Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
Babu ulijikuta unataka hata kusaminisha hadi sarawili za kubadili nini?
Ukienda kichwa kichwa ni hatari
Mtambuzi alijidai mgumu lakini kule alizima fegi...lol!!!!!!
Mi mbona sijaelewa BABU DC
Kamanda, umesahau kwamba ukisikia risasi basi ujue wewe umesalimika??
Mimi ni mzima bwana na ndiyo maana nawapa somo wajukuu....
Naamini hata Addis nitarudi salama...
Babu DC!!
Kumbe na wewe hujui kusoma au??
Basi wasiliana na mtaalamu wangu wa leo ambaye ni Madam FaizaFoxy,
Babu DC!!
Nitakuchapa
Yaani na ujanja wako wote huo bado tu??
Mhakikishie kuwa na mwili wa ubaunsa unao.....
Hivi una kama asilimia ngapi za Hasheem Thabiti?? Asijiekujipa matumaini hewa na kupotelea mujini Kigali...lol!!
Babu DC!!
nimeelewa sasa...........
kumbe huko ni hatari kiasi hiko LOL....safari za huko nimeshamuahirishia hakuna kwenda
Duuuuhhhhhhhhh,
Nakuonea huruma.....ukirudi salama basi uwahi kwa shekh ukasomewe swala maalumu....
Kigali siyo mahali pa kwenda kabisa....
Sina hakika kama watu wananielewa....
Babu DC!!
nimeelewa sasa...........
kumbe huko ni hatari kiasi hiko LOL....safari za huko nimeshamuahirishia hakuna kwenda
Hata wewe muzee
Kwenda lazima niende hata kama ukileta zako!!!!!!
Mhakikishie kuwa na mwili wa ubaunsa unao.....
Hivi una kama asilimia ngapi za Hasheem Thabiti?? Asijiekujipa matumaini hewa na kupotelea mujini Kigali...lol!!
Babu DC!!
he heee, kuna comment nilitaka kuandika ningechemsha mbaya, lol!Nao you are talking....
Ahsante mkubwa mwenzangu....
Ila niko salama tu....natka kuwapa warning wajukuu zangu!!
Babu DC!!
uking'ang'ania sana tutaenda wote......
nimeelewa sasa...........
Kumbe huko ni hatari kiasi hiko lol....safari za huko nimeshamuahirishia hakuna kwenda