na kuiba pesa na kuzikimbia nchi za nje huku huduma za jamii zikiwa mbovu.
 
Kama masterplan mbona watu washachonga Masterplan za Dodoma kwa miaka zaidi ya 30 sasa, mpaka wakaunda CDA.

Unless wanaleta kitu solid mi nawaona wale wale wenye yale yale tu.
 
Kama masterplan mbona watu washachonga Masterplan za Dodoma kwa miaka zaidi ya 30 sasa, mpaka wakaunda CDA.

Unless wanaleta kitu solid mi nawaona wale wale wenye yale yale tu.

Kiranga,

Kamba bado ninayo tena aina yeyote unayoitaka, ipo ya manila, katani na hata ya michongoma. Kigamboni itajengwa tu, hata ikiwa miaka mia moja ijayo. Unataka solidi masterplan gani zaidi ya hiyo uliyoonyeshwa? Watanzania hasa wa humu JF mmezidi kupiga domo tu, na mnadhania maendeleo yatakuja kwa kukosoa tu.

Kila siku kelele tuuu! na wengine ushabiki usio na msingi na wengine humu JF hakuna lolote ni siasa tu za CCJ na CCK na wakati mwingi kelele za Chadema na matusi kwa vyama vingine. Kama kweli hili Jukwaa linataka kupata heshima yake, acheni ushabiki na siasa zisizo na msingi na maslahi kwa taifa wekeni pembeni.

Kila tukiaka inakuwa kama JF imetekwa nyara na chama fulani jina kapuni ((.......))

Kule kwetu Uchina tunasema hivi maendeleo hayaletwe kwa kupiga domo. Anayekasirika kuhusu kujengwa mji mpya Kigamboni au chuo kikuu cha Dodoma kamba ya kujinyongea ya kila aina hata ya mpingo ukitaka ipo, njoo uchukuwe.:embarrassed1::shock::crying::cool2::sad:
 
pole kaka naona unaongea kwa uchungu sana

lakini hakuna jinsi, BATCH yao ya kwanza ya CIA wa KITANZANIA ndio mwaka huu inatoka UDOM, na vijana wanapikwa kuikana nchi yao yenyewe na ndio watakuwa wakaaazi wa huo mji mpya, nia na malengo makuu ni kukama URANIUM ya Tanzania iwe mikononi mwao, wanataka kuitengeneza hii nchi kiasi kwamba hata raisi awe nani wao wanakuwa na link nzuri mno ya information

hii nchi imeshauzwa
ndo maana hatuendelei hizi ni theories za mujaheedena so ina maana hawa jamaa na Al Shabash nani bora? tuweke kambi ya vijana wa Al Shabash basi watulipie! Mawazo ya magengeni na misikitini
 
We Sun tzu wa KUCHONGWA.

Kiranga,

Kamba bado ninayo tena aina yeyote unayoitaka, ipo ya manila, katani na hata ya michongoma.

Nani kasema chochote kuhusu kamba? Inaonekana unahitaji hizo kamba zako kujifunga serawilini kabla hujanywa "pingu"

Kigamboni itajengwa tu, hata ikiwa miaka mia moja ijayo.

Right, na mimi nitaweza kusema Tanzania itaweza kupeleka mtu mwezini tu, hata kama ni miaka mia moja.Ridiculous. Kila Project inatakiwa kufanywa kwa a reasonable timeframe and cost effectiveness, sasa hizi alinacha za miaka mia moja ijayo ambayo hata hatutakuwepo umuhimu wake ni nini? Of course Kigamboni itajengwa, si mjini pale, tatizo itajengwa vipi, kwa mpango gani, bajeti gani na muda gani.Kama uanepuka maswali haya unaepuka the essence of the fabric of this discussion.

Unataka solidi masterplan gani zaidi ya hiyo uliyoonyeshwa?

Wapi nimesema nahitaji solid masterplan? Unaweza kunionyesha? Au comprehension ndogo?

Watanzania hasa wa humu JF mmezidi kupiga domo tu, na mnadhania maendeleo yatakuja kwa kukosoa tu.

