akili fupi za kusema nchi imeuzwa huwa sipendi hata kusikiliza. hata mlimani city mlipiga sana kelele kuwa tumeuza sehemu ya udsm, lakini sasaivi mmejaa pale kusukuma tolori zimejaa vitu mnavyonunua....watu kama ninyi ni wa kuwapuuzia tu, msema mlieee hadi mchoke, lakini kitu ambacho selikali inaona kuwa kinafaa, bora kifanyike tu.
kitu kingine, kuna watu wana alergy na wamarekani au westerners....wakisikia mradi unataka kufadhiliwa na watu wa magaribi, WANASEMA NCHI INAUZWA...kwasababu ya uranium, watu wanasema nchi inauzwa kwasababu watu wa magharibi wanaitaka...mlitaka waje waarabu?HAO WAARABU wakija na sisi tutasema nchi imeuzwa....na huwa inauzwa kama livyofanya MWINYI kwenye LOLIONDO, kule ndo kuuzwa..lakini kwa kigamboni, ni kitu kizuri na kitafanyika hata mkipiga kelele. hii nchi ya kwetu sote, na si kwasababu baadhi yenu hamuwapendi wa magaribi ndo sote tuko hivyo, na si kwamba kwasababu baadhi yenu mnawapenda waarabu na kupenda miradi yote tz ingekuwa chini ya waarabu kwamba sote tuko hivyo...mimi kwa upande wangu, mradi uwe wa magaribi au kiarabu naupokea tu..pamoja na kwamba kama ningesema nichague, ningesema waarabu waende zao huko na huwa siwaamini..hauwapendi wamagaribi na mimi sipendi kushirikiana na waarabu...na sote tunaishi kwenye nchi moja, sasa cha maana ni kuacha tu wote waje, waarabu, wachine, wahindi wazungu wote waje...na tuache kupiga makelele kuwa nchi imeuzwa.....mlitaka hiyo uranium anunue nani?waarabu iran?..hii inakera kusikiliza kwakweli...