Kati ya Watanzania wanaoikosoa serikali na mipango yake hewa, na hiyo serikali ambayo zaidi ya miaka 30 ya kusema inahamia Dodoma haijatimiza maneno yake nani anapiga domo hapa? Kama serikali haijatimiza ahadi za kuhamia Dodoma kwa miaka 30 utatulaumu tukiwa skeptics kuhusu huu mpango wa Kigamboni?

Kila siku kelele tuuu!

Mwanzo wa ngoma lele na hakuna vigelegele viso kelele. Tatizo letu hatuna tabia ya critical observation, tunataka kupakana mafuta kwa migongo ya vyupa tu, kusifiana hata unapoona hamna sababu ya kuwa na matumaini.Wishful thinking nyingi, maazimio mengi, mipango mingi, utendaji zero.

Ukitaka nikuelewe unataka kuendeleza Kigamboni wala sihitaji mikabrasha mingi sana, anza kutandika daraja hapo nitakuelewa, otherwise unacheza tu. This is what I mean by "something solid". Hiyo mi plan mbona unaajiri watoto watatu makini katika urban planning unawapa AutoCAD/ CAD Software na mwezi mmoja, wanakupa bonge la plan.Tena wanaweza hata kuibia mtandaoni siku hizi kila kitu kinapatikana, this does not impress me at all. Fanyeni kitu solid mtaongea.Sio mwaka wa uchaguzi talalila nyiingi, kumbe vitu vyenyewe vinapangwa miaka mia moja ijayo ?

na wengine ushabiki usio na msingi na wengine humu JF hakuna lolote ni siasa tu za CCJ na CCK na wakati mwingi kelele za Chadema na matusi kwa vyama vingine. Kama kweli hili Jukwaa linataka kupata heshima yake, acheni ushabiki na siasa zisizo na msingi na maslahi kwa taifa wekeni pembeni.

Mimi naongelea Kigamboni hapa, sijataja chama wala nini. Wewe ndiye unayeanza kutaja vyama, kati yangu na wewe nani kaleta ushabiki wa kisiasa hapa?

Kila tukiaka inakuwa kama JF imetekwa nyara na chama fulani jina kapuni ((.......))

We dare speak openly hapa, chama gani? Unaweza kunitajia na kusema kwa uhakika kwamba mimi ni mshabiki wa chama fulani? I dare you, go ahead, make my day.

Kule kwetu Uchina

Kumbe mtu mwenyewe kwenu uchina ? Ndiyo maana hata mambo ya bongo uelevu wako zero.

tunasema hivi maendeleo hayaletwe kwa kupiga domo.

Exactly, ndiyo maana tukiona watu wanapiga domo na mikabrasha bila vitendo ni lazima tuwamulike vilivyo.

Anayekasirika kuhusu kujengwa mji mpya Kigamboni au chuo kikuu cha Dodoma kamba ya kujinyongea ya kila aina hata ya mpingo ukitaka ipo, njoo uchukuwe

Wapi nimesema nimekasirika? Mbona unaleta uelewa wa nzi? Hebu nionyeshe wapi nimekasirika kujengwa "mji mpya"

Hiyo kamba utaihitji wewe baada ya kulewa pombe ya pingu za kukubali mipango ya kusadikika bila kuona kitu. Utakapoanza kuhara hakikisha hizo kamba zimefunga suruali ili usituachie harufu chafu.
 
Kiranga,

Nasema hivi: Je uliona wapi mji mpya unajengwa bila Masterplan? Tuanzie hapo, umeletewa Concept City unasema unataaka kuona kitu concrete, hata zege kabla ya kumwagwa kunakuwa na design stage.

Mambo mengine tuache ushabiki usio na msingi.

UDOM ilijengwa na inaendelea kujengwa na hata kama CDA walishindwa kazi Ujenzi wa UDOM na mji mpya wa Kigamboni ni ktu kizuri na ndiyo maana narudia kusema hii wanaochukizwa na hatua hii kamba ya kujinyongea ipo. hata kama itachukuwa karne moja kujenga kwa uwezo wetu wenyewe ni bora ifanyike hivyo. Nimechoshwa na kila kukicha hakuna kizuri tunachoweza kukifanya wenyewe mpaka kiwe kimefanywa na wengine.

Wengine wamediriki hata kusema ujenzi wa UDOM umeletwa kutoka nje. Kazi kweli kweli.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom